CMF Academy

58 posts

CMF Academy

CMF Academy

@CmfAcademy

Forex & Crypto Enthusiast | Agri Investor | Educator | IB Broker & Affiliate Marketer | Tech Innovator | Coder | Futurist | Family Man | Blending Finance

Shinyanga, Tanzania Katılım Ağustos 2020
82 Takip Edilen7 Takipçiler
CMF Academy
CMF Academy@CmfAcademy·
@SuluhuSamia Hutakiwi kuomba vitu vidogo kwa mama omba pakubwa Mimi naomba nijengewe nyumba ya kupangisha hata ya 30 milioni tu🙏
Indonesia
0
0
1
1.3K
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Leo nimepata heshima kubwa ya kutunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama njia ya kutambua kazi kubwa inayoendelea kufanywa kuimarisha ustawi wa wananchi na maendeleo ya Taifa. Sauti ya Bunge ni sauti ya wananchi. Ahsanteni sana. Hakika, kidole kimoja hakivunji chawa. Mafanikio tunayojivunia leo si nguvu, uhodari au maarifa yangu pekee, bali ni matokeo ya mipango mbalimbali ya nchi yetu na maelekezo ya Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020-2025. Aidha, ni matunda ya kazi kubwa inayofanywa na Bunge letu ya kuisimamia na kuishauri Serikali. Nimepokea tuzo hii kwa niaba ya Watanzania wote. Ninawashukuru nyote kwa kazi kubwa tunayoendelea kuifanya kwa pamoja kuleta maendeleo kwa Taifa letu, huku tukibaki kuwa wamoja, wenye amani na mshikamano.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
745
239
1.7K
226.4K
Bondex
Bondex@bondexapp·
❓ T G E - LETTER BY LETTER CHALLENGE ❔ We’re giving away 1,000 Bond Points 💎 How to enter: 1️⃣ Comment T 2️⃣ Comment G 3️⃣ Comment E *Each letter must be a separate comment in order, without breaking the streak 💰 Only the first 10 to complete it correctly will win… GO! 👇
Bondex tweet media
English
6.5K
498
2.2K
307.5K
Bondex
Bondex@bondexapp·
👋🏽 Hey @grok, in 24 hours, pick 10 random people from comments (and likes) to win 100 Bond Points each! 👇🏼
English
1.2K
308
1.7K
125.9K
CMF Academy
CMF Academy@CmfAcademy·
@VodacomTanzania +255759116869 hii namba ilikuwa ya kwangu na nilisajiri kwa NIDA yangu na nilitumia kwenye usajiri wa mambo yangu Leo inasoma jina la mtu mwingine imekuwaje na nahitajika kupata verification code kwenye namba hio na sina access nayo imekuwaje?
Filipino
1
0
0
8
Juns
Juns@Juns31570423·
@mangekimambi @MariaSTsehai Ukweli ni kwamba FAM ni kiongozi tishio kuliko TAL na chama dola kitafurahi kufanya kazi na Mtu asiye na uzoefu,kuliko yule aliyenjenga taasisi yenye nguvu kwa zaidi ya miongo 20 na nakutengeneza viongozi madhubuti hivyo hizo propaganda ni kwa watu wajinga.
Indonesia
15
2
12
17.8K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Nimeona hii screenshot inatembea, aiseee watu wa Lissu naomba niwaambie kitu, acheni kuhesabu hivi vikura vita iliyopo mbele yenu ni kubwa kuliko kura zitakazopigwa. Inabidi muelewe kuwa hampambani na Mbowe, wala Wenje. Mnapambana na kina Bashite ambao nyuma yao wana nguvu ya serikali ya Tanzania na wana pesa zisizohesabika. Kuliko kuhesaba vikura hivi mngetuambiwa wananchi mna strategy gani ya kudili na kina Bashite na serikali ya CCM kwenye uchaguzi huu? Mnajua nyinyi ni kama hamuelewi implications za Lissu kushinda uchaguzi kwa serikali ya CCM. Lissu akishinda uchaguzi ni kwamba Chadema inarudi kuwa Chadema ya 2010, maridhiano yao ya kikuma yote tupa kule. Yani ni hivi nchi italipuka, wananchi watapata motisha mpya ya kui back Chadema and trust me when I tell you CCM will not stand by and just let this happen. They will fight tooth and nail kuhakikisha hiki kitu hakitoei and unfortunately wanasaidiwa na watu wa humo humo Chadema kufanikisha ushindi wa Mbowe. Acheni kuweka focus kwa Mbowe, Wenje na machawa wao. Hawa ni small fish, please focus on the bigger fish, SERIKALI YA TANZANIA. Na leo hii mtuambie wananchi what is your plan kuhakikisha serikali ya Tanzania haito haribu huu uchaguzi? That’s what we want to know!!!
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Filipino
234
178
1.4K
283K
Bondex
Bondex@bondexapp·
Which piece completes the puzzle? 🧩 100 Bond Points to 10 lucky winners that reply right! 🎯
Bondex tweet media
English
765
143
753
57.2K
CMF Academy
CMF Academy@CmfAcademy·
Account ya LinkedIn yenye followers 300+ lete uipangishe Kila week ule Dola 10
CMF Academy tweet media
Filipino
0
0
0
10
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Kesho hapatatosha. Tuombeane uzima tuamke salama. KAMALI ITAHESHIMIKA HATA KWA NGUVU.🤝
Eesti
107
30
535
37K
Wizdõm★
Wizdõm★@Wizdomtz·
Mipaka ya kustaajabisha inayotenganisha nchi. Craziest borders 1. Ghana and Ivory Coast
Wizdõm★ tweet media
Eesti
86
119
1.7K
281.6K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Leo nagawa hela. Tarehe sio rafiki kabisa hizi kwa mtu KUGAWA hela. Hasa kwa HIZI TAKATAKA za @tanpol saizi zina madeni sana kwenye maduka ya mangi. Afu zinakuta mtu wanaemuwinda anagawa hela kama njugu.😂 Wekeni namba Nyie VYANDE msaidiwe mtakufa njaa. Boss wenu kashajipatia liteni saizi yupo kunywa SUPU. Wewe POLISI TAKATAKA UNA NJAA NAJUA WEKA NAMBA SHENZI.🫵🏾🫵🏾😎
SATIVA tweet media
Indonesia
417
84
829
126.6K
CMF Academy
CMF Academy@CmfAcademy·
If you have a LinkedIn account please check me on WhatsApp +255747456177 We rent 15$ weekly for first months then 170$ second month to 6 month and 300$ per month 100+ followers no recent added followers 6+ months
English
0
0
0
9