Kuikuza account from 0 follower to 10k followers, Sio masihara.. kuna dharau nyingi sana humo njiani😂💔,.. Kwa heshima, hatuna mashabiki ila tuna wanetu👊.
Watu wa twitter ahsanteni sana kwa kuendelea kuniamini
Naomba Pitia upande wa media zangu chagua bidhaa
Then piga/tuma sms kupitia namba :
+255694201676
kwaajili ya kuweka oda yako
Karibuni sana TICHA HAPPY ONLINE SHOP kwa huduma bora na haraka 🤝
Kindly retweet 🙏 😊 ❤️
Kuishi na watu vizuri online unyama sana kuna Familia wa Hapa X kanikuta mtaani nimebeba furushi navizia boda alikua na bajaj kamwambia mpeleke blaza ntalipia🙌🏽🙌🏽
Oi Barikiwa sana Rasta🫡
Assume wangefungulia X afu ipigwe semina moja elekezi ya vijana kulipia bluetick na kuanza kuzalisha contents ili kuyafukuzia maokoto ya Elon Musk na tukashambulia kama manyigu.
Trust me huenda malalamiko ya maisha magumu kwa vijana yangepungua kwa kiasi fulani.."Nipo ndotoni😀
Kwa sasa t-shirt zetu wagonga ulimbo zinapatikana lengo letu ni kuinuana na kuigusa jamii moja kwa moja na kutuunganisha kuwa kitu kimoja
Hivo basi support yako ni kubwa sana kwa kuwa tumedhamiria kwa dhati kabisa mauzo ya t shirt zetu faida yake ikainue wagonga ulimbo waliokata tamaa, mayatima, na watu wote wenye uhitaji wetu katika jamii .
Lengo ni kuinuana karibuni sana🙏