Sabitlenmiş Tweet
Farida Kiobya
1.7K posts

Farida Kiobya
@FKiobya
|Advocate/Writer|Social Entrepreneur|Strategy and Partnership Associate @HakiRasilimali
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Temmuz 2019
450 Takip Edilen204 Takipçiler
Farida Kiobya retweetledi
Farida Kiobya retweetledi

"Lengo kubwa la utafiti uliofanyika kuhusu Mradi huu wa gesi ni kuangalia ni kwa namna gani unaweza kuwanufaisha watanzania na kuhakikisha watu ambao wameathiriwa na huu mradi waweze kulipwa fidia" @adamthony Mkurugenzi Mtendaji wa @HakiRasilimali
#ExtractiveBaraza2024
#JustEnergyTransition




Indonesia
Farida Kiobya retweetledi

📣Attention students and recent graduates!
We've got an exciting internship opportunity. Join our team and unlock your full potential with hands-on experience and expert mentorship. Don't wait, apply now and pave the way to your dream career!
#Tanzania #NipeDili #Internship

English
Farida Kiobya retweetledi

Chagamoto kubwa wanazokutana nazo watoa huduma wazawa migodini ni ucheleweshaji wa malipo hii inawapelekea kudodora kwa utoaji wao wa huduma. Bado watoa huduma wazawa wanahitaji sana kujiimarisha kimitaji ili kuepuka changamoto hii.
#PolicyForumBreakFastDebate
#LocalContent


Indonesia
Farida Kiobya retweetledi
Farida Kiobya retweetledi

“Hakirasilimali ni mtandao wa asasi za Kiraia 16, zinazofanya uchechemuzi kwenye sekta ya madini, mafuta na gesi. Nasi tunaamini changamoto pamoja na haki za mwanamke ni zetu sote." @adamthony Mkurugenzi Mtendaji @HakiRasilimali
#WomenInExtractives #WanawakeNaSektaYaUziduaji




Indonesia
Farida Kiobya retweetledi

“Mfuko wa @WomenFund_TZ unatambua Wanawake wana mahitaji tofauti, kulingana na maeneo walipo, hali yao kielimu, kiafya, kiuchumi na mengineyo”
Gloria Mbia
#WomenInExtractives
@HakiRasilimali

Filipino
Farida Kiobya retweetledi

Ili kuongeza ushiriki wa Wanawake kwenye sekta ya Uziduaji, ni muhimu kuwajengea uwezo wa kukamata fursa hizi kimtaji na kiujuzi.
#WomenInExtractives
#WanawakeNaSektaYaUziduaji
@HakiRasilimali




Indonesia
Farida Kiobya retweetledi

“Changamoto na Haki za Wanawake ni zetu sote”
@adamthony Mkurugenzi Mtendaji wa @HakiRasilimali
#WomenInExtractives
#WanawakeNaSektaYaUziduaji

Polski
Farida Kiobya retweetledi

Wakati tunaelekea katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, @HakiRasilimali kwa kushirikiana na wanawachama wetu tumeandaa mjadala wa Kitaifa mkoani Shinyanga kuhusu ushiriki wa wanawake katika idara ya uziduaji. #WanawakeNaSektaYaUziduaji #WomenInExtractives




Indonesia
Farida Kiobya retweetledi

Wanachama mbalimbali wakijisajili tayari kuanza mjadala, ambao utaangazia mbinu za kufanya Ili kuongeza ushiriki wa Wanawake kwenye sekta ya Uziduaji, sambamba na kuwajengea uwezo wa kukamata fursa hizi kimtaji na kiujuzi zaidi.
#WanawakeNaSektaYaUziduaji #WomenInExtractives




Indonesia
Farida Kiobya retweetledi

Moja ya eneo @HakiRasilimali wanalifanyia kazi, ni kuongeza ushiriki wa Wanawake kwenye sekta ya madini, gesi na mafuta.
Mwamko unazidi kuongezeka.
#WomenInExtractives
#WanawakeNaSektaYaUziduaji
Indonesia
Farida Kiobya retweetledi
Farida Kiobya retweetledi
Farida Kiobya retweetledi

Innovation and Technology for Achieving Gender Equality in Extractive Industries.
#WomenInExtractives
#WanawakeNaSektaYaUziduaji
English
Farida Kiobya retweetledi
Farida Kiobya retweetledi

Working session on SDG 4 (Quality Education) 💻📊
The session involves analyzing and filling the SDGs tracking tool by stakeholders on the education sector in Tanzania led by @HakiElimu
#vnr2023
#leavingnoonebehind


English
Farida Kiobya retweetledi

Tunayo furaha, Mkurugenzi Mtendaji wa @HakiRasilimali @adamthony kuteuliwa na Waziri wa Madini kuwa Mjumbe wa Kamati ya Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi (TEITI) kwa kipindi cha 2023 - 2026. @EITIorg
@NRGInstitute @ICNLAlliance

Indonesia
Farida Kiobya retweetledi











