CCM Mtandaoni

9.1K posts

CCM Mtandaoni banner
CCM Mtandaoni

CCM Mtandaoni

@CCMmtandaoni

Kundi la Hamasa CCM Mtandaoni| CCM IDEOLOGY| Wajamaa| #TeamSamia #KaziIendelee

Tanzania Katılım Temmuz 2022
1.3K Takip Edilen3.1K Takipçiler
CCM Mtandaoni
CCM Mtandaoni@CCMmtandaoni·
𝗖𝗖𝗠 𝗜𝗠𝗘𝗜𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗞𝗨𝗧𝗢𝗔 𝗥𝗨𝗭𝗨𝗞𝗨 𝗜𝗟𝗜 𝗞𝗨𝗣𝗨𝗡𝗚𝗨𝗭𝗔 𝗚𝗛𝗔𝗥𝗔𝗠𝗔 𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗨𝗧𝗔 - 𝗞𝗘𝗡𝗔𝗡𝗜
Suomi
0
0
0
12
CCM Mtandaoni
CCM Mtandaoni@CCMmtandaoni·
𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗜𝗣𝗢 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗠𝗔 𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 - 𝗞𝗘𝗡𝗔𝗡𝗜 𝘼𝙨𝙞𝙨𝙞𝙩𝙞𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙘𝙝𝙖𝙥𝙖 𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙚𝙣𝙙𝙚𝙡𝙚𝙖 𝙠𝙪𝙙𝙞𝙢𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙖𝙢𝙖𝙣𝙞 𝙮𝙚𝙩𝙪.
Indonesia
0
0
1
22
CCM Mtandaoni
CCM Mtandaoni@CCMmtandaoni·
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
CCM Mtandaoni tweet mediaCCM Mtandaoni tweet mediaCCM Mtandaoni tweet mediaCCM Mtandaoni tweet media
हिन्दी
0
0
1
4
CCM Mtandaoni
CCM Mtandaoni@CCMmtandaoni·
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 8, 2026.
CCM Mtandaoni tweet media
Indonesia
0
0
0
13
CCM Mtandaoni retweetledi
Ofisi ya Makamu wa Rais
Ofisi ya Makamu wa Rais@vpo_tanzania·
Ninaungana na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwatakia Watanzania wote, Heri ya Sikukuu ya Pasaka. Pasaka ni kielelezo cha ushindi, matumaini mapya, na upendo mkuu. Tuendelee kudumisha tunu zetu za amani, mshikamano, na kuvumiliana ambazo ndizo msingi wa Taifa letu. Tuutumie wakati huu kutafakari wajibu wetu kwa wengine na kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kuijenga Tanzania yenye ustawi na maendeleo kwa wote. Heri ya Sikukuu ya Pasaka! ___ Mheshimiwa Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ofisi ya Makamu wa Rais tweet media
Filipino
1
6
18
462
CCM Mtandaoni retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
TAARIFA KWA UMMA
ikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
53
36
141
21.5K
CCM Mtandaoni
CCM Mtandaoni@CCMmtandaoni·
Heri ya Sikukuu ya Pasaka
CCM Mtandaoni tweet media
Indonesia
0
0
1
15
CCM Mtandaoni
CCM Mtandaoni@CCMmtandaoni·
Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
CCM Mtandaoni tweet media
Indonesia
0
0
0
10
CCM Mtandaoni
CCM Mtandaoni@CCMmtandaoni·
TAARIFA KWA UMMA
CCM Mtandaoni tweet media
Indonesia
0
0
0
11
CCM Mtandaoni retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Nawatakia Watanzania wote Pasaka njema, yenye furaha na baraka tele. Tunapoadhimisha ufufuko wa Bwana Yesu Kristo, tuyakumbuke na kuyaenzi mafundisho na matendo yake ya huruma, upendo, msamaha na kujitoa kwa ajili ya wengine. Pasaka hii itukumbushe umuhimu wa kudumisha amani, kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa, ili tuendelee kujenga Taifa lenye fursa kwa wote, ustawi na maendeleo endelevu kwa kizazi cha sasa na kijacho. Heri ya Sikukuu ya Pasaka!
ikulu_Tanzania tweet media
Filipino
69
47
154
12.9K
CCM Mtandaoni
CCM Mtandaoni@CCMmtandaoni·
𝗞𝗜𝗡𝗔𝗪𝗔𝗧𝗔𝗞𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗥𝗜𝗦𝗧𝗢 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗪𝗢𝗧𝗘 𝗞𝗪𝗔 𝗨𝗝𝗨𝗠𝗟𝗔 𝗛𝗘𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗦𝗜𝗞𝗨𝗞𝗨𝗨 𝗬𝗔 𝗣𝗔𝗦𝗔𝗞𝗔 #𝙆𝙖𝙯𝙞𝙉𝙖𝙐𝙩𝙪𝙏𝙪𝙣𝙖𝙨𝙤𝙣𝙜𝙖𝙈𝙗𝙚𝙡𝙚
Indonesia
0
0
0
9
CCM Mtandaoni
CCM Mtandaoni@CCMmtandaoni·
𝙃𝙀𝙍𝙄 𝙔𝘼 𝙎𝙄𝙆𝙐𝙆𝙐𝙐 𝙔𝘼 𝙋𝘼𝙎𝘼𝙆𝘼 𝗖𝗛𝗔𝗠𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗣𝗜𝗡𝗗𝗨𝗭𝗜 (𝗖𝗖𝗠) 𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔𝗞𝗘 𝗡𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗪𝗔 𝗝𝗔𝗠𝗛𝗨𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗨𝗨𝗡𝗚𝗔𝗡𝗢 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗠𝗛𝗘. 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗦𝗨𝗟𝗨𝗛𝗨 𝗛𝗔𝗦𝗦𝗔𝗡,
CCM Mtandaoni tweet mediaCCM Mtandaoni tweet media
Indonesia
0
0
2
17
CCM Mtandaoni retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakiwa kwenye Misa takatifu ya kumuombea aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na wenye Ulemavu), Hayati William Vangimembe Lukuvi katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Machi, 2026
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
4
10
52
3.4K
CCM Mtandaoni retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Familia ya aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na wenye Ulemavu), Hayati William Vangimembe Lukuvi, ikiwa kwenye Misa takatifu ya kumuombea Marehemu katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Machi, 2026
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
15
22
121
14.1K
CCM Mtandaoni retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kabla ya kuwaongoza Watanzania kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na wenye Ulemavu), Hayati William Vangimembe Lukuvi, katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2026.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
13
25
72
5.5K