©️maina retweetledi

Na niliwaambia vijana,the only person who has the previledge of saying “I am the prize” to a woman is he who is at the top 10% economicwise or societal wise. Sisi wengine lazima tudanganyilie hii watu,otherwise utalalia ngumi miaka mingi sana ukijiita prize. Prize ya nini na uko line ya Embassava? Hawa wasichana wanataka uwongo,and believe me when I tell you they dont want the truth,they cant handle it and it doesn’t activate their neurons. Its boring!
Wasichana wanataka uwongo. Danganya wao kapsaa. Mimi huwa nawadanganya kulingana na kwenye tumepatana. Sasa kama leo nimetoka nakuru kuweka CCTV,huko nimeambia iyo msichana ya jirani hii kampuni yetu tunauzanga mpaka bunduki lakini lazima ukuje na certificate kutoka embassy ya US. Na nikamuachia namba,wasichana unajua hawafikiriangi,kwanza akiona wewe ni bad boy akili inazima
Mwingine wakati nilikua nakimbiza zebra kule Longonot nilimuambia nafanya na NGO ya wildlife. Kumbe niko hustle ya kukaribisha wanyama kwa barabara ndio tourist wawaone. Next week nilikua nimeangusha yeye. Huyu wa nakuru nampatia 2 weeks maximum. Wewe shinda hapo ukijiita prize na kiatu ni Adibbas. Ngumi utalalia uitane. Danganya warembo kama Ruto. Khabusie!
Indonesia










