Mmeanza kusikia milio huko 😃😃 sasa hapo bado
Uto walikuwa wanafosi game ichezwe zanzibar na waliwatumia mpaka wakubwa wao huko juu wawasaidie ila mnyama akasema kama mimi ndo mwenyeji nataka game ikachezwe kwenye uwanja wangu wa nyumbani meja jeneral isamuyo
Kuanzia jumatatu kwenye vipindi vyote vya michezo ajenda kuu itakuwa ni kuwa uwanja wa meja jeneral isamuyo hauna hadhi ya kuchezewa derby hii ni agenda maaalumu iliyoandaliwa ili kuwapiga presha bodi ya ligi
Viongozi wa Simba hapa wamechagua kuwasikiliza wanasimba ambao asilimia 99.99 walitaka game ichezwe meja jeneral isamuyo
Na baada ya kikosi kurejea kutoka zanzibar mazoezi yetu tutakuwa tunafanyia pale pale isamuyo 😃😃
Mdau anasema klabu ya yanga iachane kabisa na Wilson Oruma, jambo hili linaweza kupelekea kufika Fifa na kuanza kufukua makaburi.
Mdau anasema ukosoaji wa matokeo katika michezo ni jambo la kawaida, anaenda mbali zaidi na kusema namna michezo ambayo klabu ya yanga inalalamikiwa ni mingi, amegusia mchezo wa yanga dhidi ya Singida baadhi ya wachezaji kuto kucheza na hata wa mbeya City nao kutokucheza.
Ameenda mbali zaidi kugusia sakata lililomwondoa Patrick Osems ndani ya Singida black Star's akisisitiza huo ni mtego,🙄
Anasema jambo hili linaweza kupelekea kufichuliwa kwa mambo mengi zaidi ikiwemo la kudhamini vilabu, jambo ambalo linaweza kupelekea Fifa kuanza uchunguzi na kupelekea hatari mbaya 🙌🙌
Amemnukuu Wilson Oruma mwenyewe kuwa anaushahidi, manake amejipanga kwa lolote, na vile vile amegusia kauli ya kocha aliyefukuzwa mbeya city Mecky Maxime jambo linaloongeza utata.
🚨Afisa Habari wa timu ya Simba Ahmed Ally amemjibu Alikamwe alichokisema kuhusu kuwafungulia kesi baadhi ya wachambuzi wa mpira anaodai walisambaza tuhuma za uongo kuhusu upangaji wa matokeo kwenye mchezo wao dhidi ya Mbeya City.
“Nikiri tumepokea meseji na maoni ya mashabiki. Hili jambo halitapita hivi hivi, tume'identify' wachambuzi watatu, tume'file' kwenye mlengo wa kisheria. Oruma alisema alikuwa na taarifa nyingi na sisi (Yanga) tunataka hizo taarifa. Ni jambo ambalo limetukwaza sana,”
🗣️Ali Kamwe
🚨Haya ni maneno ya mchambuzi Wilson Oruma
“Nina ushahidi mwingi kwenye mechi za Yanga lakini naamua kunyamanza kimya na kwa namna hii tunayoenda nayo Mamlaka zisipokua makini mpira wetu unaenda kuangamizwa moja kwa moja”
🗣️ Wilson Oruma
Hivi mtu anapata wapi ujasiri wa kuongea kitu kama hicho?
Je? inawezekana ni kweli Yanga wananunua mechi hawezi kuongea tu bure✍️
Huyu ndio umfananishe na mchezaji anaetoa assist kwenye mechi ambayo timu pinzani inachezesha wachezaji ambao kocha wao hajui wametokea wapi...? Guys Guys tuwe serious bas!
Taarifa za ndaaani kabisa zilizonifikia muda huu zinaeleza Uongozi wa Yanga Sports Club umetoa masaa 12 kwa Wilson Uroma kuomba Msamaha mbele ya UMMA juu ya kauli inayodaiwa kuwa ni kashifa kwa Club ya Yanga.
"Endapo hatoweza kuomba Msamaha ndani ya muda tajwa hatua za kisheria zitafata”
Wakati huo inaelezwa mchambuzi huyo amegoma kuomba Msamaha mpaka sasa akidai hayuko tayari kuomba Msamaha kwa kosa ambalo halijui pia anaushahidi wao tosha✍️
Issu imekuwa serious sana hii🙌
Inasemekana zaidi ya 80% ya wachambuzi na watangazaji wa vipindi vya michezo ni Deiwaka na hawana Mikataba ya Ajira, wanalipwa posho tu, mengine wanaambiwa WAJIONGEZE!
Hapo kwenye “kujiongeza” sasa hapooo ndio balaa😅😅😅
“Kwenye hili jambo nabaki kusema ukweli kwamba Singida hawana malengo yoyote kwenye ligi yetu zaidi ya kutaka kuinufaisha Yanga tu”
🗣️Wilson Oruma
Wilson kavaa mabomu anachimba ukweli, lakini ameshasema Ushahidi anao hivyo mnaopinga mje na hoja za msingi.
Kama Viongozi wanataka kuwapeleka wachambuzi mahakamani nadhani na sisi wachambuzi tujiandae kuwafungulia mashtaka ya Upangaji wa matokeo,Betting nk.
Hakuna aliyesalama sana kwenye mpira Wetu Kama vipi funikeni kombe mwanaharamu apite.
Tena sasa hivi Ndio balaa,tunajuana guys
🗣️Ukiwasikiliza Yanga vizuri na huu mbanano wa ratiba unafikiri wanalalamikia ratiba Kweli? Wanalalamikia
1. Timu Yao haiwafurahishi inavyocheza
2 Timu Yao haipati Matokeo Mazuri
3. Timu Yao imeanza Kupata Presha ya Simba Sports
Kwa Mujibu wa Kachero @abissay_stephen Via SHQ
I stand with the people of Iran against any genocidal threats by US president. The world must condemn and take action intended war crimes by the US and Israel against another sovereign state of Iran
#HABARI Kwa mujibu wa shirika la afya Duniani (WHO)Nyama ya nguruwe isiyoiva vizuri inaweza kuwa na minyoo aina ya Taenia solium, ambayo ni hatari sana kwa afya ya binadamu.
Minyoo hiyo inapoingia kwenye utumbo wa mtu, inaweza kusambaa sehemu nyingine za mwili kama misuli, macho, au ubongo. Hii inaweza kusababisha matatizo makubwa kama ukungu wa misuli, kupoteza uwezo wa kuona vizuri, kifafa, kuchanganyikiwa, au hata kichwa kujaa maji, hali inayojulikana kama hydrocephalus.
Madhara hayo hutokea pale ambapo mayai ya minyoo yanapoingia mwilini na kuanza kuendeleza minyoo ndogo. Watu wanaweza kupata maambukizi haya kwa kula nyama ya nguruwe ambayo haijapikwa vizuri. Kwa hivyo, hata kama nyama inaonekana safi na yenye ladha nzuri, bado ina hatari ya kuwa na viumbe hawa hatari.
Ili kujikinga dhidi ya maambukizi haya, ni muhimu kuhakikisha nyama ya nguruwe inapikwa vizuri kabla ya kula. Kupika kwa moto wa kutosha huua minyoo na mayai yake, na hivyo kulinda afya yako na ya familia. Pia, usafi wa jikoni na kununua nyama kutoka vyanzo vinavyotambulika husaidia kupunguza hatari hii kwa kiasi kikubwa. #EastAfricaTV
Kwa utafiti wangu niliufanya tangu 2026 imeanza nimebaini Kanisa Katoliki litapoteza waumini wengi kwa miaka 10 ijayo na sababu ni hizi.
✍️ Hawatoi huduma za uponyaji na miujiza
✍️Wanajichanganya sana na siasa
✍️ Kupunguza viwango vyao vya ufaulu.
✍️ Kuongezeka kwa Manabii