Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali

965 posts

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali banner
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali

@Gcla1895

The Government Chemist Laboratory Authority is the “Legal Referral Laboratory”. Established under the Government Chemist Laboratory Authority Act,No.8,2016.

5 Barrack Obama Drive, Katılım Temmuz 2018
11 Takip Edilen1.1K Takipçiler
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali
Mkemia Mkuu wa Serikali,Dkt. Fidelice Mafumiko akiwasili katika viwanja vya @bunge_tz tayari kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha 2026/27 katika Bunge la 13 mkutano wa tatu kikao cha 26, Mei 11, 2026 Bajeti itawasilishwa na Waziri wa Afya,Mh. Mohamed Mchengerwa
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet media
Indonesia
0
1
12
1.7K
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (katikati) akipokea tuzo ya ushindi katika usimamizi wa mifumo ya Ubora na viwango kimataifa iliyotolewa na Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti Ubora na Usimamizi wa Vihatarishi, Benny Mallya.
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet media
Indonesia
0
0
2
82
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kupitia ofisi ya Kanda ya Mashariki imeendelea kutoa elimu ya usafirishaji salama wa kemikali kwa madereva wanaosafirisha mizigo hatarishi ya kemikali. Mafunzo hayo yamefanyika Aprili 29 na 30, 2026, jijini Dar es Salaam.
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet media
Indonesia
0
0
1
22
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, @SuluhuSamia amewaongoza Wafanyakazi kuadhimisha siku ya Wafanyakazi duniani ambayo kitaifa imefanyika mkoani Njombe. Watumishi wa @Gcla1895 ni miongoni mwa Wafanyakazi walioungana na Rais kuadhimisha siku hii muhimu Mei 1, 2026, Njombe
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet media
Indonesia
0
0
0
26
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali
Watumishi wa @Gcla1895 wameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yaliyofanyika kimkoa Mei 1, 2026 katika Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yamefunguliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila.
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet media
Indonesia
0
0
0
30
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali
Kituo cha Taifa cha kuthibiti matukio ya sumu nchini, kimefanya ziara ya siku mbili mkoani Manyara katika wilaya ya Kiteto na kutoa elimu juu ya matukio ya Sumu Kuvu pamoja na madhara yake. Wametoa elimu ambayo ilijikita katika kutambua sumu kuvu, madhara yake na namna ya kuzuia
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet mediaMamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet media
Indonesia
0
0
2
77
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali
Maadhimisho ya Siku ya Vinasaba Tanzania 2026 yatafanyika Aprili 23 - 24, 2026 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma Maadhimisho haya yanalenga Kufungua Fursa kwa Jamii kupitia Uchunguzi wa Vinasaba Dkt. Farid Mzee Mpatani - Mkemia Mkuu wa Serikali - Zanzibar
Indonesia
0
1
3
104
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali
The future of medicine, public health, research, and forensic science will be shaped by how nations engage with DNA and genomics. The Tanzania National DNA & Genomics Summit 2026 is part of that national conversation. 📅 23–24 April 2026 📍 JKCC, Dodoma
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali tweet media
English
0
0
0
36
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali
@Gcla1895 imeipokea Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar iliyoambatana na Menijimenti ya Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali Zanzibar. Kamati hiyo imepokelewa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi na Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko.

34