E T H A N🦅🦅

118.5K posts

E T H A N🦅🦅 banner
E T H A N🦅🦅

E T H A N🦅🦅

@DaimonJr9

I LOVE FOOTBALL ⚽ . I LOVE MUSIC 🎶 . I HATE POLITICS 🙌🙌🙌. KWENYE SIMULIZI YA MAFANIKIO YAKO KUNA KURASA ITASOMWA BILA SAUTI 🍁 🍁

Matema Beach Katılım Nisan 2022
2.5K Takip Edilen4.3K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
E T H A N🦅🦅
E T H A N🦅🦅@DaimonJr9·
KWA WANAUME TU 🦅🦅🦅. 1. USIOE MWANAMKE MLEVI 2. USIOE MWANAMKE ANAYEPENDA PESA KULIKO UTU 3. USIOE MWANAMKE MWENYE DHARAU 4. USIOE MWANAMKE ASIYE NA HOFU YA MUNGU 5. USIOE MWANAMKE ASIYEWEZA KUJISHUSHA AKIKOSEA 6. USIOE MKE WA MTU 7. USIOE MWANAMKE MWENYE MTOTO AMBAYE CO WAKO
E T H A N🦅🦅 tweet media
Indonesia
16
25
37
6.4K
E T H A N🦅🦅 retweetledi
SHIGGA_.
SHIGGA_.@shiggaJr·
🧶KIVUMBI🧶 HERODE Vs DENGE Joined 2024-2026 Pitia hapa 👇🏿🔥
SHIGGA_. tweet mediaSHIGGA_. tweet media
Suomi
7
5
7
122
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Diarra amefungiwa mechi 3 na Faini ya 2M kwa kuonesha dole la kati. Kwahiyo kile alikifanya kwa refa hakuna adhabu? Interesting…
WHYMYCATISSAD tweet mediaWHYMYCATISSAD tweet media
Filipino
53
14
263
15.8K
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Ni sahihi mtoto wa kiume kutumia hii emoji 🥰.
Indonesia
56
19
136
6.7K
Aruatani✨
Aruatani✨@Aruatani·
Mmashangaa Mtu kutoka Arusha kwenda Dar kwa masaa 4..? Mwaka 2008 nikiwa TEMESA tulitoka Mwanza saa 5 usiku kupeleka (kifaa) cha Meli Kigoma saa 03:16Am tulikuwa tushafika.
Aruatani✨ tweet media
Indonesia
100
47
458
67.4K
millardayo
millardayo@millardayo·
Kanisa la Anglikana Duniani limempata Askofu Mkuu Mwanamke kwa mara ya kwanza baada ya Dame Sarah Mullally, kuapishwa rasmi kushika wadhifa huo wa juu unaoongoza Waumini takribani milioni 85. Hafla ya kuapishwa imefanyika ikiwa ni hatua rasmi ya kuanza kwa Uongozi wake, licha ya kuwa tayari alianza majukumu hayo tangu Januari mwaka huu. Uteuzi huo wa kihistoria unamfanya Mullally kuwa Mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo tangu kuanzishwa kwa Kanisa la Anglikana, jambo linaloashiria mabadiliko makubwa katika Uongozi wa kidini. Tukio hilo limehudhuriwa na Watu wapatao 2,000, wakiwemo Viongozi waandamizi wa Uingereza kama Waziri Mkuu na Mwanamfalme wa Wales, likionesha umuhimu wa nafasi hiyo kitaifa na kimataifa. Katika hotuba yake ya kwanza, Mullally amesisitiza matumaini na mshikamano, akihimiza jamii kukabiliana na changamoto za dunia yenye migogoro, huku akichukua nafasi hiyo kufuatia kujiuzulu kwa mtangulizi wake, Justin Welby, mwaka 2024 baada ya kukosolewa kuhusu usimamizi wa kesi za unyanyasaji ndani ya kanisa. #MilardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
29
18
302
26.3K
RaHeeM
RaHeeM@Cowwbama·
Okay ntamtuma mwanamke akuletee, me kidume Tunduma sehemu gani Namba ya ofisi 0685292370
Barozi katenjere@ponjoro23

@Cowwbama Wewe ni wakike au wa kiume ? Kama ni she basi njoo dm chapu tumalize biashara Me nipo Tunduma

Indonesia
2
0
2
503
E T H A N🦅🦅 retweetledi
FED🦅
FED🦅@fado_fft·
+1 today 🎉🍾, wish me well 🙏
English
3K
545
6.7K
140K