Edris

59 posts

Edris

Edris

@Edris00864970

Anything that involves money-making , let me know even If it's https://t.co/UVKpGM8guf.

Katılım Haziran 2019
186 Takip Edilen12 Takipçiler
Edris
Edris@Edris00864970·
@Sirjeff_D Mkuu sasa huku unapotupeleka , itoshe kusema 🙌🏼
Eesti
0
0
1
33
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Huko shule mwalimu wako KILAZA alikufundisha kuwa — gesi kuu binadamu anayovuta ni Oxygen. RETARD!! Binadamu anavuta 78% ya Nitrogen na 21% tu ya Oxygen
Filipino
148
45
974
111.6K
H’s mom
H’s mom@aiishadahir·
Dua for protection against zina and porn addiction
H’s mom tweet media
English
56
876
5.6K
460.8K
👽𝕄𝔹𝕎𝔸 𝕄ℤ𝔼𝔼
JINSI YA KUJUA KAMA SIMU YAKO NI ORIGINAL AU FAKE Andika jina la simu yako na uongeze ".com" ikiwa nembo haionekani, simu yako ni FAKE 😅💔🙌 Naanza👇
👽𝕄𝔹𝕎𝔸 𝕄ℤ𝔼𝔼 tweet media
Indonesia
1.1K
69
938
167.8K
Edris
Edris@Edris00864970·
@Big_Nicky01 In short hili tambala ni 🙌🏼
Indonesia
0
0
0
19
Edris
Edris@Edris00864970·
@Sirjeff_D Bro nilikuwa nakuona kijana smart sana..
Filipino
0
0
1
65
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Ukisoma Biblia & Quran hakuna sehemu Adam alipeleka ng'ombe au pesa ili Hawa awe mkewe Huu UPUMBAVU wa mahari mliutoa wapi?
Indonesia
132
28
611
63.4K
Edris
Edris@Edris00864970·
@Rydx_017 Mtuache kidogo gari la sh. Mil 500 liyeyuke ivo kama kashata. Aah huu usenge 😃
Indonesia
0
0
0
146
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
S2kizzy na Marioo wlifika mapema eneo la tukio
Eesti
3
12
250
34.8K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Kwa bahati Mbaya... Billnass, Apata ajali na kugongwa ubavuni mwa gari lake, alivyotoka kaenye harusi... Sikiliza akielezea ilivyokuwa.... Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
48
35
1.4K
282.5K
Edris
Edris@Edris00864970·
@millardayo Eti wang'oa 😅, hyo Nd sabbu ya azam kuondoa camera eneo la tukio chap. Tusipinde sana , mashabiki wa simba nd wametupa viti kwa warabu , eerh 😅
Indonesia
1
0
1
859
millardayo
millardayo@millardayo·
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema Shabiki mmoja wa Timu ya CS SFAXIEN ya Tunisia ameumia katika fujo zilizotokea Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam huku jumla ya viti 256 ( 156 vya bluu 156 na Orange 100) viking’olewa na Mashabiki wa Club hiyo leo December 15, 2024 kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS SFAXIEN. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Muliro Jumanne amesema fujo hizo zimesababishwa na Mashabiki wa Timu ya CS SFAXIEN kutoridhika na maamuzi ya Refa wa mchezo huo kuchezesha mechi hiyo kwa zaidi ya dakika saba ambazo aliziongeza kama dakika za nyongeza jambo lililopelekea timu ya Simba kupata goli la pili na la ushindi. “Wachezaji wa ndani ya uwanja na “benchi” la fundi la timu ya CS SFAXIEN walikasirika, wakamfuata Muamuzi wa mchezo na kuanza kufanya vitendo vya kumshambulia, katika fujo hizo shabiki mmoja wa CS SFAXIEN aliumia na kupatiwa huduma ya kwanza na kuruhusiwa huku viti vya rangi ya blue 156 na Orange 100 viling’olewa na Mashabiki hao, Polisi itashirikiana na Mamlala nyingine za kisheria na soka kuona hatua za kuchukua dhidi ya vitendo hivyo ambavyo havikubaliki” - Kamanda Muliro. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
249
106
2.5K
270.5K
Konko Band
Konko Band@konkoband·
❌❌❌FAKE PHONES CHECKPOINT. Type in the brand of your phone & add ".com". If the logo doesn't show up when you reply, your phone is FAKE❌❌❌.
Konko Band tweet media
English
3.5K
241
5K
743.4K
Edris
Edris@Edris00864970·
@Rydx_017 Mashallah Tabarakllah.
Indonesia
0
0
0
256
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Mashaallah!!! 🙌🏽
Indonesia
7
20
263
15.8K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Mashaaallah!! Khairatu alikuwa amekaa na wenzake hajui hili wala lile, Baada ya kushiriki Qur'an... Amejishindia gari.... Video kwa Comments👇🏾
Latto 𝕏 tweet media
Indonesia
41
33
1.4K
151.8K
Edris
Edris@Edris00864970·
@LimitlessLif3 Very educational and informative 🫱🏻‍🫲🏼
English
0
0
0
32
Limitless Life
Limitless Life@LimitlessLif3·
I found a guy who goes around asking millionaires how they got rich. Funnily enough, almost all of them, say the same thing! Here's my top 11
Limitless Life tweet mediaLimitless Life tweet media
English
15
19
139
96.8K
Edris
Edris@Edris00864970·
@Eddo142 ╱◥██████◣ │∩│🌄▤│▤▤│
0
0
0
3
Eddo
Eddo@Eddo142·
Kwa wenye simu OG tu..!! Copy the paste hapo 🤣 ╱◥██████◣ │∩│🌄▤│▤▤│
Filipino
1.4K
70
856
171K
Edris
Edris@Edris00864970·
@RMariayam3578 Ouh , U better watch Urs cuz am about to explore yeew 😄
English
0
0
1
5
brains
brains@_brainsofweb3·
TO EVERY FINGER THAT TYPE "AMEEN" YOU WILL SLEEP IN A HOUSE OF YOUR OWN 2024".🙏
brains tweet media
English
3.2K
593
12.9K
462.9K
Money Mantra
Money Mantra@imoneymantra·
You are a Millionaire - Type 'YES' to Affirm!!!
Money Mantra tweet media
English
8.2K
1.6K
28.1K
1.3M
Edris
Edris@Edris00864970·
@Sativa255 Betting ni biashara kwa wawekezaji na waendeshaji, sio sisi wa odds ngumu. Bro acha ku mislead vijana 😂
Indonesia
1
0
2
187
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
SOMA NA UIJUE BETTING. Hii ni biashara kama zilivyo bishara zingine, Hii ni kazi kama zilivyo kazi zingine. Acha leo twende kwa mifano ili tuelewane. “Betting ni biashara”. Ni kweli hii ni biashara, kama zilivyo biashara zingine unahitaji MTAJI, na vitendea kazi ili biashara yako ifanikiwe. Same same na betting utajitaji MTAJI na vifaa vya kisasa mfano simu janja ili uweze kufanya uchambuzi wako kirahisi na kwa haraka. Kama zilivyo biashara zingine, sio kila siku unauza sana, siku zinapishana zipo siku ambazo huuzi unaishia kuingiza shoti kwa matumizi kuzidi mauzo. Basi hizo siku ndio siku mbaya kwenye betting ambapo Lost hutawala licha ya kufanya kila kitu kwa usahihi. Bahati zipo kwenye betting lakini pia zipo kwenye biashara. Kwenye biashara kuna wale watu ukisikia story zao unabaki unashangaa na wamekuwa wafanyabiashara wakubwa ambao ni vioo kwa wafanyabiashara wengine. Mfano : kuna jamaa alikuwa mpiga debe stand ya ubungo miaka hiyo, ila saizi anamiliki Bus zaidi ya 30 za mikoani, ana hotel tano mikoa mbali mbali. Anaekusimulia hiyo story alikuepo nae kipindi jamaa ni mpiga debe, na mpaka kapata utajiri wote huo yeye bado mpiga debe. Ndio same story inatokea kwenye betting, kuna wale watu wanabet kila siku hawapati ila siku moja tuu anakuja kuwa bilionea kwa kushinda BILIONI. hawa sio wengi ni wachache sana (wenye bahati) ambao hata kwenye biashara wapo. “Betting ni RISK” hili neno linaonekanaga linatisha sana ukilileta kwenye betting ila kiuhalisia ni RISK hata kwenye biashara pia. Kwenye biashara mfano mama ntilie, anapika chakula kitamu sana, anaamini kabisa leo atamaliza chakula chote na faida lazima apate, ila chaajabu msosi unabaki na kinaharibika pia kesho hawezi kukiuza. So RISK zipo kwote kwenye kila kitu tunachofanya Risk zipo, zinakuja kuonekana RISK za betting ni ngumu kwasababu betting ni biashara ya ndani ya siku moja unajua majibu yako tofauti na RISK za kwenye biashara ambazo zinaweza hata kuchukua mwaka kuweza kujua kama umewin au umelost. “Betting ni MIFUMO” ndio ukiangalia hapo chini nimekuwekea mikeka yangu ya janaa usiku na leo alfajiri. Hizo ni akili za ziada nilizitumia kuingiza hizo pesa. Game ya LEVERKUSEN jana nilibet mara mbili, ilipofika first half alikuwa amefungwa (0-1) mm nikamlinda kwamba hawezi kufungwa, nikampa Ashinde au asare (1X) nikatia LAKI MOJA faida ikasoma 50,000/= Lakini mpaka dakika ya 87’ alikuwa amefungwa (1-2). Nikacheki odds nikakuta zipo 3+ nikamfuata tena kwa kuweka rehani 170,000/=. Kwahiyo mapaka hapo nilikuwa nimeweka rehani jumla ya 270,000/=. Hii ni Risk ambayo niiliingia jana usiku, Mungu mwema ikatoa. Unaweza kujumlisha nililala na faida shingapi. Alfajiri nikawahi game ya NBA na game moja ya ICE HOCKEY, hizi nilizicheza kwa mikeka miwili tofauti. Mmoja niliyokuwa naiamini sana ilikuwa pekeake, ambayo sikuwa na iamini sana nikachangnya, afu mm nikatia mpunga mrefu. Unaweza kuangali nimeamka na faida gani hapo chini. Sasa hizi ni stratergies ambazo zinatumika kwenye betting same na kwenye biashara, mtu anakuwa na mifumo yake ya kuendesha biashara yake. Naweza kuandika mengi sana ila kwa leo niishie hapo hili ni somo ambalo nitakuja kuandika vitabu baadae na nitaviuza ila ww umelipata bure. Usisahu kushare kwa wanao wajue betting ni kazi sio uhuni. SATIVA17 was here.🫡✍🏾
SATIVA tweet mediaSATIVA tweet mediaSATIVA tweet mediaSATIVA tweet media
Indonesia
23
58
159
19.5K