Wapwa mnaonaje tukaunda group letu la kuinuana na kupeana engagement tuhakikishe kila mmoja anafika folowazi 1000+ hivi?
Andika neno ADD hakikisha umenifollow ili iwe rahisi kukuona
Sheria na mfumo wa haki ya jinai vinapaswa kutumika kuadhibu makosa halisi, si kulenga, kuwakamata au kuwanyamazisha watu kwa kuwabebesha mashtaka mazito yasiyodhaminika kwa sababu tu wana maoni tunayoweza kutokubaliana nayo au kuyapata kuwa ya kukera.