FAIR COMPETITION TRIBUNAL (FCT)

44 posts

FAIR COMPETITION TRIBUNAL (FCT)

FAIR COMPETITION TRIBUNAL (FCT)

@FairFct

Katılım Eylül 2021
0 Takip Edilen7 Takipçiler
FAIR COMPETITION TRIBUNAL (FCT)
"Naiomba FCT kusimamia haki ili iwe na tija pamoja na mambo yote hayo toa elimu mara kwa mara kwa wadau hao usikae ofisini nenda kwa wafanyabiashara kutoa elimu jinsi ya kukata rufaa kuhusu ushindani wa haki na jinsi gani watapata haki zao". Amesema Dkt. Nguvila.
FAIR COMPETITION TRIBUNAL (FCT) tweet media
Indonesia
0
0
0
27
FAIR COMPETITION TRIBUNAL (FCT)
amelishauri Baraza hilo kutoa elimu mara kwa mara kwa wafanyabiashara ili watambue haki zao na wajue FCT ni chombo muhimu na waweze kukifikia kwa urahisi kwa kukata rufaa ambapo watakuwa hawakuridhika na maamuzi ya mamlaka za udhibiti pamoja na Tume ya Ushindani.
FAIR COMPETITION TRIBUNAL (FCT) tweet media
Indonesia
0
0
0
12
FAIR COMPETITION TRIBUNAL (FCT)
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mkoa Dar es Salaam Dkt. Toba Nguvila ameliagiza Baraza la Ushindani (FCT) kutoa maamuzi kwa haki katika rufaa zinazowasilishwa ili kupunguza migogoro na migongano kwa wafanyabiashara na mamlaka za udhibiti.
FAIR COMPETITION TRIBUNAL (FCT) tweet media
Indonesia
0
0
0
7
FAIR COMPETITION TRIBUNAL (FCT)
Serikali ina dhamira ya dhati ya kuhakikisha inaweka mazingira rafiki na wezeshi ya ushindani wa haki katika biashara na utoaji huduma na kuzitaka mamlaka za udhibiti kutekeleza azma hiyo ya serikali.
FAIR COMPETITION TRIBUNAL (FCT) tweet media
Indonesia
0
0
0
7
FAIR COMPETITION TRIBUNAL (FCT)
Kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa asilimia 97 ya mashauri yaliyowasilishwa kwenye Baraza la Ushindani nchini (FCT) kumechochea na kuongeza uwajibikaji kwa mamlaka za udhibiti wa huduma na biashara nchini katika kusimamia ushindani wa haki.
FAIR COMPETITION TRIBUNAL (FCT) tweet media
Indonesia
0
0
0
4