Charles Swai🇹🇿 🇰🇪

112.1K posts

Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 banner
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪

Charles Swai🇹🇿 🇰🇪

@CDot1504

Accountant| Social provocateur| Music Addict| Being myself is all that matters |Activist| Ocean Addict💙

Africa Katılım Ocak 2011
6.2K Takip Edilen5.2K Takipçiler
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 retweetledi
Basketball Africa League
David Michineau was a show-stopper in Day 2 😳
Basketball Africa League tweet media
English
3
14
243
4.1K
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Huu sio uwekezaji hata kidogo. Nilisema hapo nyuma na ninarudia tena hapa Coco Beach panahitaji brain power. Ni ufukwe bora kabisa katika Jiji la Dar es Salaam na mipango yake haiwezi kuendeshwa kwa mjadala uliobeba poverty mentality. Jitihada yoyote ya kurekebisha Coco Beach ili kubeba quality standard mimi nitakuwa mshirika wake ktk jitihada hizo. Nafurahi kwamba ukweli ktk eneo hili umeanza kusikika. Mindset transformation is bigger than voting collection.
Indonesia
33
37
300
25.4K
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 retweetledi
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Véron Mosengo-Omba amejiuzulu wadhifa huo baada ya kuhudumu kwa zaidi ya miaka 30. Katika taarifa yake kwa umma amesema amechukua uamuzi huo ili kujikita katika miradi binafsi na kwamba anaondoka na kuiacha CAF ikiwa imara kuliko wakati wowote.
Swahili Times tweet media
Indonesia
0
11
236
16K
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Timu ya Mpira wa Kikapu ya Dar City ya Tanzania imeendeleza ubabe katika Michuano ya BAL 2026, Nchini Afrika Kusini baada ya kuifunga Nairobi City Thunder kwa vikapu 90-85. Dar City imeendelea na ubabe kwa kushinda mechi ya pili mfululizo kitu ambacho kimewashangaza hadi Waandaaji kwa sababu ya ugeni wa Tanzania katika michuano hiyo. Dar City Sasa watarudi tena uwanjani March 31, 2026 na kucheza dhidi ya Al Ahly Benghazi ya Libya. #MillardAyoUPDATES.
millardayo tweet media
Indonesia
4
12
436
14.6K
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 retweetledi
†hømz
†hømz@ThomzJoseph·
@CDot1504 🔥🔥
QME
0
1
0
22
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 retweetledi
†hømz
†hømz@ThomzJoseph·
@CDot1504 Nilikuwa live 3pts za Foster dakika A mwisho 🔥🔥🙌🏾😃
Filipino
0
1
0
139
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 retweetledi
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Mahakama ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Kepa Heha (Bachani) kwa kosa la kuzini na mtoto wake (jina limehifadhiwa).
Swahili Times tweet media
Indonesia
8
11
112
9.7K
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 retweetledi
WorldSports14
WorldSports14@WorldSports14_·
Nyota wa Dar City,Mtanzania Hasheem Thabeet ameweka historia ya kuwa mchezaji wa kwanza kucheza michuano ya ligi ya Basketball Afrika (BAL) akiwa ni mchezaji na rais wa shirikisho la mpira wa kikapu katika Taifa lake
WorldSports14 tweet media
Indonesia
10
18
565
55.7K