Sabitlenmiş Tweet
C H E P E
40.5K posts

C H E P E
@Chepezi
Mtume ﷺ Alikuwa akisema: Walio bora miongoni mwenu ni wale wenye maadili na tabia njema.
Duniani Katılım Ocak 2016
1.2K Takip Edilen18.1K Takipçiler

@ramadhan_shamte Dini ya Haqqy mbele ya Allah Ta'ala ni Uislamu.
Waliokufa kabla watapewa mtihani wao ambapo miongoni mwao walafaulu na wengine watafeli.
Nairobi, Kenya 🇰🇪 Indonesia

@BinKombo3 @abusumayyah_o Hii huwezi ielewa mpaka usome.
Nairobi, Kenya 🇰🇪 Indonesia

@abusumayyah_o Duhuu, ikiwa Ahlukitab yaani kafiri huyu nyama yake akichinja inafaa kula, jee muislam iweje isifae kwa vile hasali? Masharti ya anaeishi kuchinja limo asiesali?
Yaani nyinyi kuharamisha na kuhalalisha kinyume na Allah swt
Masalafi mnalaana za Allah swt
Lol
Indonesia

@iam_rajabu Huu ni ukumbusho kwa baadhi ya misikiti kuteua Imamu (mswalishaji) mwenye umri mdogo huku wakubwa zaidi wapo (baadhi ya wakubwa hao ni maalimu wa kijana huyo na wajuzi wa kitabuLLAH na Sunnah).
Nairobi, Kenya 🇰🇪 Indonesia

Sahihi Bukhari:628
Amepokea Malik bin Huwairith(Allah amridhie)
Nilimjia Mtume (ﷺ) pamoja na baadhi ya watu kutoka kabila langu, na tukakaa naye kwa siku ishirini. Alikuwa mwema na mwenye huruma kwetu.
Alipotambua kwamba tulikuwa tunawatamani familia zetu, alituambia:
“Rudini mkakae na familia zenu, wafundisheni dini, na msimamishe Swala. Wakati wa Swala unapowadia, mmoja wenu atoe Adhana, na mkubwa wenu kwa umri awaongoze katika Swala.”
Indonesia

@Chepezi @ZenjiboyZnz Hana maana hiyo mbona huja muelewa
Indonesia

@Kariakoo_ Sema kwa kifupi tu kuwa ni bora uoe kafiri mwenzio.
Nairobi, Kenya 🇰🇪 Indonesia

#HABARI Tanzania imegundua madini muhimu ya Rare Earth Elements katika kijiji cha Mkiu wilayani Ludewa mkoani Njombe. Madini hayo yanajumuisha Neodymium na Praseodymium ambayo hutumika kutengeneza magari ya umeme, simu za kisasa, mitambo ya upepo pamoja na teknolojia za nishati safi. Ugunduzi huo umefanywa kupitia utafiti unaoendelea kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya China ya Hongji Mining Co. Ltd.
Maafisa wa madini wanasema ugunduzi huo unaweza kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi muhimu Afrika katika sekta ya madini muhimu duniani. Hivi sasa nchi kama Afrika Kusini, Madagascar, Burundi na Malawi zinaongoza katika madini hayo, lakini Tanzania inaweza kuingia kwenye ushindani huo ikiwa uchimbaji mkubwa wa kibiashara utaanza.
Tanzania huenda ikawa inakaribia kuwa moja ya nchi muhimu barani Afrika katika sekta ya madini adimu baada ya kugunduliwa kwa madini ya Rare Earth Elements katika nyanda za juu kusini mwa nchi.
Madini yaliyogunduliwa hivi karibuni, hasa Neodymium (Nd) na Praseodymium (Pr), ni miongoni mwa madini muhimu na yenye thamani kubwa duniani kutokana na matumizi yake kuongezeka katika teknolojia za kisasa kama magari ya umeme, mitambo ya upepo wa kuzalisha umeme, simu janja, vifaa vya kielektroniki pamoja na mifumo ya nishati jadidifu.
Maafisa wanasema ugunduzi huo unaweza kuiweka Tanzania miongoni mwa nchi zinazochipukia katika uzalishaji wa madini muhimu Afrika Mashariki, wakati dunia ikiendelea kuharakisha matumizi ya nishati safi na teknolojia za kisasa.
Akizungumza na waandishi wa habari Mei 20, 2026, Afisa Mkazi wa Madini Mkoa wa Njombe, Mhandisi Lucas Mlekwa, alisema ugunduzi huo umefanyika kupitia shughuli zinazoendelea za utafiti wa madini katika eneo hilo.
Alisema utafiti huo unafanywa kwa ushirikiano kati ya Serikali na kampuni ya Hongji Mining Co. Ltd kwa lengo la kubaini ukubwa wa madini hayo pamoja na uwezo wake wa kibiashara kabla ya kuanza uwekezaji mkubwa wa uchimbaji. #EastAfricaTV

Indonesia






