Ekaru Nyika
348 posts

Ekaru Nyika
@Blessedkid255
I help business grow with SEO-driven content and persuasive copy ✍️ Turning traffic into leads & sales 🚀 Open to projects & collaborations
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2024
673 Takip Edilen62 Takipçiler

Vijana wadogo tu pesa wanatoa wapi unashangaa janja ako na 24 tu ana mradi wa kulima mpunga na kukoboa (mashine zake) mwingine anachenjua dhahabu mashine zake
Yaani inakuwaje kuwaje majanja wa 20yrs tu wana investment hadi za bilioni mbili.
😂Mbona wengine hatuna hata mashine ya kukamua juisi ya miwa ni Mungu ametutenga au tuibiane siri🙌
Indonesia

@PabloYende Hao jamaa wameshashikwa na Wayahudi mtihani sana na ndio wanafanya hata Mpalestina anaonewa na Wayahudi
Filipino

@massuidentity Ni neno lenye kuelezea uwezo wake Mwenyezi Mungu, neno ambalo limetumia Command Verb (Kun = كان، يكون، كن) kwa maana ya "Kuwa" Yaani kuamrisha jambo kufanyika kisha "Fayakun" Hii "Fa" kwa maana ya (للتعقيب) Yaani mara baada ya amri ya Kun basi Fayakun kinakuwa
Indonesia

@Zephania_Ndaki Hakika alifanya kama hivi kwa Sadam Hussein Iraq........Pia tatizo kubwa Waarabu wamemkumbatia Mmarekani na ndio kinawaponza
Filipino

Sababu moja wapo ya kutokutumia bank katika ishue za online ni hizi apaa
Pesa inaeza isifike au inaeza ichelewe au unaeza usiipate kabisaa

Ekaru Nyika@Blessedkid255
@DizoFx Mwalimu wa Diploma tafadhali naomba nifahamishe hapa
Indonesia

@DizoFx Mwalimu wa Diploma tafadhali naomba nifahamishe hapa
Indonesia

Ten days remain for the Turkiye Government Scholarship to be closed. 👇👇👇
turkiyeburslari.gov.tr
English

Allah akutie nguvu Master @cr_xniper akupe subra na akupe utulivu wa nafsi na akili.











