TheLastSon

39.1K posts

TheLastSon banner
TheLastSon

TheLastSon

@BuffaH65

Dream chasser🏃🏃 Football Fun|||Man United & Young African sportclub|||

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2017
2.7K Takip Edilen4.4K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
TheLastSon
TheLastSon@BuffaH65·
Unapofeli jambo fulani haimaanishi huo ndio mwisho wa dunia, endelea kujaribu, endelea kujifunza tena na tena utaona mafanikio mbele yako hakika
Indonesia
16
12
20
1.2K
Brave man
Brave man@thomas_yona_·
Maisha yako yote hakikisha haukosi watu hawa Wanaokoa sana 1. Mwanasheria 2. Daktari 3. Polisi 4. Mwanajeshi 5. Mtu wa IT 6. Dalali 7. Misheni town 8. Mchungaji/shekh 9. Mtu anaye wajua watu (connection) 10. Michepuko
Indonesia
27
48
224
6.9K
OG OUTFITS❤️💃
OG OUTFITS❤️💃@og_outfits·
Leo niko na Mood niulize swali lolote la Chemistry najibu hapa😊👇
Filipino
34
17
152
7.2K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Ukiwa na akili timamu ujue hii dunia sio sehemu yako ya kuishi.wanatakiwa wapumbavu tuu na wajinga.ukijiuliza maswali sahihi utakubaliana nami.wajinga wanataka kuishi na wajinga tuu ukijifanya unaakili wanataka kukupoteza.
Indonesia
6
11
21
242
GABBY
GABBY@IamGabby_01·
Ukweli ni kama jua; hata uuzike vipi, mwishowe utachomoza. Uongo hauna miguu, hivyo hauwezi kusafiri mbali, Mapema au baadaye. kila siri hufunuka na kumwacha mwongo katika mshangao. Ukweli hubaki imara daima.
Indonesia
30
47
68
622
Molly
Molly@Molly_AFC·
Good morning early birds. Let’s connect
Molly tweet media
English
9
6
19
520
Church Boy✝️🇹🇿
Ukipata nafasi ya kusali sali sanaa ombea shughuli zako za kujipatia kipato vita ya umasikini haijawahi kuwa nyepesi...👏🇹🇿 Good morning familia.
Indonesia
41
38
77
600
MUDI AMOUR.🤎🖤
MUDI AMOUR.🤎🖤@AmourMudi·
Kama kawaida yetu tunaanza na Mungu tunamaliza na Mungu. Good Morning X Family.
Filipino
38
30
50
396
ZIP🇹🇿
ZIP🇹🇿@zipdmpjr26·
Habari ya Asubuhi Ndugu Zangu Jamaa Na Marafiki wa ZIP 🤫
Indonesia
34
37
59
837
Mbåppê wä bõñgø 🇹🇿
Kumekucha , morning ya leo wapwa naomba tukuze account,mkanifuate mwenenu @ibrahimmmoto niko online leo kwa kujua umuhimu wenu vijana wangu 🙏🙏🙏 Good morning new followers and Old followers 👋🤝🙏
Mbåppê wä bõñgø 🇹🇿 tweet media
Filipino
10
9
13
94
Nηкσ
Nηкσ@Sam_UsariverBoy·
Ukiwa Hai usiwe na maringo, kaa ukijua leo upo kesho haupo unazima kama Mshumaa. Ishi na watu vizuri. Good morning Gez
Indonesia
13
11
30
312
~BINGWA⚡
~BINGWA⚡@BingwaIK·
Ni siku nyingine ya kumtanguliza Mungu kwenye kila Jambo, Good morning🌅,
Filipino
30
29
41
480
TheLastSon
TheLastSon@BuffaH65·
Ikawe siku yenye kheri katika harakati zetu za kilasiku
Indonesia
2
2
5
37
M A C K 🤠 🇹🇿.
M A C K 🤠 🇹🇿.@Omarymsomal·
Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya 114 ya mwaka 2026 Good morning friends🖐
Filipino
41
34
67
640
TheLastSon
TheLastSon@BuffaH65·
To all men out there, usijaribu kumhukumu baba yako hadi utakapokuwa na familia yako mwenyewe.
Indonesia
1
2
8
180
Ambele Young
Ambele Young@Ambele_Young·
Good morning everyone 🌅🌅
English
63
54
83
879
Wuoduk🇰🇪💫
Get ready and grow your Numbers here 🐦🍀 Repost ♻️ and get fresh moots ✅🚀
English
24
30
27
273