EatFresh

20 posts

EatFresh

EatFresh

@EatFresh7

GBRI is a horticultural company, specialized on growing, packaging and exporting vegetable and fruits to international markets. Brand name EATFRESH

Katılım Kasım 2019
10 Takip Edilen108 Takipçiler
EatFresh retweetledi
AGCOT
AGCOT@AGCOT_CENTRE·
@AngellahKairuki admiring fresh snow peas at GBRI packhouse in Iringa. GBRI exports a variety of vegetables from its own farms & smallholder farmers whom they support with extension services, input loans, equipment & logistics. SAGCOT is committed to support youth in agribusiness
AGCOT tweet mediaAGCOT tweet mediaAGCOT tweet mediaAGCOT tweet media
English
2
12
41
0
EatFresh retweetledi
Medard Ngaiza
Medard Ngaiza@Medard_Ngaiza·
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu @AngellahKairuki amehitimisha ziara kuzuru miradi ya uwekezaji katika Sekta mbalimbali Mkoa wa Iringa. Amepongeza jitihada zao za uzalishaji hususan kwa kutumia malighafi inayozalishwa na wakulima na hivyo kutoa ajira na kukuza kipato.
Medard Ngaiza tweet mediaMedard Ngaiza tweet mediaMedard Ngaiza tweet mediaMedard Ngaiza tweet media
Indonesia
1
9
41
0
EatFresh
EatFresh@EatFresh7·
Tunaendelea kushukuru jitihada za Serikali kwa kusimama na GBRI kwenye kila hatua. Tumebahatika kutembelewa na Mhe. Angela Kairuki, Waziri wa nchi Uwekezaji pamoja na wawakilishi wa taasisi ya SAGCOT ambayo imekuwa na mchango mkubwa kwenye sekta ya kilimo. @AngellahKairuki
EatFresh tweet mediaEatFresh tweet mediaEatFresh tweet mediaEatFresh tweet media
Filipino
2
11
48
0
EatFresh
EatFresh@EatFresh7·
GBRI assure farmers with market, We bring back smiles. GBRI inawahakikishia wakulima masoko, Tunarudisha tabasamu.
EatFresh tweet media
Indonesia
0
5
19
0
EatFresh
EatFresh@EatFresh7·
Happy Birthday Her Excellence Vice President.
EatFresh tweet media
English
0
3
13
0
EatFresh
EatFresh@EatFresh7·
Mamia ya akina mama wanaendelea kunufaika na shughuli za GBRI. Akina mama hawa hupata vibarua vya kuchuma maarage kila siku kwenye mashamba ya GBRI au ya wakulima wa GBRI na kuweza kujikimu wao na familia zao. EATFRESH enjoy healthy living.
EatFresh tweet media
Indonesia
2
6
25
0
EatFresh retweetledi
Hadija Jabiri
Hadija Jabiri@hadija_jabiry1·
Mabwana shamba wa kampuni ya GBRI wakiwa na meneja wa uzalishaji wakikagua na kushauri kwenye shamba la maharage machanga la kikundi cha wanawake Ilula Iringa. Kama unataka kulima nasi tupigie kwa namba 0744402733. EATFRESH enjoy healthy living.
Hadija Jabiri tweet mediaHadija Jabiri tweet media
Filipino
5
13
59
0
EatFresh retweetledi
Hadija Jabiri
Hadija Jabiri@hadija_jabiry1·
Mmiliki wa shamba hili alihamasika kuwa outgrower wa GBRI baada ya kuona shughuli zetu kwenye Facebook. Alituandikia na nikamweleza taratibu zetu. Pamoja na kuwa mkazi wa Dar, alikuja Iringa na kuanza shughuli za kilimo. Hii ni awamu yake ya 4. Ahsante sana Hono
Hadija Jabiri tweet media
Indonesia
12
40
279
0
EatFresh
EatFresh@EatFresh7·
Kwa kushirikiana na Farmer to Famer, GBRI imeendesha mafunzo ya fedha kwa wakulima wa kijiji cha wangama mkoani Iringa. Lengo kubwa ni kuhakikisha wakulima wanatunza kumbukumbu za mahesabu, wanaweka akiba na wanafahamu vyanzo vya mitaji.
Indonesia
0
2
9
0
EatFresh retweetledi
Hadija Jabiri
Hadija Jabiri@hadija_jabiry1·
We are happy to welcome fomer financial analyst and banker, Lynda Swenson. She is in Iringa to train GBRI farmers and employees on financial management. Our partners IESC made this possible through Farmer to Farmer project.
Hadija Jabiri tweet media
English
0
4
26
0
EatFresh retweetledi
Hadija Jabiri
Hadija Jabiri@hadija_jabiry1·
Kilimo si sekta ya watu masikini Mhe Hussein Bashe, NW Kilimo.
Filipino
5
5
29
0
EatFresh retweetledi
Hadija Jabiri
Hadija Jabiri@hadija_jabiry1·
"TADB jibu la mitaji ya kilimo kwa vijana". Mahojiano na Mh Hussen Bashe Naibu kilimo akiwa ziarani Iringa.
Filipino
3
12
53
0
EatFresh
EatFresh@EatFresh7·
Tarehe 7/1/20, GBRI ilipokea ugeni wa Mhe. Hussein Bashe, NW Kilimo ambaye alitembelea shamba la mkulima mdogo na kujionea jinsi GBRI inavyofanya kazi na wakulima. Mhe NW alihaidi kushughulikia changamoto ya maji kwa wakulima wanaotumia mifereji na kuisaidia GBRI kupata ardhi.
EatFresh tweet mediaEatFresh tweet media
Indonesia
1
0
3
0
EatFresh retweetledi
Hadija Jabiri
Hadija Jabiri@hadija_jabiry1·
Tuziangalie fursa zilizopo kwenye kilimo.
Lietuvių
6
19
99
0
EatFresh retweetledi
Hadija Jabiri
Hadija Jabiri@hadija_jabiry1·
Kampuni ya GBRI inayojishughulisha na kulima, kuchakata na kusafirisha mazao ya mbogamboga imekuwa ikishirikiana na shirika la Lutheran World Reli kutoa mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi wa vyuo vya kilimo. Pichani baadhi ya wanafunzi wakiwa mafunzoni. @kabogo_moses
Hadija Jabiri tweet mediaHadija Jabiri tweet mediaHadija Jabiri tweet media
Filipino
1
7
50
0
EatFresh retweetledi
Hadija Jabiri
Hadija Jabiri@hadija_jabiry1·
Tunalima, tunafungasha na kusafirisha mboga mboga kwenda kwenye masoko ya ulaya. EatFresh (Tanzanian brand).
Hadija Jabiri tweet mediaHadija Jabiri tweet mediaHadija Jabiri tweet mediaHadija Jabiri tweet media
Indonesia
44
169
681
0
EatFresh retweetledi
Hadija Jabiri
Hadija Jabiri@hadija_jabiry1·
Lets keep moving foward.
English
4
13
50
0
EatFresh retweetledi
Cammy
Cammy@Princesscammy1·
Things you will never see trending 😌
English
64
470
1.2K
0
EatFresh retweetledi
Hadija Jabiri
Hadija Jabiri@hadija_jabiry1·
Agriculture needs rebranding to attract youth in Africa. Africa's farmers and agribusinesses could create a trillion dollar food market by 2030 and Africa youth make up 65% of the continent's population.
Hadija Jabiri tweet media
English
3
18
67
0
EatFresh
EatFresh@EatFresh7·
GBRI is prevellage to partner with IESC on undertaking Agriculture productivity and profitability initiatives to enhance livelihoods of rural Tanzania. Pic; Hadija MD GBRI and Wendell, expert from IESC who came from USA to support GBRI few months ago. #Endinghungerandpoverty.
EatFresh tweet media
English
0
2
21
0