Boni Swai retweetledi
Boni Swai
77.5K posts

Boni Swai retweetledi

Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa nitakuwa Uyole Jumapili hii pamoja na Viongozi wengine wa ngazi mbalimbali za chama…Ni mkutano wa hadhara na Wananchi wote wa Mbeya Mjini njooni tuendelee tulipoishia…✌🏾✌🏾
#LiMwenyekiti #NyasaMpya #FREELISSU

Indonesia
Boni Swai retweetledi

Boni Swai retweetledi

Kitendo cha Magereza na Mahakama kumpeleka Mwenyekiti wetu mahakamani bila taarifa ya mawakili wa chama na chama ni aibu na kutia mashaka sana .
Tumezuiliwa kumuona kiongozi wetu kwa miezi Karibia sita kinyume cha sheria..
Sasa anapelekwa mahakamani kwa siri na kificho nia yenu ni ipi?
Lissu ni kiongozi wa umma haiwezekani kumfanyia mambo ya ajabu kama haya.
Indonesia
Boni Swai retweetledi
Boni Swai retweetledi
Boni Swai retweetledi

Watangazaji wawili wa Radio Kyela FM, Tumsifu Nsangalufu Katina na Emmy Eliud Haisule, wamekamatwa na jeshi la Polisi wilayani Kyela, na usiku huu wanasafirishwa kuelekea Mbeya mjini. Kukamatwa kwao kunahusishwa na kusoma taarifa iliyoandikwa na gazeti la Mwanahalisi yenye kichwa cha habari "AFANDE WA MWIGULU ATOWEKA"



Indonesia
Boni Swai retweetledi
Boni Swai retweetledi

Barua ya Tundu Antiphas Lissu si maandishi ya kawaida, ni kengele ya hatari. Inatukumbusha kuwa haki inapocheleweshwa, si tu inaumiza, bali hugeuka mateso ya wazi. Wananchi, tusijidanganye. Ukimya wetu si neutral Bali ni upande ktk kukumbatia dhuluma. Kila tunaponyamaza, tunatoa nafasi kwa dhuluma kuendelea. Kila tunaposita, tunadhoofisha nguvu ya haki.
Je, tutakubali kuwa watazamaji wa historia, au washiriki wa mabadiliko? Kama mbinu zetu hazifanyi kazi, zibadilishwe. Kama sauti yetu haisikiki, ipazwe zaidi. Haki haiombwi kwa sauti ya chini , hudaiwa kwa msimamo thabiti. Huu si wakati wa hofu wala kusubiri wengine wachukue hatua. Ni wakati wa kila mmoja kusimama na kusema inatosha.Kwa sababu ukweli uko wazi, haki ya mmoja inapovunjwa, msingi wa haki ya wote unatetereka. Na jamii inayokubali hilo, hujijengea hatari yake yenyewe. Simama. Ongea. Chukua nafasi yako. Wakati wa haki ni sasa.

Indonesia
Boni Swai retweetledi

Mnaokaa na siri nzito za kuua na kudhulumu uhai eti mnafanya kazi serikalini ujumbe wenu kutoka Padre Kessy
Ni kwamba ITAKUTAFUNA‼️
Sasa msikilizeni mjisahihishe mkiwa bado hai nje ya hapo kwisha habari! Na msimtafute kumteka washenzi ninyi
#TutaelewanaTu
Indonesia
Boni Swai retweetledi
Boni Swai retweetledi
Boni Swai retweetledi

“My mum told me to reject the AFCON trophy. I'm officially rejecting the trophy and hope my teammates do the same.
We had a chance to win it but we failed to win it. That's football, sometimes you win and sometimes you lose.
Senegal beat us fairly and deserved the win. It will be unfair to ruin their joy after the hardwork they put in.
I respect the CAF decision but I'm officially rejecting the trophy. I didn't win 2025 AFCON. Congratulations to Senegal once again.”🇸🇳❤️
Achraf Akimi

English
Boni Swai retweetledi
Boni Swai retweetledi
Boni Swai retweetledi
Boni Swai retweetledi
Boni Swai retweetledi

Tangu Mwenyekiti wetu akamatwe mwezi wa nne,
Leo ni miezi 11.
Watanzania wanajua na Dunia inajua kwamba Lissu hajafanya kosa, kesi hii ni ya uongo kwaajili ya kulinda Utawala usio na ridhaa, kutishia watu na kutaka tusitimize wajibu wetu kama chama kikuu cha siasa Tanzania.
Tangu mwezi wa 10 mwaka 2025, Mwenyekiti alikaa Magereza kwa zaidi ya miezi minne bila kesi kuendelea huku akiteseka bila sababu yoyote.
Tunajua hii kesi imefunguliwa kumtesa kiongozi wetu ili abadili msimamo wake kuhusu mambo ya Nchi yetu… kuhusu ufisadi wa serikali ya Samia , mauaji, utekaji, wizi wa mali za umma, maisha mabovu na uchumi wa hovyo kwa watu wetu… Tunajua anateswa kwasababu yetu Watanzania.
Rufaa ya juzi kwa mambo yasikatiwa rufaa ni ushahidi mwingine kwamba hakuna kesi bali kumpotezea Mwenyekiti muda wake na kumtesa..
Huu ni mwezi sasa Mahakama iko kimya, tunajiuliza kesi yenye uzito kama huu kwa mtu ambae amekaa ndani mda wote huu.. inakuaje mahakama isione urgency kwenye jambo hili..
Mahakama iliyotegemewa kutoa haki na kumaliza jambo hili kwa haraka, inapokaa kimya kunakua na mashaka makubwa..
Sisi hatuwezi kuendelea kunyamazia suala hili.
Tunataka huu uhuni ukome haraka , Mwenyekiti wetu aachiwe arudi kufanya wajibu wake.
Wanachama wetu na Watanzania hawataendelea kukalia kimya uonevu wa wazi kwa mtu asiye na hatia.
Indonesia
Boni Swai retweetledi
Boni Swai retweetledi



















