Collin7

10.9K posts

Collin7

Collin7

@BritonCollin

Katılım Nisan 2021
1.4K Takip Edilen383 Takipçiler
Collin7
Collin7@BritonCollin·
@Day_Waka45 Nondo gani mzee Kila mtu afanye majukumu ya wizara yake.. Wizara ya maliasili kazi yake na ujenzi kazi yake
Indonesia
1
0
3
185
Day Waka45
Day Waka45@Day_Waka45·
Anko zangu "Viongozi Wenye Huwezo Wa Kutusemea Bado Tunao Lakini Wachache sana nenda kamsikilize Mbunge Msukuma Katema Nondo Sana 🙏🏽
Day Waka45 tweet media
Indonesia
22
33
170
7.9K
Dr Mmbaga
Dr Mmbaga@ZakayoMmbaga·
Umewahi kwenda na/ kwa mgonjwa hospitali alafu ukakatazwa kukaa kwenye kitanda cha wodini ukamind? Hospitali kuna maambukizi mabaya sana ya vimelea vyenye usugu wa dawa “Nosocomial Infection”. Unaweza kuvichota ukapeleka nyumbani ukaanza kuumwa au kuambukiza wengine walio wazima.
Indonesia
8
5
46
2.2K
Collin7 retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Uingereza na Klabu ya Manchester United, Rio Ferdinand, akiwa ndani ya balloon katika Hifadhi ya Serengeti, ambapo hii leo ametembelea hifadhi hiyo na ameshuhudia maajabu ya uhamaji wa nyumbu ndani ya hifadhi ukiwa ni muendelezo wa ziara yake Nchini akiwa na mwenyeji wake, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
15
7
103
6.5K
Collin7 retweetledi
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda na mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Uingereza na Klabu ya Manchester United, Rio Ferdinand wakiwa katika Hifadhi ya Serengeti kwa ajili ya kutembelea vivutio mbalimbali.
Indonesia
19
14
271
28.5K
Collin7 retweetledi
Max Red
Max Red@Utd__max10·
The fact that Casemiro’s goodbye message has more views than Arsenal’s title celebration is killing me 😭
English
586
2.5K
25.2K
549.1K
MWAKA ROBO
MWAKA ROBO@Denho07·
TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI NCHINI Natangaza rasmi kupumzika na kuachana na kazi ya kamari katika maisha yangu maana nimeona napata hasara kuliko faida hivyo sina budi kuendelea Hapo chini ni kiapo changu kuhusu kuacha kamari 🙌🗞️📰🧠 @Sativa255 @Thereal_taivina
MWAKA ROBO tweet mediaMWAKA ROBO tweet media
Filipino
41
19
74
16.8K
Collin7 retweetledi
ChelseaReport
ChelseaReport@chelsreport_·
Congratulations to @FA_PGMOL on the 2025/26 title! 👏🏆
ChelseaReport tweet media
English
336
5.8K
31.3K
280.4K
Collin7 retweetledi
Dennie Handa
Dennie Handa@denniehanda·
😂
Dennie Handa tweet media
QME
17
34
196
3K
Collin7 retweetledi
5 People
5 People@_MtuTano·
Who is the actual king of premier league?? 😂😂😂
5 People tweet media
English
241
117
1.3K
33.4K
Collin7 retweetledi
Sujal Swain
Sujal Swain@officialsujal10·
Sir Alex Ferguson - the greatest manager in the history of the sport. #MUFC 🇾🇪
English
2
119
565
7K
Collin7 retweetledi
Brizzy
Brizzy@Utdbrizzy·
Good morning Reds ✅
Brizzy tweet media
English
3
15
189
1.9K
Collin7 retweetledi
🍁
🍁@Jeba_OG·
Kama mlikuwa hamuwezi kushangilia mngeacha watu wabebe hiko kikombe, naona timeline imejaa Manchester United
Indonesia
16
14
114
1.9K
Collin7 retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 20, 2026 amefanya mazungumzo na Nahodha na Mchezaj wa zamani na wa Timu ya Taifa ya Uingereza na Klabu ya Manchester United, Rio Ferdinand Ofisini kwa Waziri Mkuu MIimwa Jijini Dodoma. Rio amewasili nchini kwa mwaliko maalum wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ambaye ameambatana nae ofisini kwa Waziri Mkuu. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
15
7
190
11.4K
Collin7 retweetledi
Ironmarc⚒
Ironmarc⚒@Ironmarc1·
Ironmarc⚒ tweet media
ZXX
34
357
1.8K
25.8K