Da huu retweetledi
Da huu
259 posts

Da huu retweetledi

@John_Pambalu Ndani ya siku 100 ,
Serikali itaanzisha mfumo wa kidigitali na SMS za bure ku hakikisha viongozi wanawajibika moja kwa moja kwa wananchi
#Siku100zaSamia

Indonesia

@Jambotv_ KAZI SASA IMEANZA!
Ndani ya siku 100, serikali imeahidi kuanza mkakati madhubuti kuhakikisha kila mtoto wa darasa la tatu anaweza kusoma, kuhesabu na kuandika bila shida.
Ili kufanikisha hili, serikali itaajiri walimu 7,000 wa masomo ya hisabati na sayansi.
#Siku100zaSamia
Indonesia

VIDEO:
Sheikh Said Mwaipopo ameshindwa kujizuia na kutokwa machozi wakati akieleza wema aliowahi kufanyiwa na Sheikh Hussein Msopa(Sheikh Sharifu Majini) akimtaja kama miongoni mwa watu waliokuwa wakimthamini na kumsaidia kwenye matatizo.
Kwa mujibu wa Sheikh Mwaipopo amesema Sheikh Sharifu Majini aliwasiliana nae siku ya tarehe 29, 2025 akimsihi akae ndani asije kudhurika. Hata hivyo masaa mawili baadae alipigiwa simu akiambiwa kuwa rafiki yake alipigwa risasi.
Katika kumbukumbu za urafiki wao ameeleza wakati mmoja alikamatwa nchini Kenya na miongoni mwa waliomsaidia ni Sheikh Sharifu Majini.
Sheikh Sharifu Majini amefariki tarehe 03, Novemba 2025 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kupigwa na kitu kilichoelezwa kuwa risasi Oktoba 29, 2025 akiwa nyumbani kwake Mabibo Mwisho, Ubungo Dar es Salaam.
Aidha amezikwa leo Novemba 05, 2025 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Indonesia

📌 POSTA TUPO KILA KONA!
Tunawasikiliza, tunawahudumia, na tupo tayari kila wakati.
#PostaTupoKilaKona #HudumaKwaWateja #PostaTanzania #TunaHudumiaKwaUpendo
Filipino

@bbcswahili Pole pole atuachie maigizo kutengeneza taharuki ni kawaida yake muache ajiteke mwenyewe ila sisi wengine tunasubiri Taarifa kutoka vyombo vya Dola.
Indonesia


@privaldinho Maria Sarungi sasa achunguzwa na KCB Bank baada Tsh Bilion 2 kuingizwa kwenye akaunti yake.

Indonesia

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa vijana nchini kujiandaa kutumia kikamilifu fursa mbalimbali zinazotolewa na zitakazoibuliwa na Serikali yake, iwapo atapewa fursa ya kuiongoza nchi kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akihutubia mamia ya vijana waliojitokeza kumsikiliza kwenye mkutano wa Kampeni za CCM leo, Jumatano Septemba 10, 2025, katika Viwanja vya Misigiri, Wilayani Iramba mkoani Singida, Dkt. Samia amesema baadhi ya miradi itakayotoa ajira wakati wa uongozi wake ni pamoja na mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani, mkoani Tanga unaopita Singida, pamoja na utafiti wa mafuta na gesi unaoendelea katika kitalu cha Eyasi-Wembere.
"Niwaombe vijana, fursa za namna hii zichangamkieni. Vinginevyo, mkiziacha, vijana kutoka mikoa jirani watakuja kuzichukua na ninyi mtasalia mtazama," - Dkt. Samia.
Aidha, Dkt. Samia ameahidi kujenga miundombinu ya umwagiliaji katika Kijiji cha Ishishi, kata ya Msingi, Iramba Mashariki kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 34, akibainisha kuwa matamanio yake ni kuona wakulima wananufaika kwa kulima zaidi ya mara moja kwa msimu bila kutegemea mvua pekee.
Vilevile, ameahidi kuufungua Mji wa Kiomboi kwa kuimarisha mawasiliano kati ya Wilaya za Iramba na Mkalama kupitia ujenzi wa barabara za kiwango cha lami ikiwemo Kitukutu-Msingi-Bumanga-Mkalama na Kiomboi-Kidaru-Tulya, sambamba na ujenzi wa barabara za ndani ya Mji zitakazotekelezwa chini ya TARURA.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@millardayo 🟢 KARIBU TABORA MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM - DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
#SafariYaCCM
#SafariYaUshindi
#OKTOBATUNATIKI✅✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele

Indonesia

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama tawala, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa Serikali ijayo itaimarisha mfumo wa mawasiliano kati ya Wananchi na viongozi ili kuhakikisha kero na mahitaji ya msingi ya Wananchi yanashughulikiwa kwa haraka na kwa ufanisi.
Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika jana Septemba 9, Mjini Sumbawanga, Mkoa wa Rukwa, Dkt. Nchimbi amesema kuwa imebainika kuwa wananchi wengi wana matatizo na changamoto za msingi, lakini mara nyingi hawapati majibu ya haraka kutoka kwa viongozi au mamlaka husika.
"Tumegundua kuwa sehemu kubwa ya changamoto zinazowakabili wananchi zinasababishwa na udhaifu katika mfumo wa mawasiliano kati ya wananchi na serikali yao, tunakwenda kulibadilisha hilo kwa kuhakikisha kila kero inasikilizwa na kushughulikiwa kwa wakati," alisema Dkt. Nchimbi.
Dkt. Nchimbi ameongeza kuwa serikali yao itaweka mifumo madhubuti ya uwajibikaji ili viongozi walioko kwenye ngazi mbalimbali wawe karibu zaidi na wananchi na wawajibike moja kwa moja kwa changamoto zinazowakabili watu waliowachagua.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

Tumepata Taarifa kuwa Vijana wetu waliokuwa njiani kwenda kuwasalimia wazazi wa Deusdedit Soka wamezuiwa Gari ya public transportat waliopanda pamoja na Abiria Wengine eneo la Kibosho Road.....
Gari no 3756-PT , ilizuia na pia gari nyingine zimeanza kuongezeka kwenye eneo la tukio, vijana wetu hawako salama!
Hii ni taarifa kutoka Kilimanjaro.
Indonesia


Impunity!
Vyombo vya dola vipo, wanaona watu wanabebwa kwenye malori, sheria zetu haziruhusu.
IGP yupo, mkuu wa usalama barabarani yupo.
Watu wanatumia kwasababu ccm wako juu ya sheria.
Aibu kubwa kwa ccm na vyombo vya dola, Nchi yetu inahitaji ukombozi wa haraka.
Watu wetu wanateseka kwasababu ya umasikini, umasikini wa kipato na uelewa kwa pamoja.
#NoReformsNoElection
Indonesia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dr. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali yake imeweka utaratibu maalumu wa kulipa madeni kwa wakati kwa kutenga dola milioni 15 kila mwezi kwa ajili ya kulipa Deni la Zanzibar.
Akizungumza Ikulu Zanzibar leo Septemba 3 katika Mkutano na Waandishi wa Habari pamoja na Wahariri, Dkt. Mwinyi amesema awali walikuwa wakitenga dola milioni 10 kwa mwezi lakini kutokana na uhitaji wameongeza hadi kufikia milioni 15.
“Leo tunavyozungumza kila mwezi Wizara ya Fedha huweka dola milioni 15 katika akaunti ya kulipa madeni, hata tukipata mapato ya milioni 150 au 180 kwa mwaka bado tunaweza kutekeleza miradi mikubwa kwa sababu mikopo inalipwa kwa muda mrefu, miaka mitano au saba” - Dr. Mwinyi.
Rais Mwinyi amefafanua kuwa Zanzibar sasa inajivunia kuwa na akaunti maalumu ya usimamizi wa madeni (Debt Management Account), jambo linaloongeza imani kwa Taasisi za kifedha kuikopesha Serikali hiyo “sikopi tu, nakopa nikijua nitalipa vipi. dhamira yangu ni kuhakikisha ninaondoka madarakani bila kuacha senti moja hatarini" Dr. Mwinyi.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@godbless_lema Kila sikio linasikia, Kila jicho linaona na hakika kila kura ni ya CCM. Tunabaluzaaa kanda zote.
#KaziNaUtuTunasongaMbele #OktobaTunatiki✅✅✅ #MakavuYaMwilamvuliMzee
Filipino

Moyoni mwako unajua kabisa kuwa hakuna uchaguzi wa kweli, na mnachofanya ni maigizo yanayoendelea kuumiza taifa. Hii haipaswi hata kidogo kuwa kiwango chako cha kufikiri, kwa sababu hakuna thamani inayoweza kushinda usalama wa wajukuu wa nchi hii kesho. Huu ni ukatili dhidi ya nafsi yako mwenyewe, kwa sababu kwa kufanya hivi unashiriki moja kwa moja katika maumivu na mateso ya taifa. Swali la kujiuliza, unatarajia kulipwa nini kwa kushiriki uhuni wa kiwango hiki?
Kwa umri wako, hata maisha yako ya kila siku ni ya masharti, kula lazima ni kwa uangalizi, matango na viazi vitamu , utashindwa kununua kweli pamoja na kunywa maji mengi na kulala mapema ? Kwani kuku umeacha kufuga ? Kwanini unatakatisha dhambi za mfumo unaoumiza wananchi ? Kwa faida gani ? Acha hila na simama upande wa kweli, maana historia haitawasamehe wasaliti wa taifa.

Indonesia

Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema miongoni mwa mipango kazi ya miaka mitano ijayo, endapo chama hicho kitapewa tena ridhaa ya kushika dola ni pamoja na ongezeko la ajira mpya serikalini, ikiwa ni pamoja na ajira za Walimu wa somo la Hisabati na Sayansi 7000.
Dkt. Nchimbi ameyasema hayo leo Agosti 30, 2025,wakati akisalimiana na wakazi wa Kisesa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, akielekea viwanja vya Mwanankanda vilivyopo wilayani humo,kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa maeneo hayo katika mkutano wa kampeni wa kukiombea chama hicho kura.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@ikulumawasliano Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Mgombea Urais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan 💚✅
WanaCCM na Watanzania waliojitokeza Tanganyika Peakers - Kawe Dar es salaam wameonesha wazi kuwa wanaimani kubwa na Mama Samia
#samiaapp
#tikinitatu
Indonesia

@HecheJohn Maoni ya Godbless Lema juu ya mwenendo wa siasa wa vyama vya upinzani na mustakabali wa kuiongoza Nchi.
Aipa dhamana Ccm kuendelea kushika Dola.
Indonesia

Siku Mwenyekiti wetu aliposema haya, ndio siku aliyokamatwa na kubambikiwa kesi ya uongo ya uhaini..
Leo ana siku 138 ndani kwa kutetea utajiri wa Nchi yetu unaotekwa na wahuni wachache..
Vijana wa Tanzania mna wajibu wa kufanya.
#NoReformsNoElection
Chadema Tanzania@ChademaTZ2
Hotuba ya Mhe. @TunduALissu juu ya Makaa ya Mawe akiwa Mbaba Bay Ruvuma.
Indonesia








