Dkt. Doto Biteko

14 posts

Dkt. Doto Biteko

Dkt. Doto Biteko

@DBiteko

KNK

Katılım Mart 2017
128 Takip Edilen4.4K Takipçiler
Dkt. Doto Biteko
Dkt. Doto Biteko@DBiteko·
@jumanhoTambwe Tambwe unakumbuka tulifanya kikao cha pamoja pale dodoma na wale wenye malalamiko ya mwaka 1996, tulikua na mheshimiwa Mbunge wa msalala. Kama hukuwepo naamini wale wazee walioteuliwa kuwakilisha walikupa mrejesho na kama bado naamini mimi au Mhe. Mbunge tunaweza kukupa mrejesho
Filipino
4
0
2
0
Jumanho
Jumanho@jumanhoTambwe·
@DBiteko Mheshimiwa biteko tukumbuke wachimbaji wa bulyanhulu kakola tuliondolewa kinyama mwaka 1996 tulipoteza mali na stahiki zetu,tumejaza fomu mwaka 2018 zipo madini dodoma kimya mpaka leo barrick wanaendelea kula rasilimali zetu wewe ndio mwenye dhamana tunakuomba ushughulikie malipo
Indonesia
1
0
1
0
Dkt. Doto Biteko
Dkt. Doto Biteko@DBiteko·
Pole sana kwa familia ya Gabriel Kandonga, pole sana familia ya ITV na Radio one kwa kuondokewa na kijana mchapa kazi na aliyeipenda sana kazi yake. Gabriel hakuwa na makuu na wakati wote alikua rafiki wa wengi. RIP Gabriel.😭
Dkt. Doto Biteko tweet media
Indonesia
29
8
97
0
Dkt. Doto Biteko
Dkt. Doto Biteko@DBiteko·
Hongereni sana wachimbaji Mahenge, hili jiwe kubwa la Spinel limepatikana tena. JPM alisema ni wakati wenu. Asanteni sana kwa kuchapa kazi. JPM2020 #KaziIendelee#
Indonesia
57
43
460
0
Dkt. Doto Biteko
Dkt. Doto Biteko@DBiteko·
Tumenunua mitambo mitatu ya kisasa kabisa ya uchorongaji na mmojawapo ni Explorac 235 wenye uwezo wa kuchimba hadi mita 500 kwa siku. Mtambo huu ni mpya na kiteknolojia yake ni ya hali ya juu. Alisema lazima STAMICO ifufuke, imewezekana. #JPM2020 KaziIendelee#
Dkt. Doto Biteko tweet media
Indonesia
34
48
236
0
Dkt. Doto Biteko
Dkt. Doto Biteko@DBiteko·
Hongereni sana wachimbaji wa Mererani, historia mnaendelea kuandika. Jiwe jingine zuri la kg1.05 limepatikana. Alisema anataka kuzalisha mabilionea, wanaendelea kuzalishwa kwenye sekta ya madini. #JPM 2020 KaziIendelee#
Dkt. Doto Biteko tweet media
Indonesia
34
68
366
0
Dkt. Doto Biteko
Dkt. Doto Biteko@DBiteko·
Mimi na watangaza nia wengine 11 tumeomba kuteuliwa na chama chetu (CCM) kugombea ubunge Bukombe. Nimeiona hamasa ya vijana wengi kwenye jimbo letu. Nawapongeza wote kwa kuonyesha nia na siasa za uungwana. Wajumbe watatoa maoni yao kwa kura kati yetu sote. Nawatakia heri wote.
Filipino
38
12
147
0
Dkt. Doto Biteko
Dkt. Doto Biteko@DBiteko·
Asanteni kwa ushirikiano wenu wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kwa kuitikia tumevuka tena lengo la makusanyo kwenye sekta ya madini. Tulipangiwa kukusanya bilioni 470.35 tumekusanya bilioni 479.45 sawa na 101.93%. Asante Mhe. Rais kwa maono yako kwenye sekta ya madini.
Filipino
20
13
114
0
Dkt. Doto Biteko
Dkt. Doto Biteko@DBiteko·
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu enyi wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kwa kuitikia tumevuka tena lengo la makusanyo kwenye sekta yetu Tulipangiwa kukusanya bilioni 470.35 tumekusanya bilioni 479.45 sawa na 101.93%. Asante Mhe. Rais kwa maono yako kwenye sekta ya madini
Indonesia
10
8
71
0
Dkt. Doto Biteko
Dkt. Doto Biteko@DBiteko·
Nazisikia sauti zenu, enyi watu wema wa Bukombe.
Dkt. Doto Biteko tweet media
Indonesia
18
10
130
0
Pamela O'Donnell
Pamela O'Donnell@HCPamelaO·
Thanks to the Minister of Minerals for a very useful meeting yesterday. I appreciate the patience in answering all my questions! @DBiteko
English
4
5
14
0
Dkt. Doto Biteko
Dkt. Doto Biteko@DBiteko·
"Mimi na wewe tumelitikisa daraja'' Sisimizi alimwambia Bwana Tembo, ambaye alivuka daraja sisimizi akiwa juu yake..
Indonesia
20
17
97
0