Sabitlenmiş Tweet
I'mEdwinjr1
73 posts

I'mEdwinjr1
@Edwinjr35
Chelsea Die Fan The blues 💙 /Son of living God ✨️
Mwanza Tanzania Katılım Eylül 2021
1.8K Takip Edilen1.2K Takipçiler

Nataman mioyo yetu iwe imejaaa furaha tele,
Imejaaa matumaini juu ya maisha.
Natamani kuona mwangaza kwa kila mtanzania.
@eastafricatv
Indonesia
I'mEdwinjr1 retweetledi

Tumetoka mitaa ambayo mama mwenye nyumba anaogopa kumpangisha mdada aliyekuwa hana mwanaume akihofia mumewe asije kuluka nae........
Lakini hapo hapo baba mwenye nyumba nae Anahofia kumpangisha msela aliyekuwa single akihofia atapita na mke wake........
Tumetoka kwenye ile mitaa ili kijana uonekane ni kidume ni lazima uzichape mbususu nyingi za huo mtaa..........
Tumetoka kwenye ile mitaa wanao wakijua namba ya pisi yako ni lazima waichukue ili na wao wampigishe swaga wakitumia neno hapa ndo pakujifunzia.........
Tumetoka kwenye ile mitaa mama anapika wali halafu anatuambia mboga kanunue maharage kwa mama chapati pale halafu tunakuja kula kama vile tuliyapika sisi wenyewe tangu jana.........
Tumetoka kwenye ile mitaa nyumbani ni chumba kimoja halafu mtoto unaombewa nyumba ya jirani ili ulale.........
Tulipotoka kuna kila aina ya vitimbi wanangu ndo maana maisha yote tunaishi hata mkisema wale majamaa siwapendi.......
Tutasema hata mitaa iliyotulea haina upendo kama wenu ndo maana atuliliii upendo.......
Tumejitolea kupambana bila kutegemea chochote tunaamini kwenye mungu ili familia zetu ziishi vizuri........
Kama hamjui tulipotoka hamuwezi kutuludisha nyuma na hii ni bila kuchoka..........
I'm out ✍️ ✍️
Filipino

🚨 SHOCK IN UGANDA 🇺🇬
The newly constructed Hoima Stadium has been declared unfit to host AFCON with major renovations now required. ❌🏟️
A huge setback for Uganda’s preparations ahead of AFCON 2027, raising serious questions despite recent infrastructure investments.
Pressure now mounts to meet CAF standards in time. ⏳
#AfricanFootball
#AFCON2027

English

@OfficialJoel4_ Very soon I'll start selling pork in Morocco, and they must buy it by force
English

@Footballtweet Very soon I'll start selling pork in Morocco, and they must buy it by force
English

@goligani @JotiOfficial Weka link tupige mpira nje mapema hatuna mda
Indonesia

Mjomba @JotiOfficial zamu yako kujibu kudua na kugosha chedi nini?
Kamuulize mjomba yeriko kilichomkuta yaani hapa hulambi kitu tupo na ww bega kwa bega 😂😂

Indonesia












