School of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM)

573 posts

School of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM) banner
School of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM)

School of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM)

@DarusoSoMG

Official Twitter account of School of Mines and Geosciences (SoMG) - University of Dar es salaam (UDSM) (Students' Organization)

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2021
110 Takip Edilen205 Takipçiler
School of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM) retweetledi
Wizara ya Madini
Wizara ya Madini@MadiniTanzania·
Dhahabu Yapanda na Kuweka Rekodi ya Dola za Marekani Bilioni 4.3 Katika Soko la Dunia Dodoma Kwa mujibu wa ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ya mwezi Septemba 2025 imeeleza kwamba rekodi ya madini ya dhahabu imepanda hadi kufikia dola za Marekani bilioni 4.3 katika soko la dunia. Ripoti ya BoT imeeleza kwamba, uuzaji wa bidhaa za huduma nje ya nchi umeongezeka kwa asilimia 14.8 kwa mwaka na kufikia jumla ya dola za Kimarekani 16,894.4 mwishoni mwa mwezi Agosti 2025. BoT imefafanua kuwa , kwa upande wa uuzaji wa dhahabu uliongezeka kwa asilimia 35.5 na kufikia dola milioni 4, 322.3 kutokana na kupanda kwa bei ya dhahabu katika soko la dunia. Ikielezea kuhusu mauzo ya bidhaa kutoka Sekta ya Kilimo ripoti imeeleza kuwa, katika mwezi husika mauzo yaliongezeka hadi kufikia dola milioni 1,411.7 ambapo ongezeko hilo ni sawa na asilimia 28.3 lililotokana na mauzo ya korosho , tumbaku na kahawa. Pamoja na dhahabu mauzo mengine ni bidhaa za viwandani, korosho Tumbaku na nafaka.
Wizara ya Madini tweet media
Indonesia
1
5
21
2.1K
School of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM) retweetledi
Wizara ya Madini
Wizara ya Madini@MadiniTanzania·
GST NA CHUO KIKUU CHA GOETHE WAFANYA UTAFITI MLIMA OLDOINYO LENGAI Arusha Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kwa kushirikiana na wataalam wa jiosayansi kutoka Chuo Kikuu cha Goethe cha nchini Ujerumani wafanya utafiti wa jiosayansi katika Mlima Oldoinyo Lengai. Akielezea kuhusu utafiti huo, Mkurugenzi wa Huduma za Jiolojia GST, Dkt. Ronald Massawe amesema kuwa, Mlima Oldoinyo Lengai ni moja ya milima ya volkano ambayo ipo hai, lakini pia ni mlima pekee duniani ambao volkano yake inatoa lava ya aina ya “natrocarbonatite” ambapo lava hii inapokauka na kugeuka vumbi, huweza kuwa na madhara ya kiafya kwa binadamu na wanyama, hasa inapovutwa kupitia hewa. Akifafanua kuhusu malengo ya utafiti huo, Dkt. Massawe amesema kuwa, kulingana na mfumo wa kijiolojia ndani ya mlima, utafiti huo una malengo makubwa matatu ambayo ni: kuchunguza muundo wa ndani wa volkano, kubaini maeneo ya hifadhi ya magma na njia zake, pamoja na kutambua mabadiliko ya tabaka la miamba katika Ukanda wa Ziwa Natron. Lengo lingine ni kuongeza uwezo wa wataalamu wa ndani hapa Tanzania, ambapo itachangia kukuza uwezo wa rasilimali watu katika kufanya tafiti za jiosayansi hususan kwenye majanga asili ya jiolojia, na lengo la tatu ni kuimarisha ushirikiano na taasisi mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi katika kufanya tafiti za jiosayansi. Dkt. Massawe amefafanua kuwa, katika awamu hii, jumla ya vituo 32 vya kufuatilia mwenendo wa mitetemo ya ardhi vimesimikwa katika eneo la mlima ambapo vituo hivyo vimewekwa katika mpangilio wa mstari wenye uelekeo wa upande wa Kaskazini-Magharibi/Kusini-Mashariki kupitia kwenye kilele cha mlima huo wenye urefu wa takriban mita 2,962 kutoka usawa wa bahari. Sambamba na uelekeo huo, vipo baadhi ya vifaa vilivyosimikwa katika maeneo ya pembezoni na kwenye ulalo wa mlima. Dkt. Massawe amebainisha kuwa, mtandao huu wa vifaa utanakili mitetemo ya ardhi inayosababishwa na nguvu za asili za mabadiliko ya jiolojia katika Ukanda wa Bonde la Ufa, pamoja na mitetemo inayotokana na fukuto la volkano. Kuhusu manufaa ya kufanya utafiti huu, Dkt. Massawe ameendelea kuelezea kuwa, moja ya faida katika utafiti huu ni kwamba taarifa zitakazokusanywa katika kazi hii zitaongeza maarifa mapya kuhusu mfumo wa ndani wa volkano ya Mlima Oldoinyo Lengai na hivyo kuongeza uelewa wa hatari za kijiolojia na kuimarisha uwezo wa Serikali katika kukabiliana na majanga katika ukanda wa Ziwa Natron. Akielezea kuhusu hali ya mlipuko katika mlima huo, Dkt. Massawe amesema kuwa, kwa mara ya mwisho Mlima Oldoinyo Lengai ulilipuka kati ya Julai, 2007 hadi 2008 na ulirusha majivu yaliyosambaa hadi umbali wa kilomita kumi (10). Madhara yaliyojitokeza wakati wa mlipuko huo ni pamoja na vifo kwa wanyama, uharibifu wa mazingira ikiwemo maeneo ya malisho ya mifugo, pamoja na watu kuwashwa macho hadi umbali wa kilomita sabini kutoka kwenye mlima huo, alifafanua Mtaalam huyo. Kwa kipindi kirefu GST imekuwa ikifanya tafiti mbalimbali zinazohusiana na majanga asili ya jiolojia ikiwemo maporomoko ya ardhi, matetemeko ya ardhi, mipasuko na mididimio ya ardhi kwa kushirikiana na taasisi za ndani na nje ya nchi. Utafiti huo ulihusisha wataalamu mbalimbali akiwemo Dk. Ronald Massawe na Gabriel Mbogoni kutoka GST pamoja na Prof. Georg Rumpker, Dr. Ayoub Kaviani, Christoph Locker na Ms. Kamila Diaz kutoka Chuo Kikuu cha Goethe.
Wizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet media
Indonesia
0
1
11
1.1K
School of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM) retweetledi
Tumeyamadini
Tumeyamadini@TumeyamadiniTZ·
Tumeyamadini tweet media
ZXX
0
1
7
217
School of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM) retweetledi
Tumeyamadini
Tumeyamadini@TumeyamadiniTZ·
*WATHAMINISHAJI MADINI WAJENGEWA UWEZO* Wathaminishaji wa madini wametakiwa kuwa waadilifu na kutumia taaluma yao vizuri ili kuepuka makosa madogo madogo - Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimaliwatu na Utawala wa Tume ya Madini, Nsajigwa Kabigi
Tumeyamadini tweet mediaTumeyamadini tweet mediaTumeyamadini tweet mediaTumeyamadini tweet media
Indonesia
0
3
6
240
School of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM) retweetledi
Tumeyamadini
Tumeyamadini@TumeyamadiniTZ·
WATUMISHI wa Wizara ya Madini na Taasisi zake wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na uzalendo ili kulinda uchumi wa nchi usiweze kuathirika na mabadiliko ya sera za mataifa ya nje, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa
Tumeyamadini tweet mediaTumeyamadini tweet mediaTumeyamadini tweet mediaTumeyamadini tweet media
Indonesia
0
3
6
383
School of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM) retweetledi
Tumeyamadini
Tumeyamadini@TumeyamadiniTZ·
Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Iringa, *Mhandisi AbdulRahman Milandu akielezea fursa za uwekezaji katika Sekta ya Madini katika mkoa wa Iringa sambamba na kuwakaribisha wawekezaji.*
Indonesia
0
3
8
260
School of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM)
somg_udsm SoMG students in action at Mfumbi campsite! Our team is hard at work measuring joint and bedding planes, while appreciating the sleek outcrop structures. Learning in the field and gaining hands-on experience-what a fantastic way to apply our knowledge! #SoMG
School of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM) tweet mediaSchool of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM) tweet mediaSchool of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM) tweet media
English
1
1
9
305
School of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM)
Career Day 2024 Main theme “Promoting INCLUSION in the EXTRACTIVE INDUSTRY” Sub Theme; -Girl in Mining -Embracing Technology -Addressing capital issues Guest of honor : Hon. Dr. Steven L Kiruswa
GIF
English
0
3
3
283
School of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM) retweetledi
ATOGS
ATOGS@atogsofficial·
Balozi @abdulsamadz kwenye uimara wake: 1. Ujenzi mpya wa Airport Pemba 2. Ujenzi mpya wa barabara za Pemba 3. Mradi mpya wa vifo vya Mama na Mtoto Hongera sana Mwenyekiti. Tunaona na tunathamini sana juhudi zako. Ipo siku nchi hii italiandika jina lako kwa wino wa Dhahabu 👏🏾
Abdulsamad Abdulrahim@Abdulsamad_tz

Today along with H.E. Ambassador @AmbGustavoNog we were honored to pay a courtesy call visit to President of Zanzibar and Chairman of the Revolutionary Council, His Excellency @DrHmwinyi at the State House in Zanzibar.

Indonesia
1
1
3
334