ChiboboyTz

4.8K posts

ChiboboyTz banner
ChiboboyTz

ChiboboyTz

@Chiboboy4

Ihanda Mbozi Songwe Katılım Nisan 2017
5.8K Takip Edilen2.1K Takipçiler
ChiboboyTz
ChiboboyTz@Chiboboy4·
@Maestrowafact Watu wanaacha saidia ndugu zao ten possible wenye matatizo makubwa zaid ya hayo anakuja nunua kitu kwako afu jamaa anahalilisha dhuruma kwa kisingizio cha majanga ya dunian Kwamb wao ndo walimpatia hayo majanga Facken kabisa 🚮
Indonesia
0
1
2
149
ChiboboyTz
ChiboboyTz@Chiboboy4·
@LifeofSteph_1 @blazadadee1 @mirowakwanza @Maestrowafact Bro heshimu sana hela za wat na usiziingizie kweny mattz yak wat wanazipata hela kwa tabu sana na wanaend na mahesab yao huwez sema eti kwa sabb ya janga lang bas ndo kibali cha kuchukua hela tena ya mtu usiyemjua na kwend kuitumia kweny shida zako Never
Indonesia
0
2
6
401
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
Huyu kijana aache uhuni na ujanja ujanja usio na tija yeye anatumia kete ya changamoto kukamata sympathy za watu wa humu na ameweza Unaumwa unachangamoto ila bado namba yako inapokea order we msenge nn? Ina maana changamoto zako ndo utatulie order za watu?
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI tweet media
Indonesia
21
19
89
6.3K
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
@blazadadee1 @mirowakwanza @Maestrowafact Unajua majanga tumeumbiwa na wala sio vibaya kula hela za oda ukikwama, swala ni taarifa. Majanga kila mtu anapata kama jana mim nimetibu Gono kwa hela nyingi sana kama ningekua mfanyabiashara na yamenikuta ofcourse ningetumia afya kwanza ila cha msingi toa taarifa kwa wateja.
Indonesia
2
0
3
1.1K
ChiboboyTz
ChiboboyTz@Chiboboy4·
@chapo255 Kabla hata hajaanz kutongoza red flag atakazo kutana nazi atanyosha mikon mwenyew wata wanapagawa na muonekan wa njee kias kwamn wanaendeshwa na matamanio 😂😂🙌🙌
Filipino
1
0
2
1.5K
ChiboboyTz
ChiboboyTz@Chiboboy4·
@Happinesmlay Sas huo utajir uupate kwa Choper ambae ata mtaj wan X wanamchangia hauko seriously 😂😂😂😂😂
Filipino
0
0
3
602
Raphael Mheta
Raphael Mheta@RaphaelMheta·
Hivi mlisema kioo cha SAMUSANGI bei gani?😔😔
Raphael Mheta tweet media
Dodoma, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
37
6
83
13.2K
Çhøpër
Çhøpër@Chopawang·
Si Ungepost Hii Ambayo Tupo Wote 😄
Çhøpër tweet media
Indonesia
137
36
431
101.6K
Denis_developer🐼
Denis_developer🐼@ShijaDenis·
Nikikumbuka Kuna enzi niliwahi tumia anti virus na zile speed booter app kama DU speed booster kwenye simu nashindwa kujisamehe wallah 🙌😅
Denis_developer🐼 tweet media
Filipino
6
0
8
625
ChiboboyTz
ChiboboyTz@Chiboboy4·
@MatchDCentral Try to learn how to lie to people, Mbappé can’t go to a team that isn’t even playing in the UEFA competitions.😂
English
0
0
0
137
MatchDay Central
MatchDay Central@MatchDCentral·
🚨💣 Kylian Mbappé has been tipped to join Chelsea in a blockbuster move that could shake European football 🇫🇷💥 New manager Xabi Alonso is reportedly keen on bringing him to Stamford Bridge, with belief the French superstar could instantly make Chelsea title contenders. One to watch… 👀 [@talkSPORT]
MatchDay Central tweet mediaMatchDay Central tweet media
English
711
712
12.8K
2.6M
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Lengo la Simba ni kusajili washambuliaji wawili ambao wataenda kusaidiana na Selemani mwalimu, watasajili mshambuliaji wa kimataifa mmoja na mshambuliaji wa ndani mmoja. Tayari hadi sasa klabu ya Simba imeulizia taarifa za washambuliaji watatu(3) tofauti tofauti wa kimataifa (kati yao wote bado hakuna mazungumzo rasmi). Kwenye orodha ya majina hayo lipo jina la Sede Junior Dion(27) raia wa Chad ambaye anacheza katika klabu ya Golden Arrows ya ligi kuu Afrika kusini 🇿🇦 Simba wameulizia taarifa kuhusu upatikanaji wa mshambuliaji huyo ambaye ameibuka mfungaji bora katika Ligi ya Afrika kusini akiwa na mabao 14 na assist 1 huku akiwashinda Rayners wa Mamelodi Sundowns 12 ,Mafokeng wa Orlando pirates 10. Kama Simba wakikipata hichi kiumbe basi tatizo lao eneo la ushambuliji limeisha, Nitarudi kukuambia hao washambuliaji wengine wawili wa kimataifa hapa hapa. NiFollow @RevocatusMagum1
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
3
5
101
4.2K
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
Sema wake wa wazito hua nao hawajiheshimu sometimes mm niliwahi msinidikiza mke wa mzito mmoja mbugan aisee alinifosi sana nimweke dushe ila kwa kua najiheshimu nikashinda lile jaribu mara saba kama nabii Yusuph wangekua majanja wa Z wangefinya ila mama 😅🚮
Indonesia
46
25
214
16.2K
ChiboboyTz
ChiboboyTz@Chiboboy4·
@ayubu_madenge Vip Simba asipo chukua ubingwa na Chama akapewa Mchezaj bora badala ya Okello au mchez yoyot pale Yanga itakua sawa au watakua wamewaonea wachezaj wa Yanga 🤔
Indonesia
0
0
0
444
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Max Dowman mtoto wa miaka 16 ana kombe la EPL, lakini mchezaji bora wa msimu anapewa Bruno Fernandes mwenye miaka 31 ambaye hajui hata kombe la EPL linafananaje. Hii ni robbery ya hali ya juu katika historia ya tuzo hizi. Tuzo hii alistahili kupewa David Raya kipa wa Arsenal.
Ayubu Madenge tweet media
HT
166
27
559
17.3K
ChiboboyTz
ChiboboyTz@Chiboboy4·
@GiliadiSumary @Adventure_36 Bro mpira ni mchez wa makosa aliyefany ile faulo nae kakosea why hakutolewa, huwez fany maamz kama yale eti alikosea vile vipi wanaochomesh mfan yule kipa wa jana kachomesh ametolewa? wachezaj ni binadam sio mashine unahutaj kuwa kuwahandle professional na sio kimhemko 🚮
Indonesia
1
0
1
13
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kilichofanya wamtoe Metacha ni nini? Jamaa amekasirika sana. Au ndo mambo ya familia wanataka kila mtu afungwe goli lake
Indonesia
11
17
159
4.7K
ChiboboyTz
ChiboboyTz@Chiboboy4·
@RevocatusMagum1 Kuna account hunu X jap sijui kama ni yake kwel ukiangalia post yake tu unaelelewa huyu jamaa ni mnyama in blood 🔥🔥
Indonesia
0
0
1
146
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨Ulimuona De Reuck pale Simba iliporuhusu bao? Alipiga sana pasi kwenda mbele yani kiu yake ilikuwa watu wa mbele wafunge haraka sana, huyu Msouth ameshakunywa damu ya Mnyama, anacheza kufa au kupona. Nilikuwa namtazama, Katizame bao la Oura? Alikuwa mstari wa mbele kushangilia kama anapiga Risasi, maana yake mlima mrefu wameshuka, kutoka 1-0 mpaka 1-2 hapo ndiyo akaenda kushangilia na wenzake. Hapa Mnyama ana Kepteni mfia timu. Zaidi ya Mchezaji kama kazi, inaonyesha sasa De Reuck ni shabiki kindaki ndaki wa Simba.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Filipino
2
8
204
4K