bint stara @ummu Salamah

6K posts

bint stara @ummu Salamah banner
bint stara @ummu Salamah

bint stara @ummu Salamah

@BintStara

Stara za kila aina mtumba grade(abaya,jalabia,evening dress,dish dash) one,handbag,mashuka mapya

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2023
374 Takip Edilen346 Takipçiler
bint stara @ummu Salamah retweetledi
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳
Kwanini utumie bidhaa za Pemba Taste Products? 🌿 ✔️ Viungo vya asili (organic) kutoka Zanzibar ✔️ Ubora wa hali ya juu uliothibitishwa ✔️ Ladha halisi ya chakula chako ✔️ Tunawaunga mkono wakulima wa ndani 📍 Zanzibar 🤙 0774105389 #PembaTaste20 #OrganicSpices
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳 tweet media
Zanzibar West, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
15
15
566
bint stara @ummu Salamah retweetledi
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳
🌅☕ Anza siku yako na ladha sahihi! 🌿 Herbal Tea Harufu ya kuvutia Inachoma mafuta Hukufanya kuwa mwepesi ☕ Tea Masala Ni nzuri ukichanganya na maziwa Hukupa nguvu na uchangamfu Ladha ya asili, ubora wa Zanzibar 📍 Kisonge, Unguja 📞 0774105389 #PembaTaste2026
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳 tweet media
Zanzibar West, Tanzania 🇹🇿 Filipino
1
7
7
258
bint stara @ummu Salamah
bint stara @ummu Salamah@BintStara·
Karibuni mniungishe kanga kubwa za zanzibar bei 23000 tu jumla kuanzia 3 21,000 Ukinunua kuanzia mbili unapata na zawadi mkaa wa oud Karibuni sana Location kigamboni tuangoma opposite na Alexia hosp Delivery popote kwa uaminifu
bint stara @ummu Salamah tweet mediabint stara @ummu Salamah tweet media
Indonesia
0
0
1
131
minah🌹
minah🌹@queeen_minah·
Kila nikikuta mtu katia sukari kwenye maharage badala ya chumvi i want to fight!😭😭😭😭
Indonesia
48
16
349
19.9K
bint stara @ummu Salamah
bint stara @ummu Salamah@BintStara·
Karibuni mniungishe wajameni nauza abaya mtumba gradeone, kanga kubwa za zanzibar ,oud,mkaa wa oud ,achari za mbilimbi karibuni sana 📞 📲 0712752574 Napatikana kigamboni Delivery popote kwa uaminifu Delivery mjini inaanzia magomeni Morocco Karibuni sanaaa
bint stara @ummu Salamah@BintStara

Indonesia
0
0
2
59
bint stara @ummu Salamah
bint stara @ummu Salamah@BintStara·
Wateja wa kanga kubwa za zanzibar oud na mkaa wa oud karibuni sana mniungishe
bint stara @ummu Salamah tweet mediabint stara @ummu Salamah tweet mediabint stara @ummu Salamah tweet mediabint stara @ummu Salamah tweet media
Filipino
0
2
1
232
minah🌹
minah🌹@queeen_minah·
Hizi Pashmina mimi zinipite tu…siwezi vaa nguo kama pazia na carpet za kituruki💀🤣
Indonesia
10
2
68
5.4K
Bukhery
Bukhery@siimasoud·
Mbona hizo pashmina mi sijaziona
Suomi
12
1
15
1.3K
bint stara @ummu Salamah retweetledi
Trica Online Store
Trica Online Store@TriciaAbou·
Assallam Alleykum 🙏🏻 Habari ndugu zangu, sasa tunaanza zoezi letu rasmi la kukusanya juzuu, unaweza kuchangia au kuleta juzuu pia. Juzuu moja ni 500 hivyo tuna malengo ya juzuu 2000 In Shaa Allah 🙏🏻 Namba ya mchango ni 0763514126 Baraka Bakari Mzava Tutoe sadaka hii RT
Trica Online Store tweet media
Indonesia
1
138
165
9.4K
bint stara @ummu Salamah
bint stara @ummu Salamah@BintStara·
@aasyah__ MashaaAllah umrembo Asya ,dua yangu Allah akuruzuku kabinti haidary wangu apige hodi InshaaAllah
Indonesia
1
0
1
24
Asyah wa Lavish Cakes 🍰
Asyah wa Lavish Cakes 🍰@aasyah__·
Najiangalia kwenye kioo cha Salon, Mimi ni mzuri maa shaa Allah 😍. Alhamdulillah 🥰
Indonesia
8
0
13
596
bint stara @ummu Salamah retweetledi
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳@abriy_suleiman·
Tandoori Masala by Pemba Taste Products. A premium blend of natural spices crafted for rich aroma, vibrant color, and authentic taste. Perfect for chicken, meat, and fish. Quality you can trust. 📍 Kisonge, Behind House No. 5. 📞 +255 774 105 389 #PembaTaste2026 #Spiceshop
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳 tweet media
English
0
9
15
247
bint stara @ummu Salamah retweetledi
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳@abriy_suleiman·
Is your daily tea missing something? ☕ Pemba Taste Tea Masala is crafted from natural spices sourced in Zanzibar, bringing rich aroma, bold flavor, and natural warmth to every cup. One sip and you’ll taste the difference. 🤙 0774105389 #PembaTaste2026 #Spiceshop
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳 tweet media
English
0
9
16
334
bint stara @ummu Salamah retweetledi
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳@abriy_suleiman·
Pemba Taste Products tunajivunia kushiriki mafunzo ya ujasiriamali yaliyofanyika 29 na 30/ 01/2026 chini ya programu ya Ajira YE2 kwa CRDB Bank Foundation & GIZ (WE4D). Pemba Taste Products Tunaendelea kujifunza, kukua na kuinua bidhaa za asili kutoka Zanzibar. #PembaTaste2026
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳 tweet mediaSuleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳 tweet mediaSuleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳 tweet media
Indonesia
4
18
29
1.8K
bint stara @ummu Salamah retweetledi
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳@abriy_suleiman·
Ndugu wafanya Bishara, Biashara yenye mafanikio hujengwa kwa bidhaa zenye ubora wa hali ya juu. Chagua Pemba Taste Products kwa ladha inayohakikisha wateja wako wanarudi dukani kwako tena na tena. Tunauza jumla na rejareja. 📦 Mikoani Tunatuma. 📞0774105389. #PembaTaste2026
Suleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳 tweet mediaSuleiman El-Abriy 👨🏾‍🍳 tweet media
Indonesia
4
13
20
1.4K