Christian Council of Tanzania
155 posts

Christian Council of Tanzania
@ChristianCounc7
Christian Council of Tanzania (CCT) is an umbrella organization bringing together protestant denominations and church related organizations.
PO BOX 1454 DODOMA Katılım Mart 2020
48 Takip Edilen62 Takipçiler

Partnering with @UNICEFTanzania , TIP ,CCT is fighting Marburg Virus in Kagera. We’ve trained 800 community leaders & CHW to drive MVD prevention in Biharamulo,Muleba & Ngara. Together we protect lives!
#EndMarburg #CommunityHealth #StrongerTogether"




English

🌍 The USAID Tuwajibike project (Let’s Be Accountable) is a 3-year initiative funded by USAID, dedicated to fostering government accountability, transparency, and increased public participation in managing public resources.
#ResourceManagement #CommunityEmpowerment




English

"Celebrating the spirit of giving and unity this Boxing Day. May love and compassion guide us all. #BoxingDay 🎁🎄🎁

English
Christian Council of Tanzania retweetledi

"📢 Malezi bora, kizazi bora! Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mussa Kilakala, amewataka wazazi na walezi kuzingatia jukumu la malezi, akisema wengi wamezidiwa na majukumu ya kazi na kusahau wajibu huu muhimu.
Kwa kushirikiana na wadau mbalimbali,
#16DaysOfActivism #TokomezaUkatili



Indonesia
Christian Council of Tanzania retweetledi

VIDEO:
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala amewataka wazazi na walezi kuacha kujisahau juu ya malezi kwa kuwa malezi bora hujenga kizazi bora
Akizungumza katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia mkoani Morogoro amesema kuwa asilimia kubwa ya wazazi wengi 'wametekwa' na kazi na kusahau kama malezi ni jukumu la wazazi wote
Kwa upande wake Askofu wa jimbo la Morogoro Jacob Mameo, Mwenyekiti wa CCT mkoa wa Morogoro amesema kama jumuiya ya kikristo wameendelea kutoa elimu kwa watu wote kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuhakikisha tabia ya ukatili kwa watoto na wasichana inakuwa na ukomo
Indonesia

Together, we can end Gender-Based Violence. 🌍✨ During these 16 Days of Activism, we’re raising our voices in schools and communities to create a safer, more inclusive world for everyone. Let’s break the silence and build a future free from violence.
#EndGBV #16DaysOfActivism




English

"Standing strong against Gender-Based Violence. Let’s unite for change, compassion, and justice. #16DaysOfActivism #EndGBV #FaithInAction"



English

The World without violence is possible let us join together and raise our voices to End GBV.......
#16daysofactivism
#faithinaction
@ncatanzania @brotfuerdiewelt @unitednations @lminternationaltanzania @upendo_media @unitedchurchcanada @worldcouncilofchurches
@USAIDTanzania

English

Zimesalia Siku 2 Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, Jumuiya ya Kikristo Tanzania inawakumbusha Wananchi wote wenye Sifa ni Haki yako Kikatiba Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na zaidi Kupiga Kura.
#uchaguziserikalizamitaa2024 #demokrasiayetu
@ortamisemitz

Indonesia

Jumuiya ya Kikristo Tanzania inaungana na Wananchi kuwapa salamu za pole Wafanyabiashara wa soko la Kariakoo, kipekee tunatoa salamu za pole kwa ndugu na jamaa waliopoteza wapendwa wao na majeruhi.
#polekariakoopolewatanzaniawote

Indonesia

CCT imetembelea ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe kutambulisha Mradi wa USAID Tuwajibike. Mradi huu utatekelezwa na TEC katika halmashauri za Njombe & Ludewa, ukilenga uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii katika matumizi ya rasilimali za umma. #UwaziNaUwajibikaji




Indonesia

Kurugenzi kutoka Idara mbalimbali katika Jumuiya ya Kikristo Tanzania zimewasilisha mipango ya mwaka 2025 na kuainisha namna ya utekelezaji wa miradi mbalimbali kwa kila idara.
Mpango Mkakati 2024-2028.
#uwajibikaji_na_utendaji_makini




Indonesia


















