Bless More

3.9K posts

Bless More banner
Bless More

Bless More

@Blessings1985

Katılım Mayıs 2025
47 Takip Edilen61 Takipçiler
Bless More retweetledi
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹
nadhani kilichomponza freeman mbowe ni kutaka kukidhi matakwa ya mtu aliyemtoa jela na yale ya wafuasi wake kwa wakati mmoja. niliwahi kumuuliza kuhusu hili, na majibu yake hayakuwa ya kuridhisha sana: 🎥: @izzy_pro_director
Indonesia
39
122
556
25.4K
Bless More retweetledi
Martha Karua
Martha Karua@MarthaKarua·
Release @TunduALissu and all political prisoners among then, Amb Polepole @mdudenyagali and stop the harassment of @ChademaTZ2 leaders if your unity bid is genuine @SuluhuSamia
MwanzoTV@MwanzoTv

#TANZANIA: TANZANIA PRESIDENT MEETS 2025 PRESIDENTIAL CANDIDATES IN PUSH FOR UNITY President Samia Suluhu Hassan convened a landmark meeting with all candidates from the 2025 presidential race, underscoring her commitment to dialogue and reconciliation. The March 31 session focused on reviewing election outcomes and fostering inclusivity, with President Samia urging political leaders to respect results and embrace civility. “We must safeguard leadership ethics, accountability, and citizen participation in order to strengthen national cohesion,” President Samia said. She emphasized that unity beyond political divides is essential for Tanzania’s progress, calling on leaders to collaborate in advancing national development. The meeting highlighted a deliberate effort to transform electoral rivalry into cooperation, strengthening cohesion in the post‑election period.

English
20
156
500
15.1K
Bless More retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Jenerali Tundu Lissu.💪
Hilda Newton tweet media
Eesti
7
122
865
8.3K
Bless More retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Idol, sina shaka kuhusu ustahimilivu wako. Na wiki hii wanakuongezea msalaba mwingine. Ombi langu kwa Mungu wetu ni akupe saburi. Usizimie roho maana asubuhi yaja. Songa mbele uuone ukuu wake. Na mambo atakayokutendea, wewe na Taifa lake. Solidarity. Kutoka 14:14🙏🏽
Tito Magoti tweet media
Indonesia
26
379
1.7K
16.9K
Bless More retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Aisee, hii inaitwa hakuna wa kunifanya kitu na sijali. Watanzania nawaita mara 3, nchi imetekwa na majangili ni lazma kila mtu ajitoe. Hakuna namna. Hii haina u CCM tena wala uChadema tena. Huu ni wakati wa Watanzania woote kuungana ili tuwaondoe hawa mashetani madarakani. Aiseee, mnajua kimama hana aibu wala hajui vibaya. In short she doesn’t care anymore. Kaamua kuifirigisa nchi. Na bado kuna Mitanzania yenye low IQ inadhani kuna katiba mpya atayoleta huyu mtu.. Kibaya zaidi kuna Watanganyika bado wanaendelea na uchawa sababu ya kuendekeza njaa za kijinga.
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai

Sister @mangekimambi amkaaaa 😁 Angela Kizigha kateuliwa kuwa mbunge na shostiake @SuluhuSamia Ila jamani hawa kweli wanatuonaje!? Nyie @ccm_tanzania wa Tanganyika mliopo huko mna shida si bure Eniwei hakuna deka - aluta continua! #TutaelewanaTu

Indonesia
75
221
1.3K
88.3K
Bless More retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Our Chairman is a hero… anawaua na tabasamu lake tu. Pamoja na chuki yenu kwake, kumkomoa na kumtishia amegoma kupigia magoti uovu na udhalimu wa ccm.
John Heche tweet mediaJohn Heche tweet media
97
245
1.5K
17.1K
Bless More retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Siku 34 zimepita tangu kesi ya Uhaini inayomkabili Mhe. @TunduALissu isimame, hii ni baada ya ombi la mapitio lililofunguliwa na Jamhuri katika mahakama ya rufaa, ambayo halijapangiwa tarehe hadi leo.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
4
67
249
3.1K
Bless More retweetledi
Marcus
Marcus@InexorablesoG·
"Nimeshasema hawa *viongozi* HAWANA ECONOMIC FOCUS, kama wanayo waionyeshe"..anaendelea kuchapa utosini Father Kitima.
Indonesia
29
269
1.1K
24.2K
Bless More retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mlitaka aseme nini? Pesa zote hizo kaiba mwanae Abdul. Mlitaka aseme watajwe alafu wanyongwe wakati anajua muhusika mkuu ni mwanae kipenzi? Hakuna fisadi mkubwa aliewahi kuiba Tanzania zaidi ya Abdul Hafidh. Na pesa zote hizi zipo Dubai. Investment yooote ya pesa wanazoiba inafanyika Dubai. Bora hata wangekuwa wakiiba wanafungua maviwanda na kuajiri Watanzania ila hapana wakiiba kama watafanya investment ndani ya Tz basi ni wanajenga ma apartments na majengo ya kukodisha Watanzania na sio kuwasaidia kupata ajira na investment kubwa zaidi ndio wanafanya Dubai kwenye real estate. Huu ufisadi wa kiwango hiki ndio sababu wanaua raia wakiandamana, Oktoba 29 waliua raia ili kulinda huu ufisadi wao na hii pia ndio sababu kuu wanapambana bunge liwe halina upinzani wowote. Tusitegemee kupata haki kwenye hii nchi kwa ufisadi huu, mafisadi watapambana juu chini siasa za Tanzania zibaki hivi hivi ili waendelee kuiba huku Wananchi wakiendelea kuteseka. Kwa wizi na ujambazi wa kiwango hiki tusisubiri CCM watoe haki kwa hiari ni lazma wananchi tukaichukue haki yetu.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet mediaMange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
62
250
1.6K
74.2K
Bless More retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Mnatesa watu wengine kwa kuwaweka gerezani kwa mashtaka ya uongo na kughushi, kuwateka na kuwapoteza. Mnatembea VX.R V8 full kipupwe, lakini mkishtuka moyo kidogo tu, mnadedi papo kwa papo kama mshumaa. Hivi ninyi mngeliweza kuishi gerezani siku 350 kwa kusingiziwa? Takbīr.
Indonesia
79
275
1.8K
48.9K
Bless More retweetledi
Larry Madowo
Larry Madowo@LarryMadowo·
Tanzanians online call their country Malawi to confuse state monitors and avoid abductions
English
151
1K
5.9K
208.9K
Bless More retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨DPP AMWANDIKIA JAJI MKKUU AINGILIE KESI YA LISSU ‼️ Kesi ya Lissu imewabana serikalini maana kawashinda kitaalam mahakamani sasa wanataka Jaji Mkuu aitishe faili aipitie na awape pointi za ushindi bure! 🙄 Kwa kifupi DPP na ofisi yake wanataka 1. Kupitiwa kwa uamuzi wa tarehe 24 Februari 2026 uliokataa ushahidi wa ziada 2. Pia wanataka kupitiwa uamuzi wa Jopo la Majaji wa tarehe 23 Oktoba 2025 uliokataa kupokelewa Kwa ile flash ya video ikimuonyesha Lissu akisema Tutakinukisha. Ushauri kwa Jaji Mkuu Masaju - apuuze hii barua aache DPP apambane na hii kesi ya kuchonga Kama refa aseme “no foul, play on!” Serikali iache danadana it’s simple #FreeTunduLissu
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
26
218
1K
75.3K
Bless More retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Mwaka jana tarehe 25/7 2025 nilikwenda kumtembelea Mh Bwege hospitalin, Taasisi ya Mifupa Moi. Japo nimekaa na mh Bwege bungeni na kwenye kambi ya upinzani sikuwahi kuwa karibu nae kama kipindi hiki. Katika kipindi hiki kifupi nilijifunza na kumjua mh Bwege kama. 1. Mtu anaeipenda Nchi yetu na watu wake kwa moyo wote. Katika hali ya ugonjwa aliokuwa nao, watu wengine huacha kabisa hata kufuatilia siasa, kukata tamaa na kuona hata mambo yakiharibika hayamhusu. 2. Mtu mwenye msimamo wa hali ya juu mno, kuna watu walijaribu kumpa msaada wa matibabu lakini kama vile wanaweka masharti, akawambia niko tayari kwa msaada ila siko tayari kuyumbisha msimamo wangu. 3. Mtu aliependa Mageuzi kwa dhati, hata kabla ya kwenda kumuona Hospitalin, alinipigia simu na kuonesha kuwa amefurahishwa sana na uongozi mpya wa Chama chetu chini ya Mwenyekiti wetu Lissu… na akasema ana imani kubwa na Mhe Lissu na atajiunga na chama kama ishara ya kumuunga mkono. 4. Wiki moja iliyopita alianza opareshini ya kusimika Chadema Kusini, katika hali yake ya ugonjwa. Alitoa gari lake bure na mafuta, akawapigia viongozi kule na kuwakabidhi kwa vijana wa Chadema waliokua wanaendesha oparesheni. Kwa wiki moja maelfu ya watu wamehama vyama vingine kule na kujiunga Chadema. 5. Alijua Siasa hasa ground, Spika wa zamani wa bunge la Marekani Thomas P. “Tip” O’Neill Jr, alipata kusema “all politics is local” Siasa ni mahalia, Ndio maana ukienda Tarime utazungumza kuhusu dhahabu na ukienda kusini utazungumza korosho… Bwege alijua sana Siasa mahalia .. ndio maana ni mbunge wa miaka 10 wa upinzani. 6. Aliipenda kusini kwa dhati, aliipigania na alipigania maendeleo ya kusini na kusini ilimpenda sana Bwege. 7. Mfuatiliaji na anaejua watu kwa majina na meneo wanayokaa, wakati wa watu kuhamia Chadema ananipa namba na kuniambia ongea na huyu, yuko Namangaya , ongea na huyu yuko Kivinje, baadae anafuatilia kuuliza kama umeongea nae. Alijiunga na Chama chetu, tukasubiri mikutano ifunguliwe tumpokee kwa heshima aliyostahili.. Mungu amemchukua kabla ya hiyo azma yake kupokelewa mbele ya maelfu ya watu. Pumzika kwa amani kaka gwiji wa siasa za kusini.
John Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet media
Filipino
91
397
2.1K
53.9K
Bless More retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
“Kenya hakuna Rais anaweza uwa watu kama Samia au Mseven”-; @rigathi
Indonesia
14
175
803
19.8K
Bless More retweetledi
DJIGUI DIARRA 🐐
DJIGUI DIARRA 🐐@1960Remija·
Muuaji atabaki kuwa muuaji na hakuna namna yoyote unaweza kumpaka mafuta au kuchagua upande wa mazuri yake. Ukishatoa roho za binadamu wenzako utakumbukwa kwa damu ulizomwaga na sio mapambio. Mnawezaje kumpamba muuaji kwa kuchagua upande wa mazuri yake? Mna mioyo ya ajabu sana.
Indonesia
22
82
460
12.9K
Bless More retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Maendeleo hayawezi kuwa kisingizio cha kuua watu, kuteka watu, kutofuata sheria, kuua demokrasia, kuleta uchawa, kuua bunge la wananchi nk.. Hivi baba yake Ben Saanane, mama yake Polepole, mke wa Mdude , mtoto wa Kipanya na maelfu ya waliotekwa na wengine kuuawawa.. familia ya Mzee Kibao au Mohamed Dewji alietekwa na kwa bahati akarudi… Hawa watu Unawezaje kuwambia kiwango cha Maendeleo kinachotosha kuteka na kuua ndugu zai bila hatia? Hakuna Maendeleo yanayoweza kulinganishwa na uhai wa mtu, Maendeleo ni kwaajili ya binadamu sio binadamu kwaajili ya maendeleo… watu wote wakifa hakutakua na maji, wala umeme wala barabara. Unaweza kuwa kiongozi bora, ukafuata sheria, ukajenga demokrasia na bado ukafanya Maendeleo makubwa mno na Inawezekana.. Kiongozi dikteta ambae hajengi taasisi hakubaliki.
Indonesia
23
226
781
20.4K
Bless More retweetledi
Mamwavi_Nkabasia
Mamwavi_Nkabasia@joeselasini·
Tangazo lililosababisha mauwaji ya tarehe 29.10 2025. IGP asingeweza kulitoa bila idhini na amri ya Amiri Jeshi Mkuu. Hata wakichakachua taarifa kiasi gani hapa hawatoki. Kususia uchaguzi au kunadi "NO REFORM NO ELECTION" hakuwezi kuuwa mtu Kwa risasi. "MTAKUNYWA AU KUMEZA."
Indonesia
19
122
430
21.2K
Bless More retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Ila Rachel 😁😁 Huko mwisho msisikilize kwa speaker kama uko na watu 🤣 Ila hicho alichokuwa anachoma si ubani? Washirikina ni shida - badala waite mental health professionals! Ila Katiba iko wazi anatakiwa akae pembeni maana afya ya akili ni moja ya sifa muhimu ya kuwa Rais Eniwei #SamiaMustGo
Filipino
25
86
560
50.7K
Bless More retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Wiki kadhaa zilizopita Tume ya Jaji Othman Chande ilimpelekea Nduli Idd Amin report yao ya awali kuhusu Mauaji ya Oktoba 29. Nduli Idd Amin mama ameikataa Report ya awali kwasababu ya mambo kadhaa ila kubwa kuliko yote ni kwamba hakuna mahali Tume imeitaja CHADEMA kuhusika na mauaji ya Watanganyika siku ya Oktoba 29 wakati yeye alishawaelekeza Tume tangu siku ya kwanza kwamba wafanye kila linalowezekana lawama zote za Oktoba 29 wabebeshwe Viongozi wa CHADEMA. Jambo la pili Report ya awali ya Tume inaonyesha kwamba asilimia kubwa watu waliopigwa risasi na kuuwawa Oktoba 29 hawakuwa kwenye Maandamano bali walifuatwa majumbani kwao na kupigwa risasi sasa Idd Amin Mama amekikataa hiki kipengele anataka Tume iseme waliopigwa risasi asilimia kubwa walikuwa Waandamanaji na walikuwa wakichoma na kuharibu mali za umma na za watu binafsi. Jambo la tatu Report ya awali imegusia kuhusu makadirio ya watu waliouwawa na issue ya miili ya watu kuchukuliwa Mochwari na vyombo vya ulinzi na usalama hata hii Idd Amin ameikataa anasema itazua taharuki ni either waachane nayo au wapunguze idadi ya waliouwawa. Jambo la nne Report ya awali inaonyesha kwamba walioshiriki kupiga watu risasi na kuwauwa ni maofisa wa Jeshi la Polisi wakisaidiwa na maofisa wa TISS, KMKM na Wanajeshi kutoka njee ya mipaka ya Tanzania hata hii Idd Amin Mama ameikataa anataka baadhi ya wahusika waondolewe kwenye Report. Nduli Idd Amin mama kaiambia Tume Jaji Othman kwamba yeye hakuwapa kazi ya kuichunguza Serikali bali aliwapa kazi ya kuchunguza mambo ya Oktoba 29. Jambo la tano Report ya awali inasema chanzo cha Maandamano ya Oktoba 29 ni madai ya wananchi juu ya swala la Katiba Mpya na Tume huru ya Uchunguzi ila chakushangaza Idd Amin Mama anailazimisha Tume iseme kwamba chanzo ni CHADEMA kukataa kushiriki Uchaguzi na kwamba CHADEMA baada ya kukutaa kushiriki Uchaguzi iliitisha na kuhamasisha watu Waandamane mara sijui CHADEMA ilichochea Wananchi kuichukia Serikali.😂 Idd Amin Mama anailazimisha Tume kwenye mapendekezo yao pamoja na mambo mengine waseme CHADEMA ifutiwe usajili, Tume wamemwambia kuifutia CHADEMA usajili kutasabanisha nchi ikose utulivu hali ambayo inaweza kusababisha nchi iingie kwenye machafuko kwa mara nyingine. Ngoja tuone, Je Tume itakubaliana na maujinga ya Nduli Idd Amin Mama au watasimamia ukweli.
Hilda Newton tweet media
Filipino
77
251
1.1K
77.4K