๐ฟ๐๐๐ ๐ผ๐๐๐๐
2.5K posts

๐ฟ๐๐๐ ๐ผ๐๐๐๐
@Dad_Jayson
Advisor on mining and mineral processing issues, ๐ผ ๐ฉ๐๐๐๐ฃ๐๐๐๐๐ฃ ๐๐ฃ ๐๐๐ฉ & ๐๐๐ค ๐๐๐๐ค๐ง๐๐ฉ๐ค๐ง๐ฎ LFC ๐ฌ๐ง |BFC๐ช๐ฆ |MSFC ๐ฟ๐ฆ
Nouakchott, Mauritania Katฤฑlฤฑm Nisan 2014
432 Takip Edilen161 Takipรงiler

Over 1.5 Corners Full time donโt snooze ๐ค

Big Poka ๐บ๐ธโค๏ธ@Yrnpoka
Over 1.5 corners full time ๐คจ Can they do it this time?? 200 Odds โ๏ธ
English

Mabibi na Mabwana Naitwa Pj TombaTomba ni mtumishi wa bwana mwenye kipawa kikubwa katika maswala haya ya ubashiri.
Kuweka kumbumbukumbu sawa mimi ndie yuleyule niliyepuna odds 3600 mwaka 2023 kanji kanijengea ghorofa mbili goba kwa gharama zake ๐ซฑ
Weka Ulimbo hapa
Tumerudi teeena ofsini
Mizizi Bet
Mapupu Bet

Filipino

@Jambotv_ Kwamba wilaya ya Buswelu mkoani Mwanza sio
Indonesia

VIDEO:
Mkazi wa Mtaa wa Msati, Kata ya Sabasaba wilayani Tarime mkoani Mara, Macheda Fredrick (34), maarufu kama "Mtu Chuma," ameripotiwa kujiua kwa kujinyonga usiku wa kuamkia Jumatano ya wiki hii, akidai kuteswa na mapenzi.
Macheda, ambaye alikuwa mpangaji katika mtaa huo, alikutwa amefariki ndani ya chumba chake baada ya kurejea kutoka katika shughuli zake za kila siku. Kabla ya kuchukua uamuzi huo, marehemu aliacha ujumbe wa maandishi kwenye karatasi ulioonekana kuonesha chuki kwa mpenzi wake.
Tukio hilo limeibua hisia kali miongoni mwa viongozi na marafiki. Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara, Samweli Kiboye ameeleza kusikitishwa kwake na kubainisha kuwa aliwahi kumshauri marehemu kuachana na mwanamke huyo kutokana na changamoto za kiumri na tabia.
Kiboye, pamoja na Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Tarime Mjini, Abdalah Seleman (Sauti), wametoa wito kwa vijana kuwa na misingi ya dini, kuoa wanawake wa rika lao, na kuepuka mahusiano yenye shinikizo kubwa ambayo yanaweza kuwapotezea mwelekeo wa maisha.
Indonesia

@HildaNewton21 Leta teni fo soda
Slovenลกฤina
๐ฟ๐๐๐
๐ผ๐๐๐๐ retweetledi

Mimi ningekuwa Chiesa ningekausha, kocha ananikaushia sana kuhusu kucheza , namchomesha tu pale๐๐
H๐ฅท๏พ๐ถ@lfchaytch
Chiesa saved us ffs I thought it was over
Filipino

@Thereal_taivina Mabrook Mtumishi wa Mungu Amani iwe nawe
Indonesia

@Swahiliurbangfx @Sativa255 Edmund John mchezaji wa Yanga bana sio prophet
Filipino
๐ฟ๐๐๐
๐ผ๐๐๐๐ retweetledi

Hayaa twende kazi ๐ฅ๐๐ฝ
#FreeHumphreyPolepole
#FreePolepole
#FreePolepoleNow
#FreeHumphreyPolepole
#FreePolepole
#FreePolepoleNow
#FreeHumphreyPolepole
#FreePolepole
#FreePolepoleNow
Share, post, repost, like, sambaza kote bango
Usisahau WATEKAJI @tanpol


Indonesia
๐ฟ๐๐๐
๐ผ๐๐๐๐ retweetledi

@CRDBBankPlc hizi minus (-) kwenye akaunti zinamaanisha nini? Na simu zenu hampokei wala kujibu jumbe nazotumiwa
Indonesia

@VodacomTanzania na @airtel_tanzania niambieni pesa zangu zimeenda wapi maana mnasumbua sana
Indonesia

@CRDBBankPlc kwanini hamjibu Dm's kwa wakati
Indonesia

@HalimaYusuf_N Nikajua umem'bless kabsa
Indonesia

Kweli maagizo

Privaldinho@privaldinho
Wewe lenga tu goli mengine tuachie sisi ๐. Maigizo
Nederlands









