EPHRAIM

8K posts

EPHRAIM banner
EPHRAIM

EPHRAIM

@Ephra01

Tutor💊💊| Born to Serve😇😇 || Proudly Manchester United fan #GGMU|

Mbeya, Tanzania Katılım Temmuz 2018
818 Takip Edilen843 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
EPHRAIM
EPHRAIM@Ephra01·
Yo kuna sisi tumekulia familia ambazo hazina hata member mmoja ni mfanya biashara mkubwa au labda ni mwanasiasa lakini wazazi au ndugu wanapambana tusome ivo ivo kibishi hapa huwa tegemeo ni moja tu kqamba tuajiriwe ndo first priority...
Indonesia
2
3
16
0
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
A photo u took with no people. A photo of calm
English
19
20
91
51.1K
EPHRAIM
EPHRAIM@Ephra01·
@goligani kwa 20 years swali gumuu hilo..😂
Filipino
0
0
0
516
goligani
goligani@goligani·
IQ = low battery English = full charge Endeleeni KUAMINI kujua kingereza ndo kuwa na AKILI ilihali kingereza ni LUGHA kama lugha zingine 😂😂
Indonesia
29
19
162
30.5K
EPHRAIM
EPHRAIM@Ephra01·
@mshambuliaji @fred_vunjabei aliyepigwa chini ndio kakaa front alieteuliwaa ndo unakuja kumsomaa hukoo mwishoooooo 😂😂 dunia banaa🙌🏾🙌🏾
Indonesia
0
0
3
1.5K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Licha ya kuongoza kura za Maoni katika Mchakato wa Uchaguzi wa Ubunge, Jimbo la Isimani (Mkoa wa Iringa), Kamati Kuu ya CCM, imemuweka kando Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama @fred_vunjabei na kumteua Emmanuela Kaganda Mtafikolo kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Isimani Mkoani Iringa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Katibu Wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo Kenani Laban Kihongosi, imesema kuwa kwa kuzingatia mamlaka iliyopewa chini ya Ibara ya 105 (7)(f) ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977 Toleo la Julai 2025, Kamati Kuu imefanya uteuzi wa mgombea waCCM kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Isimani, lililopo wilaya ya Iringa Vijijini ambapo Mgombea aliyeteuliwa ni Emmanuela Kaganda MTAFIKOLO. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
65
19
596
74.3K
EPHRAIM
EPHRAIM@Ephra01·
@Psiteshio1 hiyo miwa hapo inaenda kuchapwa kwenye juice inakuchanganyia na hizo tope hapoo ni nomaaa..🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Filipino
0
0
0
219
P'site Shio
P'site Shio@Psiteshio1·
Imagine hapa NI Dar Es Salaam 😁😁 Muda mwingine niseme Tu AKILI zetu zimeganda Idadi ya hawa watu hapa wakishika sururu siku moja Tu kunakaa ulaya
P'site Shio tweet media
Indonesia
16
5
73
11.2K
EPHRAIM
EPHRAIM@Ephra01·
@francismtey hili tukio limetrend sanaa ila ni la muda mrefu toka 2013 hiyo ni testing ya parachutes sema sisi tuko nyuma sana ya muda ndo mana mambo kama haya yanatupita I think we are better than haya mambo yanayoendelea
Indonesia
0
0
1
91
I AM
I AM@francismtey·
Ila NASA 🤣
Filipino
45
8
115
17.3K
EPHRAIM
EPHRAIM@Ephra01·
Kama mazingira hayaeleweki tokea ukapige zako ubwabwaa.. #happyeaster
Filipino
0
0
0
4
Tujifunze silaha za kivita.
Tujifunze silaha za kivita.@SeekNaturalLife·
Nilimplekeka anti yenu inteview ya ualimu Kuna wadada walisahau kitambulisho wakakataliwa kuingia lakini walikuwa na hoja walisema Sasa kama cheti Cha kuzaliwa mmehakik changu vyeti vyote vyangu, na vingine vina sura yangu kitambulisho kina kaz Gani? Wakaambiw watoke wafuate..
Indonesia
15
17
324
27.9K
EPHRAIM
EPHRAIM@Ephra01·
@gabyconscious kitu najiona mwamba ni kuimaliza GT3 missions zote bila kutumia Ceatcode hata mara mojaa.. dadeki
Indonesia
0
0
0
13
EPHRAIM
EPHRAIM@Ephra01·
@kishoka_ watu wema bado wapo aisee
हिन्दी
0
0
0
24
EPHRAIM
EPHRAIM@Ephra01·
@Aruatani ww bado nadhani hujakutana na mwamba anaitwa MGAHAWA
Indonesia
0
0
1
431
Mr.Mbeya
Mr.Mbeya@baraka_asege·
@munyamambogo Hii kampuni nayo naskia ina Customer care mbovu saana Siku nikija kupanda ntakuja na ushuhuda
Indonesia
4
0
11
9.9K
UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇼🇷🇼🥰🙏
Leo tarehe *07.02.2026* Majira ya Mchana bus La kampuni ya *IJUKA LUXURY COACH* Lililokua likifanya safari zake kutoka Mbeya kwenda Mwanza, Lilikutana na Ma afisa wa vyombo vya dola na kupekuliwa. Katika upekizi huo ilibainia mzigo mmoja wa abiria ambao ulisadikika kuwa ni dawm
UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇼🇷🇼🥰🙏 tweet media
Indonesia
49
14
470
89.9K
EPHRAIM
EPHRAIM@Ephra01·
@Casemiro @ManUtd the video will not make sense without that no look pass (assist) you better delete this one and never post again where are you going bruh..😏😏
English
0
0
0
4
Casemiro
Casemiro@Casemiro·
Knowing when stages come to an end. Knowing when to say goodbye when you feel that you will be remembered and respected forever. Four months to give my all for this badge and for our goal. Eternal respect and affection for Manchester United and its wonderful fans. Forever Red Devil.
English
12K
37.7K
227.4K
10.3M
Shishir
Shishir@ShishirShelke1·
The ability of Apple Watch to show the time even when it’s completely dead is actually really nice
Shishir tweet media
English
200
282
17K
943.7K
DeeDee🌟
DeeDee🌟@DiianaD_·
Rap battle! I’m bringing Eminem. Who are you bringing?
DeeDee🌟 tweet media
English
8.6K
979
15.6K
2.1M
EPHRAIM
EPHRAIM@Ephra01·
@earadiofm na nyie mmepost huku na si ungeuliza mbona bado hata wao wanatoa taarifa huku wanampa nani hizo taarifa na wanajua mtandao umefungiwa?
Filipino
0
0
0
49
EPHRAIM
EPHRAIM@Ephra01·
@iamthatfemale kila nkiona huduma mbaya inanijia ile benki ya kijanii..😂😂
Indonesia
1
0
1
106
Hika Lyimo
Hika Lyimo@iamthatfemale·
Customer service week. Huduma mbaya uliowahi pewa? Ila hakuna ataetop yule alisemaga aliambiwa na mhudumu amalize kwanza chapati moja kisa aliomba mbili 😩😭🤣🤣
Filipino
10
8
92
6.5K
EPHRAIM
EPHRAIM@Ephra01·
Watching this "Kungfu Stuntmen" kumbe hawa majaa zile stunts za kwenye movie za kitambo kipindi cha Bruce Lee, Jack Chain na wengineo nyingi walikuwa wanafanya kwelii aiseee.. wapo waliokufa kabisa sababu ya hizo stunts..🙌🏾🙌🏾 low technology problems
Filipino
0
0
0
34
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 88 Mhe. Lissu: Je unafahamu tarehe 31/05/2023 CCM ilikataa mapendekezo yote ya Chadema na mazungumzo yale yakaishia hapo? Kaaya: nimeona kwenye vyombo vya habari kuna mambo yalifanyiwa kazi na serikali. Mhe. Lissu: Nimeuliza mapendekezo ya Chadema kuhusuu Katiba mpya? Kaaya: sikushiriki kwahiyo sifahamu. Mhe. Lissu : December 2021 Rais Samia aliunda kikosi kazi kuangalia matatizo ya mfumo wetu wa Uchaguzi na kumteua Prof. Rwekaza Mkandala kuangalia matatizo hayo? Kaaya: Hilo nilisikia. Mhe. Lissu: na mapendekezo ya kikosi kazi yalikataliwa na CCM na samia huyu huyu? Kaaya: Hilo nalo sifahamu. Mhe. Lissu: Sasa jitihada hizi toka mwaka 1991 hadi leo nikikwambia Chadema na mimi tumejaribu mahakamani imeshindikana na njia ya mazungumzo imeshindikana utasemaje? Kaaya: SI KWELI. Mhe. Lissu : waeleze majaji tuna Katiba Mpya au hatuna? Fanya haraka jibu. Kaaya: tunatumia katiba ile ile ya zamani. Mhe. Lissu: je uliwahi kuandika maelezo yako Polisi? Kaaya: Niliwahi kuandika Mhe. Lissu: je kama ukionyeshwa utayatambua? Kaaya: Ni kweli nitayatambua. Mhe. Lissu: anamsomea maelezo yake shahidi yote hapa, anasema nataka kutumia zile stages zote, anamsomea hapa. Mhe. Lissu : Waheshimiwa Majaji sasa naomba nianze kumuonyesha maeneo ninayotaka kumcontradict. 1. Eneo la kwanza alisomea chuo cha upolisi Zanzibar 2. Alipewa Cheti cha Competence. 3. Ushahidi wake juu ya masomo aliyoyasoma kama vile kusomea masuala ya military and safety skills, sheria ya ushahidi. 5. Cheti alichopata baada ya training. 6. Alipelekwa kwenda kusomea nafasi ya assistant Inspector Moshi na kusomea community policing. Anamsomea maeneo zaidi ya 10 ambayo anataka kumcontradict huyu shahidi. Hapa ataonesha ushahidi wake mahakamani alisema nini na kwenye maelezo yake ya shahidi ameandika nini? Mhe. Lissu anaendelea kusoma maeneo anayotaka kumcontradict na muda huu ameshafikisha mambo 40 ambayo yanatofautiana kati ya maneno aliyosema mahakamani na yale aliyoandika kule kwenye maelezo yake. Huyu shahidi sijui tutamalizana nae lini. Maana zoezi tu la kumuonesha maeneo yenye shida linachukua karibu nusu saa. Je maswali yenyewe itakuwaje? Lazima kiwake 😂😂😂 Part 89 itaendelea kwenye post inayofuata. Naomba Repost yako.
Indonesia
45
558
1.4K
63.9K