Wong

7.4K posts

Wong banner
Wong

Wong

@EliezerFrank

travel tech enthusiast @manutd @simbasctanzania @dccomics

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2012
888 Takip Edilen568 Takipçiler
Wong
Wong@EliezerFrank·
@MarekaMalili "Japo haliendi shule lazima lije kunirukia nimelala" I might be old fashioned ila something is wrong somewhere, chumba cha wazazi ni ikulu uingie kwa invitation, hata zamani ilikuwa huwezi ingia kwa mshua umrukie amelala ni utakula mabanzi and naendeleza the legacy 🤣
Indonesia
0
0
0
82
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Binti yangu ananipenda hadi Mama yake anaona wivu 🤣 Ila ile njemba ya kiume ndio haieleweki, japo siku haliendi shule lazima lije kunirukia nimelala 🙌🏼😂
Indonesia
34
33
706
24.4K
Wong
Wong@EliezerFrank·
@MiriamMkanaka Watu wa bank watanisahihisha hii ila Kuna mtu aliwahi nisanua kuwa wakati unafungua ACC uliandika kipato chako ni tsh ngapi annually kama uliweka ni 1B and above hata iingie 10B benki haishtuki sasa wewe andika kipato chako cha mwaka ni laki 7 halafu iingie mil 8 za urithi uone
Filipino
0
0
0
404
MIRIAM💜
MIRIAM💜@MiriamMkanaka·
Watu wa Bank kwa mfano leo nikiingiziwa Bilioni 1, benki haifungi account yangu kuuliza hela zimetoka wapi na ni kwa ajili gani?
MIRIAM💜 tweet media
Indonesia
52
45
797
43.4K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Naomba Msaada hapa nimalizie research, Tuzungumze hapa Kama Mtu ana 100M Kufanya Biashara ya Bajaji au Kununua Pikipiki Kumpa mtu, ipi inaweza Kuwa nzuri Kuwahi Kurudisha Mtaji wake??
Fumbo Khan tweet media
Indonesia
40
19
196
17.5K
Paa Manuel
Paa Manuel@PaamanuelUtd_·
Pick ONE as Manchester United future CAPTAIN, whom are you choosing?
Paa Manuel tweet media
English
1.6K
191
5.3K
239K
Wong
Wong@EliezerFrank·
@nyuki_malkia Singida hii hii ya kina mzee wa Travolta ?
Filipino
0
0
1
253
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Wanaume wanaojua kukaza/misimamo wanatokea mikoa ya 1. Mbeya 2. Mwanza 3. Kagera 4. Mara 5. Singida
Filipino
82
48
475
31K
Wong
Wong@EliezerFrank·
@FKihamu Uchebe 🔥
Indonesia
0
0
0
10
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
1. Nabi Nassredine 2. Miguel Gamondi 3. Sven Vandenbroeck 4. Patrick Aussems Huenda ni moja ya makocha bora kabisa kuwahi kufundisha soka la Tanzania kwenye vilabu vya Simba/Yanga. Waliondoka kwa sababu mbalimbali. Lakini je yupi ulimkubali zaidi kwenye klabu yako____? Tuendelee kucheza mikeka yetu kwa odds murua kupitia @BongoBongo_TZ kwa kufuata link hii hapa bongobongo.co.tz/?affiliate=far…
Farhan Kihamu Jr tweet mediaFarhan Kihamu Jr tweet mediaFarhan Kihamu Jr tweet mediaFarhan Kihamu Jr tweet media
Filipino
105
18
746
36.4K
Wong
Wong@EliezerFrank·
@max_zitatu Halafu utasikia acha ubahili 😂😂
Filipino
0
0
0
67
World Cup Central
World Cup Central@WorldCupEra·
Kuna wanawake hawajali wewe unaishije.. Wao wanachotaka ni uwatumie hela tu..
हिन्दी
36
71
618
22.4K
The Touchline | 𝐓
The Touchline | 𝐓@TouchlineX·
So... who's having the BEST season so far? 🌟 Erling Haaland in 10 games: ⚽️ 17 goals 🅰️ 3 assists 🎯 1 penalty Kylian Mbappé in 11 games: ⚽️ 15 goals 🅰️ 2 assists 🎯 6 penalties Harry Kane in 11 games: ⚽️ 18 goals 🅰️ 3 assists 🎯 6 penalties
The Touchline | 𝐓 tweet media
English
1.4K
2K
26.8K
1.7M
Wong
Wong@EliezerFrank·
@PaamanuelUtd_ 4-3-3 Halaand as striker , Kane as sub, mbappe as left winger isack bye bye 👋
English
0
0
0
5
Paa Manuel
Paa Manuel@PaamanuelUtd_·
Difficult, but delete one💀
Paa Manuel tweet media
English
2.1K
391
9K
399.4K
Mal
Mal@UtdMaI·
You can only keep one[1], who you got?
Mal tweet media
English
746
62
1.7K
85.3K
Wong
Wong@EliezerFrank·
@J_Camavinga @bohny_chengula Wakati Bob Paisley, Howard Kendall na Howard watiknson wanachukua ulikuwa bado una makamasi mzee ??
Filipino
1
0
0
32
Shai Gilgeous
Shai Gilgeous@J_Camavinga·
@bohny_chengula Hamna kocha hapo. Toka lini muingereza kawa kocha? Wewe toka unakua hadi leo ushawahi kuona kocha muingereza kashinda EPL au champions ligi?
Indonesia
1
0
0
186
Boniface Chengula
Boniface Chengula@bohny_chengula·
Humu ndo hamna kocha kabisaaaa.😅
Boniface Chengula tweet media
Indonesia
35
7
288
10.1K
Wong
Wong@EliezerFrank·
@bohny_chengula YET katika kipindi chake ndicho ENGLAND imefanya vizuri zaidi katika mashindano mbalimbali ikiwemo EURO
Filipino
0
0
0
8
Kobi
Kobi@UtdKobi·
Difficult, but delete one💀
Kobi tweet media
English
2.5K
569
17.9K
1.7M
Wong
Wong@EliezerFrank·
@udsm_finest MILIO huwa ni mingi 🤣🤣
Filipino
0
0
0
382
NOW YOU KNOW
NOW YOU KNOW@udsm_finest·
Changamoto za kupanga nyumba za hivi ni zipi?
NOW YOU KNOW tweet media
111
43
664
80.2K
Kobi
Kobi@UtdKobi·
Put club bias aside, who’s the better GK right now?
Kobi tweet media
English
3K
1.1K
33.6K
2.8M
Wong
Wong@EliezerFrank·
@MarekaMalili Kibanda cha kupaka wanawake rangi kucha Frame 150k per month inategemea upo wapi Carpet/ kochi/Kistuli kama kishkaji/ kimeza kama kuwekea rangi jumla kama 700K Sema mimi niliweka na ma wallpaper / urembo imezidi but around 1M UKUU WA MUNGU ni mkubwa haijawahi kunilaza njaa
Wong tweet media
Indonesia
3
5
37
2.5K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Business Ideas zenye mtaji wa kuanzia 300k-1M, ambayo haihitaji usimamizi sana, unaweza kuokota 10-20k per day, isiwe na operation costs tofauti na mtu mmoja tuu wa kusimamia.
Indonesia
52
127
886
75.4K
Wong
Wong@EliezerFrank·
@gabyconscious Trust me kipindi hiki ndicho kipindi kizuri cha kununua hizo hisa ni vile tu Sina mpunga 🤣🤣
Filipino
1
0
2
500