Daniel

3.6K posts

Daniel

Daniel

@DanielDMashamb1

Professional~Medical Lab Technologist / Passionate~Farmer

Katılım Kasım 2015
1K Takip Edilen238 Takipçiler
Tagato James 
Tagato James @tagatojtagato·
“Mimi siafiki marefa kutoka nje, tunaupeleka wapi mpira wetu. Marefa unawabana kwa kanuni ipi? Mfano golikipa wa Yanga kamshika miguu kabisa mchezaji wa Simba, sasa ana ubora gani?, katoka Morocco-Morocco gani ya Kinondoni au?” Asha Baraka, Mjumbe wa Bodi Simba
Tagato James  tweet mediaTagato James  tweet media
Indonesia
34
1
127
7.7K
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 “Sikua na siku nzuri kazini nimekosea na kuigharimu TEAM nimewaangusha wachezaji wenzangu na mashabiki hakunakisingizio na ntawajibika na kupokea lawama zote kwa mchezo wa leo. Wananchi hamkustaili kuona juhudi zenu na sapoti zikiishia bila furaha.” “Nimejifunza kwa makosa na ntapambana zaidi kurudi nikiwa bora kuliko leo.” - Israel Patric Mwenda Mchezaji wa Yanga SC. #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili tweet media
Indonesia
10
7
209
11.5K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Picha 10 za moto zilizotikisa mechi ya Simba na Yanga leo 🔥😳 Namba moja imeacha watu midomo wazi 10.
Headboy wa mtaa tweet media
Filipino
26
33
406
44K
Daniel
Daniel@DanielDMashamb1·
@YerickoNyerereT Wafanyakazi wa serikali walifukuzwa kwa kutokuwa na vyeti vya f4 tu, leo waziri anatetewa
Indonesia
0
0
1
112
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Sifa ya kuwa Waziri au Naibu Waziri ni kuwa Mbunge, Na sifa ya kuwa Mbunge ni Kujua Kusoma na Kuandika kiswahili au kiingereza tu, Huo ndio msimamo wa katiba na Sheria. Lakini maranyingi wasifu za wabunge zinazowekwa kwenye tovuti ya bunge zinaweza zisiwe halisia sana, Watu wengi wanaficha utambulisho wao halisi kwa sababu zao… Na katika hilo, Nafikiri hakuna sheria inayowalazimisha sana kuweka wasifu huo, Wabunge na Bunge lenyewe wanategemea zaidi takwa la kikatiba na kisheria kwamba Sifa ya kuwa Mbunge ni lazima tu ajue kusoma na kuandika. Tupiganie mabadiliko tuache lawama Rais @SuluhuSamia anapotekeleza takwa la Kisheria na Kikatiba.
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia

Enzi za serikali halali ya Mwl JKN, kuteuliwa uwaziri zilihitajika sifa haswaa ulizozionyesha katika utendaji kazi na uongozi wako wa awali!. Sasa tupo kwenye enzi za serikali haramu, kigezo kikubwa cha uteuzi ni UCHAWA. Nimeona uteuzi wa mtu aliyesema uchaguzi wa 2025 polisi walikuwa rafiki zetu wakati ndio uchaguzi pekee tulipoteza ndugu zetu wengi haijawahi kutokea tangu taifa letu liundwe. Ina maana hakuitambua hata hotuba ya tume ya jaji Chande iliyoundwa na raisi wake kuwahadaa waTanganyika. Something is wrong somewhere,ebu fikiria kwenye nchi yenye watu 68,000,000 ambao zaidi ya nusu ni Vijana,tena Vijana walioenda shule with degrees and masters mpaka wengine wanaokota makopo na masters zao.Tunaletewa Naibu Waziri mwenye form 4 tu! Sio fair yaani si haki kwa WaTanzania,mimi nilisema zile teuzi zilikuwa na nia ovu na wananchi waliowengi walikubaliana na mimi.@ccm_tanzania tuwakumbushe tu kwamba hii nchi ni yetu sote.Hakuna aliealikwa kwenye hii nchi,we are here by birth right. Tuendelee kukichangia chama chetu ili mapambano ya kutafuta haki yaendelee ndugu zangu namba ni :0744 446969 Jina ni CHADEMA HQ

Indonesia
41
1
19
10.5K
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Mnaosema nakosea kusema kocha ni TAPELI, ni hivi yani una YAO unamwanzisha MWENDA, unamtoa OKELO unamuingiza Mwanengo kutuliza mpira hajui. Msichokijua Half time Hersi alienda vyumbani, akapiga goti mbele ya wachezaji akawaomba wasifungwe itamuharibia mwaka wa uchaguzi huu
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
10
0
85
6.3K
Daniel
Daniel@DanielDMashamb1·
@meamswahili Kuna mstari hapo au mnataoa kuhalalisha upuuzi wa kina arajig
Filipino
0
0
1
22
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
🚨𝐌𝐃𝐀𝐔 “Hapa Inakuwaje ni Offside Mbona Kama Simuelewi Mshika Kibendera.” - Mdau Kutoka DM. #MaoniyaMDAU
MeaMswahili tweet media
Indonesia
4
1
56
2.5K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Simba wameshindwa kupata matokeo kwa uzembe wao wenyewe ila sio kwasababu Yanga ni timu bora Simba waliwazidi Yanga kwenye kila kitu ila wakashindwa kufanya game management na hapa ndio waliwapa Yanga faida Baada ya kufunga magoli mawili,walianza kuwadharau Yanga na kufanya makosa madogo madogo kama vile Kushindwa kushinda mipira ya pili, kupoteza pass,kukimbia bila mpango kitu ambacho kwa Yanga ilikuwa faida Baada ya kupata magoli mawili walipaswa kufikiria namna gani watalinda magoli mawili ila hawakuweza kufanya hivyo Prince Dube alikuwa wa moto sana ,alifanya mikimbio bora mbele ya safu ya ulinzi ya Simba kitu ambacho kilianza kuwatoa kwenye njia. Mara zote ambazo amekuwa na mpira amewasumbua sana. so far kocha Steve Baker amepiga amepiga kazi kubwa sana ya kuifanya Simba SC imekua na daraja sawa na yanga.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
20
4
79
4.6K
Micky Jnr
Micky Jnr@MickyJnr__·
You are CAF, who will give the opening ceremony of the 2027 AFCON to? 👀 • Tanzania 🇹🇿 • Kenya 🇰🇪 • Uganda 🇺🇬 𝐏𝐢𝐜𝐤 𝐨𝐧𝐞.. #AFCONwithMicky #AFCON2027
Micky Jnr tweet media
English
65
13
423
17.7K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 || Simba Sc wanapanga kumnunua moja kwa moja Neo Gift Maema, mchezaji ambae mkataba wake wa mkopo unaisha mwezi ujao (June). Ikumbukwe Maema yupo Simba Sc kwa mkopo akitoka @Masandawana ya Africa kusini. Uamzi huu umekuja Mara baada ya kocha mkuu Steven berker kumhitaji mchezaji huyo kuelekea Msimu ujao.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
8
9
261
6.9K
Daniel
Daniel@DanielDMashamb1·
@RevocatusMagum1 Huyu kagoma si ndio alitunyima ubingwa wa caf msimu uliopita?
Indonesia
1
0
0
13
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Utofauti mkubwa ulionekana alipoingia Yusuph Kagoma kuchukua nafasi ya Allasane Kante, uharaka wa maamuzi kwenda mbele Kagoma alifanya vizuri, uhakika wa kuzuia mashambulizi ya Mlandege Fc. Yule Allasane Kante ni mchezaji wa kimataifa lakini jana alionesha uwezo mdogo pale kati, kwa mahitaji ya Simba Sc nafasi yake kuna wachezaji kadhaa wa kizawa wanaweza kucheza vizuri tu. Moja ya eneo ambalo naona kabisa Simba Sc wataingia sokoni kutafuta mchezaji basi ni eneo la kiungo wa kati. Sio kwamba Allasane Kante ni mchezaji mbaya ila kwa mahitaji ya Simba Sc naona kama hajitoshelezi
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
14
9
111
3.6K
Daniel
Daniel@DanielDMashamb1·
@EduTalkTz @HecheJohn Heche nae ni takataka tu, mbona huwa hamkemei mwanasheria wake ambae pia hutukana?
Indonesia
0
0
0
25
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Matusi ni silaha ya mnyonge bwana @HecheJohn . Deus Soka alijenga hoja tena kwa sauti ya upole kabisa lakini bado mtawala mshenzi alimteka na kumpoteza. Kama ni washenzi, wataitwa washenzi; wana tabia za mbwa, wataitwa mbwa. Nyerere aliwaita WAPUMBAVU na MALAYA, boldly.
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
13
19
131
3.7K
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
🚨 Athari ya kwanza ni kupungua kwa idadi ya mashabiki watakaopata nafasi ya kushuhudia mechi hiyo moja kwa moja. 👉 Kariakoo Derby ni zaidi ya tamasha la soka linalovuta maelfu ya mashabiki kutoka maeneo mbalimbali. Kuwanyima mashabiki wengi nafasi ya kuingia uwanjani kunapunguza ladha ya dabi na hata mapato yanayoweza kupatikana kutokana na mauzo ya tiketi.
SportsArenaTz tweet media
Indonesia
36
6
269
25.4K
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Aliyekuwa mwanasheria msomi wa Yanga SC SIMON PATRICK ameandika Haya kupitia mitandao yake ya Kijamii. “Maamuzi ya kupeleka Derby uwanja wa Mej. Jenerali Isamuhyo - Mbweni ni ushindi wa Yanga na Simba kufanikiwa kuwa juu ya vyombo vya mpira wa Tanzania na kielelezo cha UDHAIFU wa viongozi wa soka nchini jambo lililolelewa kwa muda mrefu.” “Derby hii ni urithi wa taifa la taifa letu, kitendo cha kuruhusu mchezo huu kuupelekwa Mbweni ni kuwakosea heshima mashabiki wa mpira, kwani uwanja huo ni mdogo sana kwa derby ya kariakoo.” “Kwa trend hii, sitashangaa derby ijayo tukiambiwa inapigwa Avic Town na inayofata tukaambiwa inapigwa Bunju.” Mungi ibariki Tanzania🇹🇿.” NB: Tulilinde taifa letu, sis sote ni ndugu🙏🏿" #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili tweet media
Indonesia
68
10
458
43.6K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Jonathan sowah alisimamishwa kutokana na utovu wa nidhamu na taarifa ilitoka pia tunafahamu hamza,nangu na yakoub ni majeruhi na taarifa zao za maendeleo zinatolewa mara kwa mara Vipi kuhusu nabby camara ambaye tuliishia kumuona jukwani kwenye mechi mbili zilizopita za ligi na mechi dhidi ya namungo hakusafiri kabisa na timu na jana pia hakuwa sehemu ya kikosi kilichokuja zanzibar kwa ajili ya muungano. Mohamed bejaber licha ya kutolewa kwenye mfumo wa kutoshiriki mechi za kimashindo ila amesafiri na timu kwenda zanzibar vipi kuhusu nabby camara Ni majeruhi ?? au kuna kosa kafanya ?? ?? au ndo kashuka kiwango kiasi cha kushindwa hata kucheza mechi za kombe la muungano ? Maswali ni mengi kwa wanasimba ambayo yanahitaji majibu. @ahmed__ally
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Filipino
5
1
79
5.5K
Daniel
Daniel@DanielDMashamb1·
@RevocatusMagum1 Ahoua alitupeleka fainali kwa miguu yake binafsi, chama ametufikisha wapi? Ewe mchambuzi
Indonesia
0
0
0
32
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨Palikuwa na maneno mengi sana yakiongeleka kuhusiana na chama kurejea simba na Kuachana na Ahoua, watu wengi walisema chama hastahili tena kurejea simba kwasababu ya umri na pia hata kipaji kishashuka hivyo hatokuwa na msaada wowote katika Club. Sasaivi ukiwauliza kama walizungumza maneno yoyote kuhusu kurejea kwa chama wanakuokotea mawe 😂😂🙌
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
20
2
164
9.5K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Klabu ya Yanga SC, kupitia kampuni ya Uwakili ya ‘M/S Nassoro & Co. Advocates’ imewasilisha barua ya malalamiko mazito ya kisheria dhidi ya kampuni ya EFM/TVE ikilalamikia kashfa zinazotolewa na mfanyakazi wa Kampuni hiyo, Wilson John Oruma katika uchambuzi wake wa michezo ambao unachafua taswira ya klabu hiyo. Katika barua hiyo Yanga SC imesema mchambuzi huyo amekuwa akitumia studio za EFM/TVE kutoa taarifa zinazodai klabu hiyo inashinda kwa njia za rushwa na kupanga matokeo hatua ambayo imedai inapunguza heshima, inavuruga mikataba ya udhamini, na kuchochea chuki. Ikiainisha mambo kadhaa kama msingi wa malalamiko yake yakiwemo madai ya kampeni endelevu kwenye vipindi vya EFM/TVE ambao imedai watangazaji wake wamekuwa na utaratibu wa muda mrefu kuichafua klabu hiyo ikitolea mfano uchambuzi uliofanywa na watangazaji baada ya ushindi wa 6-0 dhidi ya Mbeya City, ambapo kauli zilizotolewa ziliashiria mchezo huo haukuwa wa haki. Young Africans SC imedai uchambuzi huo umeonesha kutokuwa na imani na uhalali wa ushindi huo huku ikitaka mamlaka husika kuingilia kati ikitafsiri hatua hiyo kama kuivunjia heshima kwani kitendo hicho kinaharibu jina, hadhi, na heshima ya klabu kwa wanachama, mashabiki, na wadhamini. #KitengeSports
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
32
19
527
55.5K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 || 𝐌𝐎𝐔𝐒𝐀 𝐏𝐈𝐍 𝐏𝐈𝐍 𝐂𝐀𝐌𝐀𝐑𝐀 Uongozi wa Simba Sc unaangalia uwezekano wa kumtumia pin pin Camara kwenye michuano ya Kagame Cup itakayofanyika Zanzibar Kama sehemu ya kikosi hicho✍️ Pia Uongozi wa Simba utatumia nafasi hii Kama kumfanyia uchunguzi Kama wataendelea nae ama la! Kulingana na kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu. All the best Skipper 🫡
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
13
10
291
12.2K
Daniel
Daniel@DanielDMashamb1·
@SportsarenatzTz Amechomesha mechi nyingi mno, hana lolote la kuwazidi mligo na kibabage
Filipino
1
0
3
777
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
💬 “Hakukuwa na sababu za msingi sana kwa Simba kuachana na Tshabalala. Nadhani walikuwa wamemchoka tu. Simba na Yanga huwa hazishindwi kuwabakiza wachezaji wake muhimu wanaowahitaji. Labda zitokee timu kutoka nje na kutoa madau makubwa kama ilivyowahi kutokea kwa kina Chama, Mayele, Kisinda, Jose Luis Miquissone na wengineo. Humu ndani kwa ndani huwa hawashindwi jambo lao.“ — Legend, Edo Kumwembe
SportsArenaTz tweet media
Filipino
12
10
514
26.7K
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
1. Julius K Nyerere 2. Tundu A Lissu 3. Moringe Sokoine 4.Salim A salim 5. Hawa ndo viongozi top 5 wa Tanzania Je namba tano ungeweka nani?
Indonesia
69
18
183
14K