JJ T

39.4K posts

JJ T banner
JJ T

JJ T

@Deeh1926

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2023
1.1K Takip Edilen1.5K Takipçiler
JJ T
JJ T@Deeh1926·
Nitazilinda Nyeti Zangu kwa Wivu mkubwa Saana!! Jamani Hili ZAGA halina Spare Part🤣
Indonesia
0
0
1
37
JJ T
JJ T@Deeh1926·
Kupitia Vita Ya ISRAEL, USA na IRAN!! Nimejifunza: Kuiba kitu au Kupora Kitu cha Mtu kwa nguvu sio DHAMBI
Indonesia
1
0
1
38
JJ T
JJ T@Deeh1926·
Hawa Jamaa walikuwa na KIWI Aise🙌 🙌 Yaani Gesti zote zipo FULL
Filipino
0
0
1
34
JJ T
JJ T@Deeh1926·
Stori za BANJOO .....
0
0
1
32
JJ T
JJ T@Deeh1926·
@IWillLive_X @moodewji Naomba email yako nikutumie PROPOSAL Boss wangu, "Siombi samaki bali Naomba NDOANO"
Indonesia
0
0
0
23
Botafogo👑
Botafogo👑@IWillLive_X·
Mo Inatosha sasa unatufanya, tuamini Afrika Mashariki ni wewe tu Billionaire peke ako Pia Boss @moodewji ni wakati sasa wa Simba kujenga kiwanja chake
Botafogo👑 tweet media
Indonesia
21
15
300
22.8K
JJ T
JJ T@Deeh1926·
@moodewji @IWillLive_X Naomba email yako nikutumie PROPOSAL Boss wangu, "Siombi samaki bali Naomba NDOANO"
Indonesia
0
0
0
74
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
@IWillLive_X tunafika mwisho kwenye transformation, inshallah tutashangaza Africa na kuwa ma miondo mbinu bora.
Indonesia
96
70
885
35.3K
JJ T
JJ T@Deeh1926·
@kikomasta Huyu guroko anaeneza propaganda ya israel na Usa kibaya kuhusu wao anatengua sio kweli
Filipino
0
0
1
570
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
Grok ukimuuliza kitu alafu kuhusu maumivu kwa wanawa mungu aisee anavyokufokea utajuta kuuliza. Ukute grok na yeye ni mwana wa mungu. #BilaGanzi
Jack upepo tweet media
Indonesia
20
8
162
12.2K
JJ T
JJ T@Deeh1926·
@MaxTz255_ Sisi tunavunja matofali ya kuchoma
Indonesia
1
0
0
187
Myunani
Myunani@MaxTz255_·
Nikilinganisha Majeshi Yetu na Majeshi ya Nje Ni kama Sisi tunajiandaa na Vita Ya Kwanza Ya Dunia 🙌😁 Watu saivi wanadeal na Kuzalisha Drones kwa Bei Ndogo ila Zenye kusababisha Maafa makubwa 😁 Sisi tupo na Chenja 🙌
Indonesia
27
12
250
11K
JJ T
JJ T@Deeh1926·
@Santacia @gkinabo1 Lawama zote watupiwe vyombo vya Dola vinayoilinda hii serikali
0
0
2
345
Santa M.M
Santa M.M@Santacia·
NAOMBA KUELEWESHWA KWA UPOLE SOTE TUFAHAMU NAKUELEWA, Mimi nilidhani ujio wa DP WORLD ndio ambao ungehusika kwenye matengenezo wa hiyo bandari! Iweje leo tusikie GHARAMA ZA BANDARI zinaongezeka ili ipatikane fedha yakuboresha miundo mbinu bandari..?? au mimi sio muelewa?
Indonesia
69
69
557
35K
JJ T
JJ T@Deeh1926·
@millardayo Mamaee kwa halii hii lazima nimiliki Bomu
Indonesia
0
0
0
284
millardayo
millardayo@millardayo·
Simanzi na majonzi vimetanda katika Mtaa wa Njia Panda, Kata ya Isakalilo, Manispaa ya Iringa baada ya Mtoto Naomi Jostan Kivamba kupatikana akiwa amefariki katika mazingira ya kikatili muda mfupi baada ya kutumwa dukani kununua kibiriti. Taarifa kutoka kwa familia zinaeleza kuwa Naomi alitumwa Dukani na mama yake, majira ya saa 6 mchana lakini hakurejea nyumbani hali iliyowalazimu Ndugu na majirani kuanza juhudi za kumtafuta katika maeneo mbalimbali bila mafanikio. Inadaiwa kuwa leo asubuhi mwili wa mtoto huyo umepatikana kando ya nyumba yao ukiwa tayari umefariki dunia, huku ukiwa na dalili za kufanyiwa ukatili mkubwa ikiwemo kuvunjwa mikono na kulawitiwa na watu ambao hadi sasa hawajafahamika. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Mtaa wa Njia Panda, tukio kama hilo ni la pili kutokea katika mtaa huo baada ya tukio kama hilo kuripotiwa mwaka jana, huku akitoa wito kwa jamii kuacha mara moja vitendo vya ukatili dhidi ya watoto. Marehemu Naomi alikuwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi Zizi na mwaka huu alikuwa anatarajiwa kumaliza darasa la saba. AyoTv inaendela na juhudi za kumtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Allan Bukumbi, ili kutoa ufafanuzi zaidi kuhusu tukio hilo. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
36
9
183
28.1K
JJ T
JJ T@Deeh1926·
@AllyAssed13070 Wachawi wanakufanyisha mapenzi ili wapate zile shahawa zako kwa ajiri ya kuendesha Ungo wakati wa Kupaa!! Ongeza SALA
हिन्दी
1
0
1
588
OSAMA BIN LADEN
OSAMA BIN LADEN@AllyAssed13070·
Wakali nina shida ya kutokewa na ndoto nyevu yaani na sex na demu kabisa hadi namwaga ndotoni. Problem inaweza kuwa nini hapa 🤔
Indonesia
85
20
206
24.6K
JJ T
JJ T@Deeh1926·
@Aruatani Kuna wanajeshi halafu kuna wavunja tofari za kuchoma
हिन्दी
0
0
0
34
JJ T
JJ T@Deeh1926·
@Zephania_Ndaki Mbona Sierra Leon inatumia Kingereza lakini ni Maskini wa kutupwa na hata connection hana! Mbona Germany ipo juu sana kiuchumi na kikonekisheni japo haitumii kingereza
Filipino
0
0
0
56
JJ T
JJ T@Deeh1926·
Hapa KIBONDO mbona wachambuzi wa VITA ya Iran vs USA, Israel ninwengi hivi
Indonesia
1
1
1
77
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Hivi bongo hatuwezi kufanya upembuzi yakinifu(feasibility study) wa kutengeneza underground train jijini Dar es Salaam kama zilivyo kwenye miji mikubwa duniani kama New York? Kwa ukuaji wa kasi wa jiji na tatizo foleni mi nahisi underground train inaweza ikawa suluhisho.
Indonesia
5
1
19
1.1K
JJ T
JJ T@Deeh1926·
@Kicheche_jr Hakuna mchele wa kigoma wa kuweza kuuzwa Dar
Indonesia
1
0
1
76
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Ukienda Pale Nguruka mkoani Kigoma kipindi cha mavuno unapata mchele super wa bei rahisi sana, ukipakia treni mpaka Dodoma au Dar unapiga hela ndefu.
Filipino
2
5
50
2.8K
JJ T
JJ T@Deeh1926·
@MarekaMalili Eg walimu wahawezi pewa kwa sababu wahana impact yeyote ya kumlinda kimabavu mtawala kwa ajiri ya kufikia malengo yao ya upigaji!! OCT 29 Rais wa chama cha walimu angeweza kumpuapisha kimabavu?🤣
Indonesia
0
0
1
73
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Hii nchi ina wastaafu category mbalimbali 😀 Wengine wanalipwa kidogo kidogo, wegine wananeemeshwa 🙌🏼
Dodoma_Zone@Dodoma_Zone_

WAZIRI WA ULINZI NA JKT AMKABIDHI MKUU WA MAJESHI MSTAAFU MWAMUNYANGE NA MAJENERALI WASTAAFU MAGARI MAPYA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 06 Machi, 2026, amewakabidhi magari mapya ya kisasa, Maafisa Jenerali Wastaafu wakiongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange katika hafla iliyofanyika ofisi ndogo za Wizara Upanga Jijini Dar es Salaam. Hafla ya kukabidhi magari hayo kwa maafisa jenerali wastaafu toka kwa Serikali ni moja wapo ya stahiki za Jenerali mstaafu katika utumishi wa Jeshi ambapo makabidhiano hayo ya magari ni utekelezaji wa mpango wa Serikali kuwabadilishia Majenerali wastaafu magari yaliyofikisha miaka kumi ya kutumika tokea yaliponunuliwa. Akizungumza katika hafla hiyo, Mhe Dkt. Rhimo Nyansaho amewashukuru na kuwapongeza Majenerali hao kwa mchango wao mkubwa na uliotukuka kwa Taifa la Tanzania, akawaambia kuwa wamelitumikia Jeshi la Wananchi wa Tanzania na Taifa kwa ujumla kwa uzalendo wa hali ya juu wakati wa utumishi wao, hivyo Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inatambua kuwa hali ya Ulinzi na Amani tunayoifurahia leo ni matokeo ya misingi imara iliyowekwa na viongozi hao wastaafu. Hivyo, Waziri wa Ulinzi na JKT akawaambia Majenerali hao wastaafu kuwa kuwabadilishia magari hayo baada ya zamani kuchakaa ni kielelezo cha namna Rais Samia Suluhu Hassan anavyojali na kuthamini ustawi na heshima ya wale waliojitoa muhanga maisha yao kulinda mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aidha, Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt Rhimo Nyansaho ameongeza kwa kuwaambia Majenerali hao kuwa, Serikali inahakikisha kuwa wastaafu hawa na wengine waliotumikia Taifa wanaendelea kuishi kwa heshima na utulivu, huku wakibaki kuwa hazina ya busara kwa jeshi lililopo kazini hivi sasa. Akiongea kwa niaba ya Majenerali wastaafu waliokabidhiwa magari hayo mapya, Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange ameishukuru Serikali ya Awamu ya sita kwa kuwajali na kuwapatia nyenzo hizo mpya za usafiri, akaahidi kwa niaba ya wastaafu hao k

Indonesia
25
10
137
17.4K
JJ T
JJ T@Deeh1926·
@kasesco_tz Kazi ya bucha bila kupata nyama ya magendo na kuchezea mnzani sahau kupata Faida
Indonesia
0
0
3
425
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
MCHONGO TIME Sikia nikupe dili Kodi Fremu Eneo Lenye Msongamano Wa watu Kwa Laki tatu miezi Mitatu. nunua Mzani na Friza Jumla Laki nne vyote. Nenda Dodoma ndani ndani nunua ngo'mbe mkubwa wa kilo 300 kwa Tsh laki nne na nusu . Chinja Kisha lete Mjini Nauli ni 30000.
Indonesia
35
30
232
17.8K
faith 🙏🛐✞︎
faith 🙏🛐✞︎@juliejuleth·
Mtu anatafuta mchumba mtandaoni hiv huwa wako serious kweli na maisha?
faith 🙏🛐✞︎ tweet media
Filipino
19
7
42
3.4K
Njiwapori 10k
Njiwapori 10k@njiwapori_·
Usifanye biashara sehemu ambayo wamejaa watu wa jamii moja,tofauti na yako. Kuna jamaa ananiambia ni mwezi sasa wanakuja wateja wa kuhesabu kwa siku anauza chini ya elf 15. Ila kwa wao kwa wao wateja anaona wanajaa,hadi anajiuliza kawakosea nini 😂😂😂
Indonesia
14
23
144
6.9K