Forever Ted

1 posts

Forever Ted

Forever Ted

@ForeverTed

Katılım Eylül 2023
8 Takip Edilen4 Takipçiler
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
"Ukimchukua Mtoto wa miaka Minne wa Kike na wa Kiume ukiwaogesha kwenye mida ya saa tisa ikifika saa 12 kijana wa Kiume akirudi ameshachafuka kuliko yule wa kike. Yaani yule binti anakuwa ni mkubwa kuliko mtoto wa kiume. Anafikiria kuliko mtoto wa kiume huwa sijui inakwenda inapotelea wapi lakini wanawake wamepewa uwezo mkubwa sana. Ni ngumu kwa mwanamke wa miaka 26 hadi 31 kummezea mate (kumtamani) mvulana wa miaka 16 anasema hana hela kwanza mtoto mdogo, lakini ni rahisi kwa jibaba lenye miaka 30, 40, 50 hadi 60 kumtolea macho binti wa miaka 16. Pia ni rahisi jamii kumkabidhi mume mke wa miaka 16 lakini ni ngumu jamii kumkabidhi mke mume wa miaka 16" - @masoudkipanya Una maoni gani kwenye hili? #PbCloudsFm
Clouds Media tweet media
Filipino
585
178
2.4K
222.1K