
Geophrey Tenganamba Keyness
8.8K posts

Geophrey Tenganamba Keyness
@GKeyness
| Solving Africa Real Problems by Digitalizing agriculture @MazaoHub
















Teknolojia inabadilishaje biashara ya pembejeo na kilimo kwa ujumla? Jiunge nasi kwenye Live Webinar ya MazaoHub ambapo tutajadili kwa kina namna teknolojia inavyorahisisha na kuboresha kila hatua ya mnyororo wa thamani wa kilimo kuanzia shambani hadi sokoni. 🎙️ Mada: Teknolojia Inayoongeza Faida na Kipato Katika Mnyororo Mzima wa Thamani wa Kilimo 👤 Mzungumzaji: Gabriel Zawadi – Chief Technical Support, MazaoHub 📅 Tarehe: 07 January 2026 ⏰ Muda: 5:00 – 6:00 pm (EAT) 👉 Kipengele kikuu cha mjadala: Pembejeo Connect - mfumo unaosimamia uzalishaji na usambazaji wa pembejeo kwa Agrovets na Distributors, kuanzia oda, usambazaji, hadi ufuatiliaji wa mauzo kwa kutumia data. 🔗 Jiunge kupitia link hii: docs.google.com/forms/d/e/1FAI… #MazaoHub #LiveWebinar #PembejeoConnect #Agrovet #AgriTechTanzania #KilimoChaKisasa






Traditional Media owners wanagoma kwamba soon wakikaa vibaya watakuwa disrupted na online medias and new wave of creators. Experts wakiambiwa soon ai itareplace kazi zao wanataka hadi kurusha ngumi. Kila mtu analinda ugari wake lakini disruption haijali maslahi ya mtu.






