ELCT_HQ

434 posts

ELCT_HQ

ELCT_HQ

@ElctHq

Katılım Haziran 2021
0 Takip Edilen1.8K Takipçiler
ELCT_HQ
ELCT_HQ@ElctHq·
Askofu Dkt. Alex Malasusa Mkuu wa KKKT amewaasa viongozi wa Dini, vijana na jamii kwa ujumla kuendelea kuombea nchi haki na amani ili kuwezesha watu kutimiza malengo mbalimbali ya kiroho na kimaisha waliyojiwekea. facebook.com/share/p/17Zefd…
ELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet media
Indonesia
2
1
6
276
ELCT_HQ
ELCT_HQ@ElctHq·
Mkuu KKKT Askofu Dkt. Alex Malasusa ametoa rai kwa watayarishaji na waimbaji wa nyimboi kutoa elimu sahihi ya Neno la Mungu na pia kuzingatia vionjo vya Ala za utamaduni wa kiafrika ili kutunza utamaduni na asili ya kiafrika na kurithisha vizazi vijavyo facebook.com/share/p/1BnFuv…
ELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet media
Indonesia
0
4
6
280
ELCT_HQ
ELCT_HQ@ElctHq·
Baadhi ya matukio katika picha wakati wa Ibada ya kuweka wakfu na kuingizwa kazini kwa viongozi wateule wa KKKT-Dayosisi ya Morogoro.
ELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet media
Indonesia
0
2
9
371
ELCT_HQ
ELCT_HQ@ElctHq·
Baadhi ya matukio katika picha wakati wa Ibada ya kuweka wakfu na kuingizwa kazini kwa viongozi wateule wa KKKT-Dayosisi ya Morogoro. Ibada hiyo inaongozwa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Malasusa katika Usharika wa Kanisa Kuu Bungo, Morogoro.
ELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet media
Indonesia
1
3
16
376
ELCT_HQ
ELCT_HQ@ElctHq·
ELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet media
ZXX
2
2
22
1.1K
ELCT_HQ
ELCT_HQ@ElctHq·
Vacancy Announcement
ELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet media
English
0
1
8
385
ELCT_HQ
ELCT_HQ@ElctHq·
Katibu Mkuu wa KKKT Rogath Lewis Mollel amesema kuwa KKKT linaendelea kuweka nguvu kwa kushirikiana na dini mbalimbali pamoja na Serikali katika kuhakikisha kuwa ndoa za utotoni zinatokomezwa katika jamii ya watanzania. facebook.com/share/p/1AFV87…
ELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet media
Indonesia
0
0
2
198
ELCT_HQ
ELCT_HQ@ElctHq·
Picha ya pamoja ya viongozi wa dini mbalimbali mara baada ya uzinduzi wa filamu na muongozi unaopinga na kutoa elimu dhidi ya ndoa za utotoni na athari zake katika jamii. facebook.com/share/p/17pGZ1…
ELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet media
Indonesia
0
0
2
188
ELCT_HQ
ELCT_HQ@ElctHq·
Pichani: Katibu Mkuu KKKT Rogath Lewis Mollel akizungumza jambo wakati wa kumkaribisha Mchg. Godfrey Walalaze (kulia) ambaye ni Naibu Katibu Mkuu mpya wa Misioni na Uinjilisti KKKT akichukua nafasi hiyo kutoka kwa mtangulizi wake Mchg, Lazaro Rohho (kushoto).
ELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet media
Indonesia
1
2
12
1.3K
ELCT_HQ
ELCT_HQ@ElctHq·
Katibu Mkuu wa KKKT Bw. Rogath Lewis Mollel atakuwa katika kipindi cha Wake_Up call Upendo Televisheni. Kipindi kinaanza saa 2 asubuhi mpaka saa 4 asubuhi.
ELCT_HQ tweet media
Indonesia
1
2
11
323
ELCT_HQ
ELCT_HQ@ElctHq·
KKKT yatangaza hatua kubwa na ya kihistoria katika safari yake ya kidijitali, kupitia ushirikiano wa kimapinduzi na kampuni ya Unicx AI, utakaowezesha maboresho makubwa katika mifumo ya mawasiliano, data, na huduma za kanisa. Habari zaidi bofya link facebook.com/share/p/16VEu2…
ELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet mediaELCT_HQ tweet media
Indonesia
0
3
12
491