Mlay Daud

206 posts

Mlay Daud

Mlay Daud

@DaudMlay76701

spy master

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2024
192 Takip Edilen8 Takipçiler
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Bobi Wine ni ZZK au FAM wa kuvundika. The real opposition figure in Uganda is behind bars. Anything you see right now from UG is scripted. Wine is a good friend to Muhoozi
English
61
100
1.4K
50.3K
Oladoja
Oladoja@_onlyscott·
Name a Ballon d’Or winner who never won the Champions League. You can’t
Oladoja tweet media
English
4K
198
10K
1M
Mlay Daud
Mlay Daud@DaudMlay76701·
@EduTalkTz Ikifanyika mara kwa mara bila chanzo kipya cha dola (mauzo ya nje, utalii, uwekezaji), si suluhisho la kudumu, Kwa kifupi 👉 Kuingiza fedha kwenye forex ni kama “kupoza moto”: Husaidia kudhibiti hali ya haraka, lakini suluhisho la muda mrefu ni: 👉Kuongeza mauzo ya nje.
Indonesia
0
0
0
11
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Juzi tu tuliambiwa watawala wamekopa trillion moja plus kutoka BOT. Leo watawala wanaingiza pesa forex kwa lugha ya “kuimarisha shilingi.” Wataalam wa uchumi mtusaidie kutafsiri haya kwa lugha ya kawaida kabisa mtaani.
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
10
16
139
6.5K
Cinema 4 You
Cinema 4 You@cinema4yu·
THE 16 MOST HATED PEOPLE ALIVE - GLOBALLY 1. 🇷🇺 Vladimir Putin 2. 🇰🇵 Kim Jong-un 3. 🇸🇾 Bashar al-Assad 4. 🇮🇱 Benjamin Netanyahu 5. 🇺🇸 Donald Trump 6. 🇨🇳 🇵🇭 Rodrigo Duterte 7. 🇺🇸 Ali Khamenei 8. 🇸🇦 Mohammed bin Salman 9. 🇧🇷 Jair Bolsonaro 10. 🇺🇸 Kanye West (Ye) 11. 🇬🇧 Andrew Tate 12. 🇮🇳 Narendra Modi 13. 🇻🇪 Nicolás Maduro 14. 🇷🇺 Vladimir Solovyov 15. 🇺🇸 Sam Bankman-Fried 16. 🇳🇬 Bola Ahmed Tinubu Based on public criticism, scandals, polarizing influence, and widespread negative perception
Cinema 4 You tweet media
English
81
29
322
70.9K
World of Statistics
World of Statistics@stats_feed·
TOP 50 MOST HATED PEOPLE IN HISTORY 1. Adolf Hitler 🇩🇪 2. Joseph Stalin 🇷🇺 3. Pol Pot 🇰🇭 4. Leopold II of Belgium 🇧🇪 5. Mao Zedong 🇨🇳 6. Osama bin Laden 🇸🇦 7. Idi Amin 🇺🇬 8. Benito Mussolini 🇮🇹 9. Genghis Khan 🇲🇳 10. Saddam Hussein 🇮🇶 11. Heinrich Himmler 🇩🇪 12. Kim Jong-il 🇰🇵 13. Kim Jong-un 🇰🇵 14. Mengistu Haile Mariam 🇪🇹 15. Slobodan Milošević 🇷🇸 16. Francisco Franco 🇪🇸 17. Bashar al-Assad 🇸🇾 18. Joseph Kony 🇺🇬 19. Vlad the Impaler 🇷🇴 20. Charles Manson 🇺🇸 21. Jeffrey Dahmer 🇺🇸 22. Ted Bundy 🇺🇸 23. Hirohito 🇯🇵 24. Maximilien Robespierre 🇫🇷 25. Nero 🇮🇹 26. Caligula 🇮🇹 27. Attila the Hun 🇭🇺 28. Ratko Mladić 🇷🇸 29. Reinhard Heydrich 🇩🇪 30. Hideki Tojo 🇯🇵 31. Augusto Pinochet 🇨🇱 32. Robert Mugabe 🇿🇼 33. Pablo Escobar 🇨🇴 34. Joaquín “El Chapo” Guzmán 🇲🇽 35. Christopher Columbus 🇮🇹 36. Hernán Cortés 🇪🇸 37. Joseph Goebbels 🇩🇪 38. Fidel Castro 🇨🇺 39. Muammar Gaddafi 🇱🇾 40. Enver Hoxha 🇦🇱 41. Abu Musab al-Zarqawi 🇯🇴 42. Abu Bakr al-Baghdadi 🇮🇶 43. Rasputin 🇷🇺 44. Jack the Ripper 🇬🇧 45. Lavrentiy Beria 🇷🇺 46. Mobutu Sese Seko 🇨🇩 47. King John of England 🇬🇧 48. Henry VIII 🇬🇧 49. Reinhard Gehlen 🇩🇪 50. Edward “Blackbeard” Teach 🏴‍☠️ Source: Bana Media
English
1.4K
470
3.9K
2.3M
Geeee❤️
Geeee❤️@Geeee_123·
🤣🤣🤣🤣🤣
Geeee❤️ tweet media
QME
182
179
2K
142.6K
Brasil Football 🇧🇷
Brasil Football 🇧🇷@BrasilEdition·
🚨🚨🚨BREAKING: Oscar has decided to RETIRE from football after dealing with heart issues. All the best to him! 🙏🏽
Brasil Football 🇧🇷 tweet media
English
364
2.9K
51K
1.2M
Cinema 4 You
Cinema 4 You@cinema4yu·
THE 15 MOST HATED AFRICAN LEADERS BY THEIR OWN CITIZENS (AS OF DECEMBER 2025) 1. Paul Biya - 🇨🇲 Cameroon 2. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo - 🇬🇶 Equatorial Guinea 3. Isaias Afwerki - 🇪🇷 Eritrea 4. Yoweri Museveni - 🇺🇬 Uganda 5. Abdel Fattah el-Sisi - 🇪🇬 Egypt 6. Cyril Ramaphosa - 🇿🇦 South Africa 7. William Ruto - 🇰🇪 Kenya 8. Denis Sassou Nguesso - 🇨🇬 Republic of the Congo 9. Bola Tinubu - 🇳🇬 Nigeria 10. Faustin-Archange Touadéra - 🇨🇫 Central African Republic 11. Emmerson Mnangagwa - 🇿🇼 Zimbabwe 12. Ali Bongo Ondimba - 🇬🇦 Gabon 13. Mahamat Déby - 🇹🇩 Chad 14. Abiy Ahmed - 🇪🇹 Ethiopia 15. Mohamed Bazoum - 🇳🇪 Niger Note :The list complied from - Afrobarometer - Morning Consult Global Leader Approval Tracker
Cinema 4 You tweet media
English
257
69
318
118.2K
Oladoja
Oladoja@_onlyscott·
Guess the national team? 👀 Level: HARD
Oladoja tweet media
English
5.5K
249
16.3K
4.2M
Cinema 4 You
Cinema 4 You@cinema4yu·
TOP 50 COUNTRIES WITH THE WORST GOVERNMENTS 🏛️💥 1. 🇸🇴 Somalia 2. 🇸🇸 South Sudan 3. 🇸🇩 Sudan 4. 🇨🇫 Central African Republic 5. 🇾🇪 Yemen 6. 🇸🇾 Syria 7. 🇨🇩 DR Congo 8. 🇦🇫 Afghanistan 9. 🇭🇹 Haiti 10. 🇹🇩 Chad 11. 🇲🇲 Myanmar 12. 🇪🇹 Ethiopia 13. 🇧🇫 Burkina Faso 14. 🇲🇱 Mali 15. 🇳🇬 Nigeria 16. 🇨🇲 Cameroon 17. 🇳🇪 Niger 18. 🇲🇿 Mozambique 19. 🇱🇾 Libya 20. 🇮🇶 Iraq 21. 🇧🇮 Burundi 22. 🇬🇳 Guinea 23. 🇪🇷 Eritrea 24. 🇿🇼 Zimbabwe 25. 🇺🇬 Uganda 26. 🇵🇰 Pakistan 27. 🇨🇬 Congo (Brazzaville) 28. 🇻🇪 Venezuela 29. 🇮🇷 Iran 30. 🇱🇧 Lebanon 31. 🇬🇼 Guinea-Bissau 32. 🇦🇴 Angola 33. 🇲🇷 Mauritania 34. 🇧🇩 Bangladesh 35. 🇲🇬 Madagascar 36. 🇰🇪 Kenya 37. 🇰🇲 Comoros 38. 🇭🇳 Honduras 39. 🇪🇬 Egypt 40. 🇷🇺 Russia 41. 🇹🇬 Togo 42. 🇷🇼 Rwanda 43. 🇧🇴 Bolivia 44. 🇳🇮 Nicaragua 45. 🇪🇨 Ecuador 46. 🇹🇲 Turkmenistan 47. 🇱🇰 Sri Lanka 48. 🇺🇿 Uzbekistan 49. 🇹🇯 Tajikistan 50. 🇳🇵 Nepal Source : Fragile States Index
Cinema 4 You tweet media
English
617
204
768
358K
Cinema 4 You
Cinema 4 You@cinema4yu·
TOP 50 MOST POWERFUL MILITARIES IN THE WORLD (2025) 💣🛡️+ POWER INDEX 1. United States 🇺🇸 – 0.0744 2. Russia 🇷🇺 – 0.0788 3. China 🇨🇳 – 0.0788 4. India 🇮🇳 – 0.1184 5. South Korea 🇰🇷 – 0.1656 6. United Kingdom 🇬🇧 – 0.1785 7. France 🇫🇷 – 0.1878 8. Japan 🇯🇵 – 0.1839 9. Turkiye 🇹🇷 – 0.1902 10. Italy 🇮🇹 – 0.2164 11. Brazil 🇧🇷 – 0.2415 12. Pakistan 🇵🇰 – 0.2513 13. Indonesia 🇮🇩 – 0.2557 14. Germany 🇩🇪 – 0.2601 15. Israel 🇮🇱 – 0.2661 16. Iran 🇮🇷 – 0.3048 17. Spain 🇪🇸 – 0.3242 18. Australia 🇦🇺 – 0.3298 19. Egypt 🇪🇬 – 0.3427 20. Ukraine 🇺🇦 – 0.3755 21. Poland 🇵🇱 – 0.3776 22. Taiwan 🇹🇼 – 0.3988 23. Vietnam 🇻🇳 – 0.4024 24. Saudi Arabia 🇸🇦 – 0.4201 25. Thailand 🇹🇭 – 0.4536 26. Algeria 🇩🇿 – 0.3589 27. Sweden 🇸🇪 – 0.4835 28. Canada 🇨🇦 – 0.5179 29. Singapore 🇸🇬 – 0.5271 30. Greece 🇬🇷 – 0.5337 31. Nigeria 🇳🇬 – 0.5771 32. Mexico 🇲🇽 – 0.5965 33. Argentina 🇦🇷 – 0.6013 34. North Korea 🇰🇵 – 0.6016 35. Bangladesh 🇧🇩 – 0.6062 36. Netherlands 🇳🇱 – 0.6412 37. Myanmar 🇲🇲 – 0.6735 38. Norway 🇳🇴 – 0.6811 39. Portugal 🇵🇹 – 0.6856 40. South Africa 🇿🇦 – 0.6889 41. Philippines 🇵🇭 – 0.6987 42. Malaysia 🇲🇾 – 0.7429 43. Iraq 🇮🇶 – 0.7738 44. Switzerland 🇨🇭 – 0.7869 45. Denmark 🇩🇰 – 0.8109 46. Colombia 🇨🇴 – 0.8353 47. Chile 🇨🇱 – 0.8361 48. Finland 🇫🇮 – 0.8437 49. Peru 🇵🇪 – 0.8588 50. Venezuela 🇻🇪 – 0.8882 Source: globalfirepower.com
Cinema 4 You tweet media
English
51
40
155
69.1K
Mlay Daud
Mlay Daud@DaudMlay76701·
@bbcswahili hata EU nzima pasipo marekani hawatoboi kwa urusi, pale Ukraine ipo NATO changanya na mamluki lukuki lakini hali kama unavyoiona pray for Ukrainian
Indonesia
0
0
1
107
Mlay Daud
Mlay Daud@DaudMlay76701·
@Chahali uchagani hawa tunawaita "chasakka" yani ni mtu wauko porini
Indonesia
0
0
2
30
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Pichani ni Mh Freeman Mbowe akimkumbatia Godbless Lema. Mimi binafsi, Nitajitahidi angalau niwe na hata robo tu ya moyo wa Mh @freemanmbowetz katika maisha yangu…. Moyo wa kutowachukia wabaya wako, waliokuumiza, waliokuvunjia heshima, waliokutusi matusi ya nguoni. Haw nitawapa nafasi ya kuwashika mkono popote niwezapo! Moyo kama huu wa Freeman Mbowe niliusikia na kuusoma kwa Papa wa Roma John Paulo wa pili aliyepigwa risasi katika jaribio la kuuawa mwaka 1981 na Bwana Ali Agca kwa misukumo ya kiimani. Papa wa Roma kiongozi wa Kanisa Katoliki John Paul wa II, baada ya kupigwa risasi, alilazwa wodini kwa majuma kadhaa, na kisha baada ya kupona alikwenda gerezani alikokuwa amefungwa muuaji wake akakutana na akazungumza na Ali Agca ambae muda huo alikuwa jela kwa kufanya jaribio hilo la kumuua Papa huyu Mei 13 mwaka 1981 mjini Vatican Roma Italia. Katika mshangao wa ulimwengu, Papa wa Roma alimsamehe na kumwachilia moyoni mwake na kumuombea msamaha kwa ulimwengu wa sheria. Kisa hiki ni kirefu na kina nadharia nyingi na maswali mengi yasiyo na majibu. Hivi ndivyo leo Mh Mbowe anafanya, anamkumbatia na kucheka nae Bwana Godbless Lema mmoja ya genge la wahuni waliotembea nchi nzima wakimtusi na kumvua nguo zote Mh Mbowe, mmoja wa watu waliomtweza na kumfedhehesha kwa viwango ambavyo hata shetani mmiliki wa uovu aliviogopa. Lakini kwa Mbowe hilo ni sadaka kwa ulimwengu wa wema anasema kwa vitendo njooni kwangu enyi wa ovu nami nitawatakasa na kuwa wema. Nimfananishe na nani mtu huyu? Mbona mimi siwezi hata kushika kamba za viatu vyake? Ninapata somo kubwa sana, nitajitahidi sehemu ya maisha yangu angalau nichote makuzi na maonyo ya Freeman Mbowe hata robo tu, na katika hili nimeanza, najitahidi kupokea na kuvumilia matusi na udhalilishaji wa mashabiki zangu mitandaoni nimejizuia sana kublock yeyote, nahisi nitaweza japo inahitaji moyo mkuu, pengine nikizeeka nitakanyag nyayo za mwalimu, baba na mzee wangu Freeman Mbowe. Na Yericko Nyerere
Yericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet media
Indonesia
141
7
103
20.3K
Mlay Daud
Mlay Daud@DaudMlay76701·
@Sirjeff_D mbona huko umefika mbali, mulize matatizo ya elimu ya vyuo vikuu vyetu hasa ni nn ndio utajua another chawa in the City 😁
Indonesia
0
0
3
238
Mlay Daud
Mlay Daud@DaudMlay76701·
@fbuyobe duh haya mambo si mageni jijini labda kwa wale wageni wa mji😏
Indonesia
0
0
2
2.2K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Nasikia Pilipili alikuwa hajamove on akaanza kuwa anatukanana na mrithi wa mkewe. Kumbe jamaa alikuwa kitengo and the rest is what you know
Filipino
120
198
2.2K
139.5K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
OMG!! 😭😭😭😭 hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii. Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.
Filipino
2.1K
3.7K
7.8K
2M
Mlay Daud
Mlay Daud@DaudMlay76701·
@MalisaGJ_ kabisa, mkuu kule Instagram nifungulie block xx ni ndugu tunajenga nyumba moja yanini tugombanie fito👏
Indonesia
0
0
1
189
MalisaGJ
MalisaGJ@MalisaGJ_·
Sababu zilizopelekea maandamano; Watu kutekwa. Mdude alitekwa mbele ya mke wake na mtoto. Hadi leo polisi hawajatoa taarifa alipo. Deus Soka na wenzake Frank Mbise na Jacob Mlay walitekwa mchana kweupe maeneo ya Buza, mpaka sasa hatujui walipo. Hawa ni wachache lakini waliotekwa na kupotea ni wengi. Wananchi waliandamana ili vitendo hivi vikomeshwe, kwanini mnawapiga risasi? Mbali na utekaji, kuna vitendo vya mauaji vimeripotiwa lakini hakuna hatua zilizochukuliwa. Mfano mzuri ni mauaji ya kinyama ya mzee Kibao. Alishushwa kwenye basi na kwenda kuuawa kikatili na kutobolewa macho. Waandamanaji wanapinga vitendo hivi, kwanini mnawapiga risasi? Kanisa limetaja sababu "nyinginezo" za maandamano. Ikiwemo ukosefu wa ajira kwa vijana, madai ya Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Vijana wengi wamehitimu vyuo lakini hawana ajira. Wakijaribu kujiajiri wanakutana na vikwazo. Mfano mzuri ni vijana waliohitimu vyuo vikuu, wakaamua kufanya umachinga eneo la Mawasiliano jijini Dar. Walifukuzwa ili eneo hilo lijengwe gereji ya mabasi ya mwendokasi. Vijana wakashauri kwanini gereji hiyo isijengwe nje ya mji kama Kibaha, lakini hawakusikilizwa. Wakafukuzwa kwa vitisho kama mbwa. Walipoamua kuandamana na kupaza sauti zao mkawapiga risasi. Is it fair? Sababu nyingine ni madai ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Watu wanataka kura zao ziheshimiwe. Sio wanapiga kura kama kiini macho kumbe mshindi ameshapangwa. Wanataka Mwenyekiti na wajumbe wa Tume ya Uchaguzi wasiteuliwe na mmoja wa wagombea. Yanga wakikataa refa wa mechi yao asiteuliwe na Simba hiyo inakuwaje dhambi? Sababu nyingine ni kushamiri kwa ufisadi wakati maisha ni magumu. Mtu anavuja jasho siku nzima anaambulia 5,000/= na ana familia. Wakati huohuo anasikia kuna mtoto wa kiongozi kamtumia dada yake bilioni 4 kwenye simu. Unadhani atajisikiaje? Kwa hiyo vijana waliandamana kuiambia serikali kwamba keki ya taifa isifaidishe wachache bali igawanywe kwa wote. Sasa hilo ni kosa la kupigwa risasi? Kwa kifupi TEC wanasema namna nzuri ya kudhibiti maandamano ni kufanyia kazi sababu zilizopelekea maandamano, sio kupiga watu risasi. Roma locuta, causa finita est (Roma ikisema, mjadala umefungwa). 🙏🏽
MalisaGJ tweet media
Indonesia
10
118
542
13.8K
Mlay Daud
Mlay Daud@DaudMlay76701·
@Getrude_mollel mpaka leo wanafunzi hawana madawati kwaio tukae kimya kwakuwa muislamu?
Indonesia
0
0
0
178
Getrude Mollel 🇹🇿
Getrude Mollel 🇹🇿@Getrude_mollel·
Kuna vita kali sana, fuatili wakati wa Ally Hassan Mwinyi, Wakati wa Kikwete na wakati huu wa Rais Samia Suluhu. Angalia behavior na attitude za Kanisa Katoliki kiongozi akiwa wao na kiongozi akiwa sio wao. Mimi ni Mkristo, ila sipendezwi na vile tunavyomfanyia Rais Samia, ni chuki za wazi wazi kabisa, maandiko hayatufundishi hivi.
George Rugambwa@georgerugambwa

Mbona hili liko wazi kabisa. Fuatilia baada ya Uhuru, kundi kubwa la wazee wa Kiislamu Dar, Tanga, Kigoma, Morogoro walitoa mali zao kupigania Uhuru walienda wapi, wengi waliishia jela, kuuawa na kupotezwa, halafu serikali 90% ikajaa wakatoliki. Haohao, leo wanamtesa Samia.

Indonesia
128
13
70
20.4K