Devius Maximus, H.O 🩵
4.3K posts

Devius Maximus, H.O 🩵
@ChristLogic_
A Sigma male, Snr Environmental Scientist, Ex Soldier who is fascinated by space, AI and the mind, and how science touches people. Fond of Nuclear War or Peace.

Ukishajua chanzo cha Mungu mawazo alikoyatoa then what? Btw imeandikwa kwenye warumi 11:33-36 Kumb 29:29 huwezi elewa leo wala kesho, na Mungu kaifanya hekima ya dunia kuwa ni upumbavu mtupu msijifanye critical thinker and open minded pple Kumbe wajinga wakubwa😂😂1korint 3:19
















@apostateofallah On top of this you have another issue, the Quran states there is a “marriage age” and describes the attributes of a person as “sound in judgement” (Quran 4:6) Doesn’t sound like the attributes of a child.






























Kuna watu hapa Twitter, wanadhani habari za Mfalme Daudi, Mfalme Suleiman na habari za Sodoma na Gomora ni hadithi tu Kwamba kaburi lililopo pale Israel sio la Mfalme Daudi na wana theolojia/wana Historia waliopita katika ardhi ya Sodoma kufanya tafiti ni wapumbavu







