Sabitlenmiş Tweet
Nyoka wa Kijani
27.1K posts

Nyoka wa Kijani
@Densa___
LIVE & LEARN
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Temmuz 2020
205 Takip Edilen3.4K Takipçiler

@millardayo Ehhh kwahy mwamba katoa Assist badala ya kufunga yeye?
Indonesia

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Isimani na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Vangimembe Lukuvi, kilichotokea leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa mshtuko wa Moyo.
Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na kusainiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka.
Marehemu Lukuvi alikuwa akihudumu kama Mbunge wa Isimani Mkoani Iringa na Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu wa shughuli za Serikali, pamoja na masuala ya watu wenye Ulemavu.
Rais Samia ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Familia ya marehemu, Ndugu, Jamaa, Wananchi wa Jimbo la Isimani na Watanzania wote kwa ujumla.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

Sitoshangaa siku mahakama ikikataa kupokea ushahidi ambao umerekodiwa na CCTV kwasababu tu haijasajiliwa 😁😁
Swahili Times@swahilitimes
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Tanzania (PDPC) imesema ni kosa kisheria kwa mtu au taasisi kutumia kamera za usalama (CCTV) pasipo kusajiliwa kisheria na tume hiyo. PDPC imefafanua kuwa watumiaji wanapaswa kuweka tangazo au taarifa kwamba eneo husika limefungwa kamera za CCTV ili watu wajue, na pia mmiliki kuepuka kushtakiwa kwa kuingilia faragha na kudhalilisha utu wa mtu.
Indonesia

@swahilitimes Sasa waseme kuwa ukifunga uweke tangazo sio kusema mpaka usajiliwe,huko ni kujitengenezea ulaji tu
Indonesia

Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Tanzania (PDPC) imesema ni kosa kisheria kwa mtu au taasisi kutumia kamera za usalama (CCTV) pasipo kusajiliwa kisheria na tume hiyo.
PDPC imefafanua kuwa watumiaji wanapaswa kuweka tangazo au taarifa kwamba eneo husika limefungwa kamera za CCTV ili watu wajue, na pia mmiliki kuepuka kushtakiwa kwa kuingilia faragha na kudhalilisha utu wa mtu.

Indonesia

@Gaspinho15 Huyo dogo wanamkosea sema ndo hivyo dunia haiko fair
Indonesia

@millardayo Wale wanaokamata bodaboda kariakoo hamuwaoni au mpaka afe mtu
Indonesia

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Mamlaka Mkoani Mwanza zimewakamata Polisi Jamii wanaodaiwa kumshambuliwa Kijana mmoja hadi kusababisha kifo chake katika eneo la Bugando Mkoani humo ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, ameunda pia Kamati ya kuchunguza vitendo vya unyanyasaji vinavyofanywa na Polisi Jamii.
Akiongea Jijini Mwanza leo March 22,2026, Msigwa amesema “Tunawapongeza Mkoa wa Mwanza kwa jitihada kubwa wanazozifanya, hata lile tukio la juzi ambalo limeenda viral tangu jana na juzi ambalo limetokea Bugando mission hapa Mwanza ambapo kuna madai ya Watu waliojitambulisha ni Polisi Jamii wamemshambulia Kijana hadi kusababisha kifo chake, tayari Uongozi wa Mkoa umechukua hatua hivi navyozungumza nanyi Watuhumiwa wamekamatwa”
“Kwa kuwa Walalamikaji wameelezea athari za Polisi Jamii kunyanyasa Watu, Mkuu wa Mkoa amechukua hatua na hivi navyozungumza ameunda Kamati ya Watu watano kufanya uchunguzi kwa wanaojiita Polisi Jamii kumbe wananyanyasa Wananchi lakini pia kuangalia mfumo mzima wa kushirikisha Jamii katika Ulinzi wa Watu na mali zao”
“Serikali haiwezi kuruhusu tukawa na Watu wanaojiita wababe Mitaani, kwamba kwasababu wao wana nguvu wanatumia jina la Serikali kunyanyasa Watanzania, maelekezo ya Rais yapo wazi hataki kuona Mtanzania yoyote popote alipo anadhulumiwa haki yake, ananyanyaswa, anapigwa au anafanywa kitu chochote kibaya”
#MilardAyoUPDATES

Indonesia

@spana_Konki Hii kufanya comeback inahitaji maamuzi magumu😂😂😂
Indonesia


@millardayo Kwahy hii nchi mtu Akidai haki yake Anapigwa? Kwann inaonekana kudai haki nikosa ktk hii nchi?
Kama kuna Taratibu za kurudisha viingilio vyao kwann wasitangaziwe baada ya kuwapa taarifa za mechi ku Ahirishwa?
Indonesia

#VIDEO Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limetumia kupiga mabomu ya machozi kuwatawanya Mashabiki katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid walioonesha kukasirishwa na uamuzi wa kuahirisha mechi kati ya TRA United na Simba SC kutokana na mvua ambapo baadhi ya madai ya Mashabiki yao yalikuwa ni kutaka kurudishiwa viingilio vyao, AyoTV inaendelea kuzitafuta Mamlaka husika ili kupata ufafanuzi wa hoja hizo za Mashabiki. #MillardAyoUPDATES
Indonesia

Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko amesema Gharama za kufanya vipimo vya Vinasaba vya Binadamu “Human DNA” zimeongezeka kutoka Laki moja kwa sampuli moja hadi kufikia Laki mbili na kumi na mbili kwa sampuli moja kutokana na Gharama za mchakato wa vipimo hivyo
“Gharama kwa Sampuli moja ni 212,000/= kwahiyo kwa Kesi ya Baba Mama na Mtoto unazidisha mara tatu , Gharama zinazosalia zinalipwa na Serikali ya Tanzania kwani ilipaswa kuwa Laki saba mpaka nane kwa sampuli moja” alisema Dkt. Mafumiko
Dkt. Mafumiko ameyasema hayo hii leo Machi 11, 2026 katika Ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Habari Maelezo uliyopo katika jengo la Wizara ya Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mtumba jijini Dodoma wakati akizungumza na Waandishi wa Habari
#MillardAyoUPDATES.

Indonesia

@LukonaJNR Hawa unagonga huku wanachat tena na kiswaswadu😂😂😂
Indonesia

@swahilitimes Sasa kama hana uwezo wa kununua gari c bora angepewa hiyo hela
Indonesia

@Bigsyke20 Akilipwa hela na hayo makampuni Anakuja kusema Ameshinda mikeka
Indonesia

SATIVA anabet na anatumika na makampuni kushawishi watu wabet kupitia makampuni hayo huku yeye akilipwa commission.
Kiufupi SATIVA anapiga kazi mbili kwenye betting.
1.Anabet kwa kuweka hela zake.
2. Anacheza kama winga wa makampuni ya kubet.
Ukiona mtu yeyote anakuambia jiunge na kampuni fulani weka promo code fulani fahamu kwamba analipwa.

Indonesia
















