Sabitlenmiş Tweet
Sky High. 👽🌴
35.7K posts

Sky High. 👽🌴
@Dawizzy_9
Technology✌ . R e a l r e c o g n i z e R e a l . G h o s t W r i t e r . F O C U S. 💳 E x p e n s i v e P a i n 🚀.
Katılım Şubat 2019
2.1K Takip Edilen10.7K Takipçiler

@AliseniC95716 @pastajoshuatz Shekhe Walid ni nani naiomba hiyo Khutba... share link nisikilize namimi nione ...
Filipino

@Dawizzy_9 @pastajoshuatz Hapana nilisha wahi kusikia hata hutuba ya sehehe wallid aliwahi sema watu amabao wanatakiwa wauwawe nia pamoja na wanao ukataa uislam
Indonesia

@Mackincheese23 @EddoLalika @EsirEid Hana chapa ya mnyama 666 na amemuelezea mpinga kristo alivyo na baada ya hapo nini kitatokea... so kama umeamini Muhammad ndio mpinga kristo basi wewe huna tofauti na myahudi ambaye anamtengeneza mpinga kristo wa ukweli.. wote ninyi mnasubiri kitu kimoja.
Indonesia

@Mackincheese23 @EddoLalika @EsirEid Hajiiti Mungu wala kujiona mungu anaamini... katika kuja kwa mpinga kristo...
Indonesia

Tunaawambiaga kila siku kuwa mpinga Kristo anajulikana wao wanabisha haya sasa
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid
#TajiriLaKihaya Uzuri tulishasema jamaa Akimalizana na Waislamu atahamia kwenu 😅😂😃
Filipino

@Dawizzy_9 @EddoLalika @EsirEid Ehh muhamad ni mtume wenu nyie, hayupo kwenye maandiko ya wakristo na ndio maana tunamfahamu kama nabii wa uongo/mpinga kristo
Filipino

@Mackincheese23 @EddoLalika @EsirEid Katika 2 Wathesalonike anaitwa “mtu wa kuasi” (man of lawlessness).
Katika Ufunuo wa Yohana anaelezwa kama “mnyama” (beast).
Huyu anaelezewa kama:
Atakuwa na mamlaka makubwa
Atadanganya watu wengi
Atapinga Mungu waziwazi
Indonesia

@Mackincheese23 @EddoLalika @EsirEid Kwaiyo mnamuabudu mwana wa Mungu, basi sisi na Mtume wetu Muhammad tunamuabudu Allah na tunaamini Yesu ni mwana wa Mariam na Atarudi duniani siku za mwisho...
Indonesia

@Mackincheese23 @EddoLalika @EsirEid Muhamad anaamini nabii Issa atarudi kumnyofoa huyo Mpinga kristo...
Filipino

@Mackincheese23 @EddoLalika @EsirEid Mtume Mohammad anaamini katika Masih Dajal... “The False Messiah” or “The Antichrist.”
Eesti


@Mackincheese23 @EddoLalika @EsirEid Katika 2 Wathesalonike anaitwa “mtu wa kuasi” (man of lawlessness).
Katika Ufunuo wa Yohana anaelezwa kama “mnyama” (beast).
Huyu anaelezewa kama:
Atakuwa na mamlaka makubwa
Atadanganya watu wengi
Atapinga Mungu waziwazi
Indonesia

@Dawizzy_9 @EddoLalika @EsirEid 22 Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana.
1 Yohana 2:22
Filipino

@Matupsenior @EddoLalika @EsirEid Kama huelewi inamaanisha hauna uwezo wa kuelewa hata nikikujibu...
Indonesia

@Matupsenior @EddoLalika @EsirEid Ukipewa sifa za kimbunga kinachoendelea kufanya uaribifu hatutegemei kwamba uulize dalili ya kimbunga hicho kikiwa kinakuja... sababu sifa ni zile zile ila zinakuwa hazina makali kama kimbunga kikishakolea.... mfano upepo huanza kuvuma kwa kasi sana...
Indonesia

@Dawizzy_9 @EddoLalika @EsirEid Kutokana na hzo sifa Trump ni mpinga Kristo??
Na zipi dalili za kuja Kwa mpinga Kristo ??

@mpenda_TANZANIA @EsirEid Kama anko T anasema ni Best President sasa hapo kuna kipi..
Filipino

@EsirEid Wakristo wa Tanzania wamemezeshwa umarekani hawajui haki ipo wapi.
Wanaona kabisa Trump na Netanyau wanasapoti ushoga lakini wakristo wa Tanzania Bado wapo na Trump,
Trump kamtusi pope wakristo wa Tanzania Bado wapo na Trump
Inasikitisha sana
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Wakatoliki wa huko duniani huwa wanapeleka moto sio poa😅😃😀
Hadi kafuta…
Ila watanzania na wanaharakati uchwara walikua wameunga Trela, Eti ni Sawa💔
Remarks@remarks
JUST IN: 🇺🇸 President Trump deletes post portraying himself as Jesus Christ.
Indonesia

@Matupsenior @EddoLalika @EsirEid Anapewa mamlaka makubwa duniani
Watu wengi wanamwabudu
Anafanya ishara za kupotosha
Ana uhusiano na namba 666 (Ufunuo 13)mtu wa kuasi” (man of lawlessness)
Atajiinua juu ya kila kitu kinachoabudiwa
Atajifanya kama Mungu
Indonesia





