CINEMAS ANALYTIC 🎬
6.3K posts

CINEMAS ANALYTIC 🎬
@CinemasAnalytic
Your Daily Movie & Series Posters 🎬 Helping You Find your next dramas to watch 🍿🍿🍿Turn on Notifications 🔔🔔
Freedom Plains, NY Katılım Şubat 2024
19 Takip Edilen11.5K Takipçiler
CINEMAS ANALYTIC 🎬 retweetledi

Kikeke wa BBC na huyu wa sasa wakikutana wanaweza kupigana.
Kitenge kitambo anafahamika kama PEDI ZA WAKOLONI WEUSI tumemzoea.
Niliwahi kusema hii TAALUMA ya uandishi wa habari Tanzania ni kusanyiko la mandondocha nafikiri mnaona.
Zamani ilikuwa kuwa muandishi wa habari ni ndoto za maana ila leo mtoto wako akifikiria kuwa muandishi wa habari unatakiwa KUMNYIMA CHAKULA AFE KWA NJAA MAANA UNAFUGA TAKATAKA YA BAADAE.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎


Indonesia
CINEMAS ANALYTIC 🎬 retweetledi
CINEMAS ANALYTIC 🎬 retweetledi

Zee la mipira iliyokufa-lilituuuza kwa DP WORLD kuma lile
Tito Magoti@TitoMagoti
Sijawahi kukutana na mwandishi wa habari msenge kama Kitenge. Hivi alisoma wapi huyu mshenzi?🚮
CINEMAS ANALYTIC 🎬 retweetledi
CINEMAS ANALYTIC 🎬 retweetledi

NYAKATI NGUMU HAZIDUMU.
HILI NALO LIMEPITA—ASANTE MUNGU WANGU.
Account zangu rasmi ni hizi MBILI TUU.
@/tiva_talks @/tiva_familly
AM BACK…!🔥🔥🔥
#tutakuwepo🫵🏾😎
Indonesia
CINEMAS ANALYTIC 🎬 retweetledi

Tiba pekee ya kutibu watanzania kwasasa ni yafuatayo.
1. UWAJIBIKAJI kwa jeshi zima la polisi. Hapa tutaanza na BILIONEA WAMBURA, MURILO ,Bila kumsahau JAMBAZI KUU MAFWELE na kibaka msaidizi “GEORGE”.
2. UCHAGUZI URUDIWE. Hawa wanaoitwa viongizi wa serikali wa sasa HATUWATAMBUI na hizo nafasi walizonazo zina damu za watanzania wasio na HATIA. Lazima tupate viongozi wanaotokana na wananchi.
3. TUPATE KATIBA MPYA. Mzizi wa tatizo wa hii nchi ni katiba MBOVU iliyoundwa na watu wanne miaka ya TISINI. Leo hii zaidi ya asilimia 70 ya nchi ni vijana ambao HATUKUWEPO-ndiomaana madudu ni mengi.
4. WATANZANIA WAPEWE MIILI YA NDUGU ZAO WAZIKE. Mpaka leo familia nyingi kwa maelfu HAZIJAZIKA wapendwa wao baada ya mauaji ya kikatili yaliyoongozwa na vyombo vya usalama. Ushahidi upo kwa maelfu wakitekeleza hayo mauji. Msiba hauishi mpaka watu wazike hiyo ndio TAMADUNI YETU.
5. WATANZANIA WALIPWE FIDIA. Waathirika wote wa MAAMDAMANO ya MO 29 lazima walipwe fidia. Familia ni nyingi sana zimeathirika na yale mauaji, lazima watu wafidiwe hata kwa kidogo ili tuone nia ya kutaka kuweka mambo sawa.
KITU KINAITWA “MARIDHIANO” huu ni mradi ambao hautakiwi hata kujadiliwa na watu wenye akili timamu. Unataka maridhiano ya nani na nani?
Mimi binafsi naamini wanaotakiwa kukaa meza ya maridhiano ni wale wahanga wa MO29 ambao wengi wamekufa , wengine wamepata vilema na wengine wametekwa mpaka leo hatujui walipo.
Hakuna CHAMA au mtu anayo haki ya kukaa meza ya MARIDHIANO labda kama anabiashara zake-kukubali maridhiano ni kutumia VIFO VYA NDUGU ZETU KUJINUFAISHA. HATUTAKUBALI—TUTASHUGHULIKA NA WEWE BILA KUKUONEA AIBU.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Indonesia
CINEMAS ANALYTIC 🎬 retweetledi

Huyu Hacha Heche mdogo wake John Heche anamoto mkali zaidi ya kaka yake
Hii familia ya Heche wote ni Vichwa, Raslimali na hazina kubwa sana kwa Taifa letu
Msikilize hapa akiongelea Maridhiano na wauwaji kabla ya kutuambia ni nani alie uwa watu October 29
Na sauti ni ya John heche Kabisa
Repost 780 x.com/taifa_mbunge/s…
Indonesia

@ally_eh @mgwadila1 Hii issue ni serious, watu wanateswa huko na hawana namna
Filipino

@Sativa2555 @mgwadila1 Nina ndugu yangu yupo huko, passport walimpokonya na simu pia. Mpaka sasa ni mwaka hatujui hata anaishi vp huko.
Indonesia

Hizi akili za kijinga na kudharau vya kwetu ndo zimetufanya Tanzania na afrika kwa ujumla tuendelee kuwa maskini
Wengi wameumia, wametumikishwa kingono wamefanyiwa ukatili kisa kupenda maisha ya kitonga
Alie kudanganya Dubai kuna ajira za haraka haraka hivo ni nani ?, ukweli ni kwamba kazi utakazokwenda kufanya utaomba Mungu urudi nyumbani na hautakuwa na hiyo nafasi maana passport yako itakuwa imeshikwa mda huo
Ukweli ni kwamba Vijana wengi waliongia kwenye huu mtego wameishia kujiunga na vita au makundi tofauti yenye itikadi kali ambayo mwisho wa siku wamepoteza maisha yao
Ushahidi upo vijana wengi kutoka kenya, Tanzania na nchi nyingine nyingi kusikika wakiwa wamekufa kwenye vita za watu huko dunia ,,, yote hayo huanza na akili za kupenda mteremko tulizonazo vijana wa kitanzania..
Hakuna maisha ya mteremko , vijana tu focus kujenga kwetu kuwe sehemu bora kwa ajiri yetu sote na vizazai vyetu
Tatizo lenu mnahisi siasa haziwahusu wakati siasa ndio imepelekea wewe kutaka kuomba kazi dubai baada ya uduni wa hali ya nyumbani kwako
Vijana tusiingie kwenye huu mtego wa kupenda vitonga , hasasa hasa Mabinti , wengi wanatumikishwa kingono ughaibuni,,juzi tu watanzania kama 20 wameshikwa wakijiuza Thailand 🇹🇭 yote hayo huanza na kazi za chap chap ,, stukeni , hakuna mteremko. Mtaumia
Repost 670

Indonesia

Jana nimepost video kuhusu Tabia ya vijana Wengi kwenda kutafuta kazi kwenye nchi za kibaguzi na kuishiwa kubaguliwa.
Nilisema vijana inabidi Tupambane na Serikali zetu ili tupate tunachokitaka hapa nchini.
Kuna watu nimeona wamekuja na mitazamo hasi wakisuport utumikishwaji wa dada zetu huko uarabuni
Sasa hii video hapa ni imetoka South africa 🇿🇦, angalia waziri anavomfokea na kumbagua Raia kutoka ghana na kumwambia Maneno ambayo Mimi jana nimesema
Nanukuu anamwambia “Muda huu uko huku South africa asubuhi hii ulitakiwa uwe ghana ukipambana na Serikali yako ikupe kile ulichofuata South Africa 🇿🇦”
Anasema inabidi tukomeshe hii tabia ya vijana wa kitanzania kuzurula dunia, tunataka wake nchi kwao wake africa , na tunaanza na south africa
Huyu unaweza ukasema ni mbaguzi ila ndio ukweli , vijana inabidi tupambane na serikali zetu Ziwajibike kututengezea fursa kama serikali zingine , sio kukimbia ety siasa hainihusu
Sikiliza hiii nipe mtazamo wako
Repost 98 x.com/my_azania/stat…
Indonesia

@mgwadila1 Anatumikishwa kingono
Hana passport hapo alipo , Muweke sana kwenye Maombi huko sio kuzuri
Filipino

@Sativa2555 Demu wangu alienda huko mwaka jana... saiz hapatikani sijui ndo simu wamepokonya
Indonesia









