Mr japhet

1.2K posts

Mr japhet banner
Mr japhet

Mr japhet

@Fenga_JR

Nothing lasts forever

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2016
3.5K Takip Edilen1.8K Takipçiler
Dominicksalamba
Dominicksalamba@Dominicksalamb1·
Diara kafungiwa kwa kumshambulia Refa. Ni wapi Diara alimshambulia refa? Refa kahukumiwa kwakua hakumchukulia hatua Diara.Diara na refa hawakua na contact yeyote kias cha yeye kumchukulia hatua,sasa angemchukuliaje hatua mtu kama yule ambaye muda wote alivutana na kina Mwamnyeto
Dominicksalamba tweet media
Indonesia
90
9
150
8.3K
BAD NUMBER🥷🏿
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason·
Unaanza tar 27-29. Sportybet🇹🇿; 5LH854 -Odds 138🔥 5XWX6E -Odds 100🔥(Edited from 138) NB: Huo ni mkeka mmoja wenye version mbili, so jichagulie unauamini.🧘🏿‍♂️🙏🏿
Indonesia
16
31
157
7.7K
sarah albarcha
sarah albarcha@sarahaalbarcha·
Same stairs, endless Moroccan looks..
sarah albarcha tweet mediasarah albarcha tweet mediasarah albarcha tweet mediasarah albarcha tweet media
English
358
223
4.3K
620.6K
BAD NUMBER🥷🏿
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason·
@sule0305 Yeah game zote zinaisha kesho ile ya mwezi wa 6 nilijimix kwenye ila ukija mpunga mwingi tunashuka na hela zetu.
HT
6
1
14
592
BAD NUMBER🥷🏿
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason·
Sportybettz🇹🇿; 6D9CQ0 -Odds 60💰 67Z1S4 -Odds 140🔥 5C3Z88 -Odds 160🔥 JOEL 2:25 "I will give you back seven times what you lost" 🧘🏿‍♂️🙏🏿
English
9
21
87
6.9K
Mr japhet
Mr japhet@Fenga_JR·
@ByCardoJason tren la 374 hilo tunakula kaka maana limenyooka vibaya mnoooo
Filipino
1
1
2
323
Mr japhet
Mr japhet@Fenga_JR·
@Sativa255 sema kanji anatuchelewesha kubet, mwambie aachie kaka
Indonesia
0
1
3
180
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Betpawa huko mfumo umecheza. Watu walikuwa na 50k wanajikuta wana 500k kwenye account.😁😁 Kimbilia kaangalie account yako muda huu huko kimewaka.
Filipino
45
44
1.3K
74.5K
SIAH☺+255
SIAH☺+255@MalkiaTabasamu·
Kuna Mwanaume alinisumbuaga sana karibia miezi 2 anadai ananipenda sa ilikumkwepa ikabidi ni mkubalie Nkamwambia 'Sawa na Me nishakupenda ila nkwambie tu ukweli me nna HIV ya kuzaliwa nayo sa hapo itakuaje akasema 'Me nmekupend ww Nnapenz zito juu yako haijalish ☺
Filipino
36
18
473
50.7K
faith 🙏🛐✞︎
faith 🙏🛐✞︎@juliejuleth·
Kuna kaka mmoja nilikua nikikutana nae nikimsalimia haitiki, Kila tukipishana najisemea Moyoni huyu kaka anajisikia sana.🙃 sintamsalimia tena nitakuwa nampita tu. Basi bhana kweli nikawa nampita ata nikikutana nae simsalimii, Sasa siku iyo siakapita nipo na watu nikawaambia huyu
Filipino
46
29
855
125.6K
Mr japhet
Mr japhet@Fenga_JR·
@Mwabuk2Boniface Hapo kiongozi wao anatakiwa apewe rozali na asali matendo ya uchungu🤣🤣🤣🤣😂😂
Indonesia
1
0
1
1.6K
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
MAANDAMANO YA BEI YA JIOOONI. Hawa hawakuandamana pale Father Dr Kitima alipotaka kuuwawa Padre alipotekwa na kukutwa katupwa porini wala Mwanafunzi wa Utawa kutekwa na kuumizwa. Hawakuandamana wakatoliki wenzao walipouliwa na miili yao kupotea. Halafu Ukiona nchi hii kuna Maandamano ambayo wazee wa intelijensia hawaja yazuia ...Jiongeze.. kuhusu haiba ya waandamanaji wala musiniulize🤣 Mwishoni wakahitimisba na sebene ya Mwamba Mwamba...
Filipino
172
304
1.2K
176.5K
BOB SANCHOO™
BOB SANCHOO™@Bob_sanchoo·
Ambaye kapitwa na hii video anichek Dm 😎 Tugawane Dhambi
BOB SANCHOO™ tweet media
Filipino
16
5
44
11.5K
M O X
M O X@UrBoyMox·
@Bob_sanchoo Kideo hiki nifollow then njoo dm kmmmk
M O X tweet media
Filipino
5
0
3
1.6K
Getrude Mollel 🇹🇿
Getrude Mollel 🇹🇿@Getrude_mollel·
Hii ni nimechukua muda huu kwa Google Earth kuangalia eneo la makaburi ya Larry Madowo. Eneo hili kwa kiasi kikubwa ni bustani ndogondogo za mboga, kuna maeneo ya kuchimba mchanga, kuna ujenzi unaendelea. Yani shughuli shindili. Kuna active residence meaning, picha tu za watu wakifanya hayo maziko zingeonekana..
Getrude Mollel 🇹🇿 tweet media
Filipino
81
9
42
6.1K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Breaking News, We just won: Tanzania imeshinda kiti cha Ujumbe wa Kamati ya Urithi wa Dunia ya Unesco (World Heritage Committee) katika uchaguzi uliofanyika leo jijini Paris na kuzishinda nchi za Congo, Malawi na Botswana. Kamati hii ndio chombo cha Unesco chenye maamuzi ya mwisho katika kuyaingiza au kuyaondoa maeneo mbalimbali duniani katika orodha ya urithi wa dunia.
MR BEN tweet media
Indonesia
5
22
50
5.2K