Caretaker

603 posts

Caretaker

Caretaker

@Bobpablo007

Dog dealer Based on dar es salaam,,Dodoma, Morogoro

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2022
27 Takip Edilen17 Takipçiler
Caretaker
Caretaker@Bobpablo007·
@OriginoZee17 Kaka sikujui hunijui ila kuigusa account ya shetani ni kugusa mboni yangu account ile tuta ilinda kwa wivu mkubwa sana TUHESHIMIANE
Eesti
0
0
0
21
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kesi ya MH. TUNDU LISSU inaruka live vyombo vingi vya habari TANZANIA. Acha kuomba LINK nenda Youtube angalia mwenyewe. Sema wabongo mnavyopenda LINK, utashangaa kwenye hii post mtu ANAOMBA LINK.🫵🏾😎
Indonesia
46
40
685
35.8K
Komu Printing
Komu Printing@Elparton112·
Ongezeko la Asilimia 35.1 kwa hiyo anayelipwa 1M sasa atakua anapokea 3.5M🙌🏿
Filipino
265
38
898
146.8K
Caretaker
Caretaker@Bobpablo007·
@Dr_DGwajima Mh.wazir unaupiga mwingi niruhus nije n mtandike makofi mawili kwa heshima
HT
0
0
0
25
Dr. Dorothy Gwajima
Dr. Dorothy Gwajima@Dr_DGwajima·
HATIMAYE MWIJAKU AKAMATWA NA KUHOJIWA NA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM. 24 Aprili, 2025 ------------------- Tafadhali rejeeni taarifa yangu kwa Umma kama Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu ya tarehe 20 Aprili 2025 na tarehe 23 Aprili, 2025 kuhusu mabinti wanafunzi wa vyuo vikuu waliomdhalilisha Binti mwenzao anayesoma Chuo Kikuu cha Ardhi (jina limehifadhiwa). Baada ya taarifa hizo, sehemu kubwa ya jamii iliuliza kuhusu lini anayetajwa kama Mwijaku angehojiwa?. Napenda kutoa taarifa kuwa, tayari Mwijaku amekamatwa na ameshahojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam na Mwijaku huyo majina yake rasmi yamebainika kuwa ni Mwemba Burton ambaye ni mkazi wa Dar Es Salaam. Aidha, wengine waliokamatwa na kuhojiwa pamoja naye ni Mary Matogoro wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam; Ryaner Mkwawili wa Chuo Kikuu Ardhi; na Asha Suleiman Juma wa Chuo cha Uhasibu (TIA). Pamoja na hatua hii, Jeshi la Polisi linaendelea na upelelezi kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria. Taarifa za kukamatwa na kuhojiwa kwa watu hawa zimetolewa tarehe 24 Aprili, 2025 na Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam. SHUKRANI: napenda kutoa Shukrani zangu za dhati kwa Wananchi wote walioshirikiana katika hatua zote za kupatikana kwa taarifa zilizowezesha kumpa msaada stahiki manusura wa ukatili huu mbaya. Natoa Rai tuendelee kushirikiana daima katika kuzuia ukatili na kuibua ukatili na udhalilishaji unaofichwa. Aidha, NATOA WITO kwa jamii tuepuke kuchukua Sheria mikononi na pia, TUISHI MAISHA YA UADILIFU. MWISHO. ---------------- @maendeleoyajami @tanpol
Dr. Dorothy Gwajima tweet media
Indonesia
324
78
1.1K
156K
mwijaku
mwijaku@MwijakuBurton·
SEMA WATANZANIA WAMENIFURAHISHA SAANA WAPO BIZE NA UMBEA WA DC . WAMEWAMWAGA CDM NA MKUSANYIKO WAO WA KISUTU . HILI NI FUNZO KWAO KUA WATANZANIA HAWATAKI UJINGA WA MAANDAMANO KWA SASA WANATAKA FURAHA NA MAENDELEO NA UMBEYA KUDOGO WA DC MWIJAKU
Indonesia
374
8
196
130K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Honestly sjawahi Kuoneshwa upendo Mkubwa kama mnao nionesha watu wa X, kiukweli rafiki zangu nawependa mnoo nyie ni rafiki wa kweli na wadhati sana, Allah awape Maisha marefu na Kuwalainishia katika Utafutaji wenu.
Indonesia
35
10
229
15.4K
Uncle G
Uncle G@Lukala_Ngesse·
HATUCHEZI FC , KIKO WAPI SASA🤣
Uncle G tweet media
Filipino
169
73
1.1K
160.8K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Anaitwa DC Kisarawe Petro Magoti!!!
Filipino
148
19
230
131.7K
Caretaker
Caretaker@Bobpablo007·
@rollymsouth Sorry ya nini hpo kikatuni au umesha lewa hio haina sorry MOFO
Indonesia
0
0
1
240
Geoffrey Lea
Geoffrey Lea@Geoffrey87Lea·
watu wanakwambia Bora Chama kuliko Ahoua,sawa hatukatai,ila Wkt wa Chama Simba ilifika Semi Final ya mashindano ya CAF mara ngapi? U appreciate what u have in football and ignore the rest,Chama had his time,its in the past with all due respect to his legacy,this is a new Era
English
103
84
1.3K
52.4K
Caretaker
Caretaker@Bobpablo007·
@Geoffrey87Lea Usiongee kma fala kipindi cha chama Simba haijawai cheza shirikisho
Indonesia
0
0
0
65
The ChandO
The ChandO@SadickTusia·
UBUNGO MATAA🙌hamna Traffic ila check Boda walivyokuwa na Nidhamu…
The ChandO tweet media
Filipino
74
24
515
42.2K
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Acheni kula huyu mdudu nyama yake ina madhara makubwa na imelaaniwa
Malkia Nyuki 👑 tweet media
Filipino
500
50
1K
238.3K