Pr. Christopher Ungani

3.8K posts

Pr. Christopher Ungani banner
Pr. Christopher Ungani

Pr. Christopher Ungani

@CUngani

Director, East-Central Africa Division Media Center/Hope Channel Coordinator. Pastor, Journalist & Cartoonist (ChrisToon Studio)

Nairobi, Kenya Katılım Ocak 2013
620 Takip Edilen1.9K Takipçiler
Pr. Christopher Ungani
Pr. Christopher Ungani@CUngani·
Leo tunashukuru: robo karne; miaka ishirini na tano ya upendo wa agano, ushirikiano, na uangalizi wa Mungu. Kwa mioyo yenye shukrani tunasherehekea Silver Jubilee yetu, tukisema pamoja na Samweli: ‘Hata sasa Bwana ametusaidia.’ (1 Sam. 7:12). Tunamwamini Mungu kwa kila kesho.
Pr. Christopher Ungani tweet media
Indonesia
0
0
0
91
Adventist Church
Adventist Church@adventistchurch·
Abba? Father? Friend? Whatever your language, culture, background, or preference, we’d love to know what you call God when you talk to or about Him. Let’s talk about it!
Adventist Church tweet media
English
42
23
236
6.5K
Pr. Christopher Ungani
Pr. Christopher Ungani@CUngani·
Sabato Njema youtu.be/vLhsRXMIP_8?si… Sabato inaanza vyema kwa sauti ya wimbo huu mtakatifu… “Njoo Kwenye Kanisa Jirani’ – ni mwaliko wa upendo kutoka kwa Yesu mwenyewe. Tazama sasa, ruhusu roho yako iguswe.” Usisahau: 🔴 SUBSCRIBE 🔴 SHARE 🔴 LIKE 🔴 COMMENT @ChriStanzas
YouTube video
YouTube
Filipino
0
3
14
279
Pr. Christopher Ungani retweetledi
Pr. Christopher Ungani
Pr. Christopher Ungani@CUngani·
Moja ya maana ya kina ya kutimizwa kwa mapenzi ya Mungu ni kupokea kitu tofauti na kile tulichoomba — hata kama tumeomba kwa imani. Tunaruhusu mapenzi Yake yashinde matakwa yetu, tukiamini kwamba Yeye anajua kilicho bora kwetu kuliko sisi wenyewe. — Chris Ungani, Nyayo za Imani
Pr. Christopher Ungani tweet media
Indonesia
2
1
11
429
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Taja jina la shule ya A-level uliyosoma umpate classmate wako hapa
John kalage 🇹🇿 tweet media
Filipino
424
44
1.2K
188.5K
Mhochi MM
Mhochi MM@NewlandEliya·
@CUngani Powerful, umenitia moyo hasa ninapoona kovu langu ,nakumbuka Mungu alivyo niokoa kwenye ajali na operation mbili za mkono ,hakika Bwana ni mwema
Indonesia
1
0
0
28
Pr. Christopher Ungani
Pr. Christopher Ungani@CUngani·
Sabato Njema! “Wapo wanaosema Mungu hajawaacha kwa kutaja mafanikio yao makubwa. Lakini wapo wanaosema Mungu hajawaacha kwa kuonyesha makovu ya majeraha makubwa miilini mwao; Makovu ni ushuhuda kwamba waliumia sana, lakini hawakufa.” — Chris Ungani, Nyayo za Imani, May 9, 2025
Pr. Christopher Ungani tweet media
Indonesia
2
7
24
576
Pr. Christopher Ungani retweetledi
ChrisToon Studio
ChrisToon Studio@ToonChris97968·
Koala: (Mzee wa Usingizi) The sleepyhead in every situation
ChrisToon Studio tweet media
English
0
1
3
198
Pr. Christopher Ungani retweetledi
ChrisToon Studio
ChrisToon Studio@ToonChris97968·
ChrisToon Studio tweet media
ZXX
0
1
1
217
Pr. Christopher Ungani
Pr. Christopher Ungani@CUngani·
Sabato Njema! “Walipomwagwa kama manemane madhabahuni, ardhi ikanywa damu ya wenyehaki, ikanyunyiziwa machozi ya wateule. Katika kimya cha mateso, mbegu ya haki ilizikwa, na kutoka mavumbini, mti wa matumaini ukaanza kuchipua, ili uzae matunda kwa watakaoirithi nchi ya ahadi.”
Pr. Christopher Ungani tweet media
Indonesia
1
7
24
595
Pr. Christopher Ungani
Pr. Christopher Ungani@CUngani·
Sabato Njema! Si kwamba Mungu hayuko karibu nasi tunapolia, bali mara nyingi makelele ya maumivu yetu huwa makubwa kiasi cha kuzuia kumsikia anapotunong’oneza kwa sauti ya utulivu." — Christopher Ungani, Nyayo za Imani, Aprili 18, 2025
Pr. Christopher Ungani tweet media
Indonesia
3
11
61
1.1K
Optimist.
Optimist.@bantubikoI60519·
@CUngani Mmefumbia sana macho mambo yanayoendelea katika jamii,hamkemei ,hamuonyi Wala hamshauri pale haki inapokosekana kama neno linavyosema. Kanisa lipo nyuma sana.
Indonesia
1
0
1
18
Pr. Christopher Ungani
Pr. Christopher Ungani@CUngani·
“Mhubiri akimbiliaye kila madhabahu punde aonapo kusanyiko, hajaitambua sauti ya Mwitaji. Maana hukuagizwa kwa kila kusanyiko, wala si kila sikio limekusudiwa kusikia kutoka kwako. Ngoja majira yako, usije ukasema mahali ambapo Mungu hakukutuma.” Nyayo za Imani, April 20, 2025
Pr. Christopher Ungani tweet media
Indonesia
3
2
25
511
USA NEWS 🇺🇸
USA NEWS 🇺🇸@usanewshq·
Simple YES or NO poll. Be honest! Do you believe in the resurrection of Jesus? A. YES B. NO
USA NEWS 🇺🇸 tweet media
English
96.5K
12.9K
175.4K
9.2M
Pr. Christopher Ungani
Pr. Christopher Ungani@CUngani·
@Nakkumary2oo25 Happy Saturday! "It’s not that God is not near us when we cry, but often the noise of our pain is so loud that it drowns out His gentle whisper." — Christopher Ungani, Nyayo za Imani, April 18, 2025
English
0
0
0
35
😇
😇@Nakkumary2oo25·
@CUngani Sometimes use English now am interested in reading ur message but I can't relate any happy day of rest
English
1
0
1
12
Pr. Christopher Ungani
Pr. Christopher Ungani@CUngani·
Sabato Njema! "Si kwamba Mungu hayuko karibu nasi tunapolia, bali mara nyingi makelele ya maumivu yetu huwa makubwa kiasi cha kuzuia kumsikia anapotunong’oneza kwa sauti ya utulivu." — Christopher Ungani, Nyayo za Imani, Aprili 18, 2025
Pr. Christopher Ungani tweet media
Indonesia
2
7
18
436