#TajiriLaKihaya
Ipo hivi… kwa wachezaji Wazuri ambao ENGLAND wanao….
Hata ungechagua nani bado watu wangelalamika… huwezi mridhisha kila mtu!
Na hapa TUCHEL kaweza saana… England miaka yote inafeli kwa kuchagua wachezaji wenye majina makubwa hata kama viwango vimeshuka…
Kocha ka Take risk ambayo itamlipa Mwezi wa saba!
England ndio Bingwa wa Dunia…
#ThreeLions
The last time Arsenal won the league:
1. Facebook didn’t exist
2. YouTube didn’t exist
3. Twitter didn’t exist
4. iPhones didn’t exist
5. Instagram didn’t exist
Arsenal fans have experienced the entire internet.