Sabitlenmiş Tweet
The Oddest.🉑️.
4.1K posts


@LuhambaI Mi najua dada wa kazi ni sehemu ya familia na sio sawa kuishi nae kwa kumbagua.
Indonesia

Wamama wengi hua wanajua hivi sijui kwanini
S t e w a r d@madeinmusoma
Umeelewa nini kwenye hii picha ?
Indonesia

@joeselasini Kiubinadamu unaruhusiwa kuonesha hasira zako hata kama aliyepo mbele yako kavaa gwanda.sio sahihi kuruhusu mtu akupige namna ile wakati kuna namna tofauti za kufikia muafaka.
Indonesia

@officialhimsel1 Wengine waliweza kushika mapene ila wakashindwa kustahimili changamoto zake wakarudi walipotokea.
'The Point is' sio kila shujaa anarudi nyumbani wengine wanafia uwanja wa vita.
Indonesia

@Heritagetech3 @gabyconscious @NyandaAmosi @samsonmbembela @officialhimsel1 Imani yangu hii ni mwanzo wa safari nyingine,kaza zaidi ya vile cuz.✊🏾.
Indonesia

@MfalmewaX1 Kila binadamu ana mvuto wake wa asili,ni mitindo ya maisha inafifisha namna tunavyo onekana
Filipino

@gabyconscious Sawa inaweza kuwa moja ya "Love Song" kali zaidi hii 2026.
Indonesia

@swahilitimes Wewe mara ya mwisho kubaka lini?,au gereza mtakuwa mnaenda kuhifadhi ma B.
Indonesia
The Oddest.🉑️. retweetledi











