Faith Lyimo

8.8K posts

Faith Lyimo banner
Faith Lyimo

Faith Lyimo

@Binti_Lyimo

Health & Climate Advocate 🌍 | Limitless Mind 📸 IG:https://t.co/cdB8vJfv1b

Tanzania Katılım Temmuz 2021
1.2K Takip Edilen2K Takipçiler
Faith Lyimo retweetledi
viola julius
viola julius@VwalaViola·
Baada ya mimba kuharibika huduma stahili kwa binti / mama ni jambo la msingi katika kuhakikisha afya ya uzazi ya mzazi na maisha ya mzazi yanaendea kama kawaida #BeyondlabelsVoices
viola julius tweet media
Indonesia
0
9
12
437
Faith Lyimo retweetledi
Mwaki
Mwaki@Mwaki28·
Kutokana na imani potofu, Watoto wenye Ualbino wanaishi kwa hofu muda wote. Muhimu kama jamii kusimama kwa pamoja kupaza sauti, kulinda haki na usalama wao kwa kukemea unyanyasaji na ukatili dhidi yao. Ni Jukumu letu sote kulinda maisha ya #WatotoWenyeUalbino. #HakiJumuishi
Mwaki tweet media
Indonesia
3
19
26
448
Faith Lyimo
Faith Lyimo@Binti_Lyimo·
Ushawahi mwangalia mtu machoni ukapata hofu na wasiwasi,yani kama vile umeona kitu cha kutisha ?
Indonesia
0
2
3
27
Faith Lyimo retweetledi
Komu Printing
Komu Printing@Elparton112·
A2 Golden Strips Unaweka Picha Unayohitaji Wewe✅ 50,000/= ☎️ 0769063447 Sinza Makaburini 📍
Komu Printing tweet media
Indonesia
0
9
12
178
STUNNA
STUNNA@CavityDamas23·
Sijawai kukutana na hii situation tangu nimezaliwa aisee😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Baba angu kafariki leo Mungu akipenda tutakuwa pamoja tena wanangu Nawakubali sana nyie 🫶🫶🫶🫵
Indonesia
208
119
946
27.2K
Faith Lyimo retweetledi
Salhynaphy
Salhynaphy@salhynaphy1·
Happy new month dears 😍 Saa za pic 3 🔥 Ni nzuri mnoo 👌 Zote 3 Tsh 55,000 ☎️0693218525 📍 Kkoo Agrey Dar es salaam 🚚 Tunatuma popote ulipo kwa uaminifu Karibuni sanah 🫶
Salhynaphy tweet mediaSalhynaphy tweet mediaSalhynaphy tweet mediaSalhynaphy tweet media
Salhynaphy@salhynaphy1

Mmeamkaje vipenzi😍 Pazia nzito za kushona 🔥 Set upana wa mita 2 Tsh 85,000/ Set upana wa mita 1.5 Tsh 75,000/ Set ni pazia nzito 2 na nyepesi 1 Urefu cm 280 ukihitaji zaidi unapata ☎️0693218525 📍 Kkoo Agrey Dar 🚚 Tunatuma popote ulipo Karibuni sanah 🫶

Filipino
1
24
25
2.2K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Mafuta yanaweza kushuka bei apo baadae ila nauli ikishapanda ndo imepanda hiyo.
Filipino
24
50
763
22.8K
Faith Lyimo retweetledi
Mwaki
Mwaki@Mwaki28·
Safari ya mafunzo ya TEHAMA “Technology for Gender Empowerment and Employability (#TGEE2026), imefikia mwisho siku ya jana April 01, 2026. Wasichana 100 kutoka Mikoa mbalimbali wameweza kupata mafunzo kwa vitendo na kunufaika na programu hii. @HelptoHelpea 👋 #Nashindwaje
Mwaki tweet mediaMwaki tweet mediaMwaki tweet mediaMwaki tweet media
Indonesia
2
14
16
150
Faith Lyimo retweetledi
Lunch_For_Breakfast
Lunch_For_Breakfast@Lvnch4breakfast·
Korean Sweet N Sour, with Wali-13,000|=, Chips-14,000|=, Zege-15,000|=, Mashed Potatoes-15,000|= Korean Sweet N sour ni more saucy, Tofauti yake na Dragon Chicken ni, Sauce ya Korean Sweet n sour ni Sweet and sour, Haina Pilipili. 📞: 0773113000
Lunch_For_Breakfast tweet mediaLunch_For_Breakfast tweet mediaLunch_For_Breakfast tweet mediaLunch_For_Breakfast tweet media
HT
0
2
3
197
Faith Lyimo retweetledi
Mwaki
Mwaki@Mwaki28·
Kwenye maisha kuna nyakati ambazo mambo hayataenda kama ulivyopanga , kwenye wakati huo kumbuka maisha ni 10% unayofanya na 90% reaction yako #Nashindwaje
Mwaki tweet mediaMwaki tweet mediaMwaki tweet mediaMwaki tweet media
Filipino
4
17
20
271
Faith Lyimo retweetledi
Johnbest Mwahaja
Johnbest Mwahaja@JohnieZeBest·
Leo washiriki wa TGEE Bootcamp 2026 wanamaliza mafunzo yao . Nyuso za Tabasamu lakini kubwa ni kwamba ujuzi waliopata utawasaida siku zijazo #Nashindwaje Cc: @HelptoHelpea
Johnbest Mwahaja tweet mediaJohnbest Mwahaja tweet mediaJohnbest Mwahaja tweet mediaJohnbest Mwahaja tweet media
Indonesia
2
32
43
1.4K
Faith Lyimo retweetledi
Mwaki
Mwaki@Mwaki28·
#WatotoWenyeUalbino wana haki ya kupata elimu kama wengine bila ubaguzi. Ni wakati wa Serikali na Wadau kuhakikisha kunakuwa na upatikanaji wa Vifaa saidizi, mazingira salama na jumuishi ili kitatua changamoto za kushindwa kuona kwa usahihi, Unyanyapaa na Ubaguzi. #HakiJumuishi
Mwaki tweet media
Indonesia
3
23
26
837
Faith Lyimo
Faith Lyimo@Binti_Lyimo·
Mtoto mwenye ualbino ana akili na uwezo kama wengine. Changamoto yake ni kuona, si uwezo wa kujifunza. Tuwawezeshe! #HakiJumuishi #WatotoWenyeUalbino
Mwaki@Mwaki28

#WatotoWenyeUalbino wana haki ya kupata elimu kama wengine bila ubaguzi. Ni wakati wa Serikali na Wadau kuhakikisha kunakuwa na upatikanaji wa Vifaa saidizi, mazingira salama na jumuishi ili kitatua changamoto za kushindwa kuona kwa usahihi, Unyanyapaa na Ubaguzi. #HakiJumuishi

Indonesia
1
3
3
24
boris
boris@boris_the_name·
@Binti_Lyimo Hawapandishi wao. Ni LATRA
हिन्दी
1
0
0
5
Faith Lyimo
Faith Lyimo@Binti_Lyimo·
Watu wa daladala hawachelewi kutupandishia nauli
Indonesia
3
3
8
87