carola kinasha
18.1K posts


WINNER OF THE HUMAN RIGHTS DEFENDER AWARD! Congratulations to @LarryMadowo for winning the human rights defenders award, an award recognizing Individuals or movements who, within the past year, have demonstrated outstanding courage in addressing and challenging current human rights issues. #HRDAwardsAt10 #MeettheHRDs #CourageHasAName












Marehemu enzi za uhai wake Baada ya Idd Amin Mama kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi na kujiweka madarakani bila kupigiwa kura. Lukuvi akiwa Bungeni anatamba kabisa kwamba Wabunge wote wamshukuru Idd Amin Mama maana kawabeba kwenye Uchaguzi. Idd Amin mama aliwapa Ubunge haram wote hawa baada ya kufanikiwa kumwaga damu za Watanganyika zaidi ya elfu kumi. Kwahiyo hapa walikuwa wanamshukuru Idd Amin mama kwa kumwaga damu za ndugu zetu ili wao wawe wabunge. Halafu kuna mtu anasema nimuheshimu marehemu wewe unaweza kumheshimu mtu aliyeuwa familia yako..?








Uchaguzi umepita yupo ndani💔 Christmas imepita yupo ndani💔 Mwaka mpya umepita yupo ndani💔 Eid imepita yupo ndani💔 Possibly na Pasaka itapita yupo ndani💔

Fikiria ushenzi kama huu halafu tunaongoza kwa kuwa na ng’ombe Maziwa tunaagiza kwenye nchi zenye ng’ombe wachache lakini wana sera bora Wameweka mfumo mzuri wa mfugaji kuuza maziwa bila usumbufu Wamedhibiti maziwa mabovu na machafu kuingia sokoni Kuna viwanda vingi vya usingikaji wa maziwa na packaging hili kumpa mfugaji soko kubwa la uhakika Wananchi wamepewa elimu umuhimu wa maziwa pia maziwa ni bei nafuu sababu wafugaji wanafuga kisasa kwa ng’ombe mmoja wanapata lita nyingi Hii ni sekta yenye ajira nyingi tu na uchumi mkubwa, Tanga kuna mradi wa kuboresha maziwa ila wamendika wajenge barabara ndio baadaye mambo mengine Wakati mbegu bora za ng’ombe hakuna hila wanaona shida wajenga barabara maziwa yataongezeka













