Geophrey

11 posts

Geophrey

Geophrey

@Geophreyfg

Katılım Mart 2025
106 Takip Edilen3 Takipçiler
Geophrey
Geophrey@Geophreyfg·
@HildaNewton21 Kwan si tumekubaliana tunataka uhuru wa kuongea kaen kimya watu waongeee kwan wanasema uongo kwan hawa si kama chadema wana haha na uchaguzi usio wahusu
Indonesia
9
0
1
2.1K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Picha ya kwanza ni mzee Mohamed Saidi, dini Mwislamu, mkazi wa Tandika, wilaya ya Temeke jijini Dar. Shuguli anayofanya ni kubeba mizigo soko la Tandika. Amekana imani yake na kujibatiza Ukatoliki wa kuchaji kwa tamaa ya vipande vichache vya fedha. Picha ya pili (aliyezungushiwa duara) anaitwa Naomi Matola, kabila Mnyakyusa, mkazi wa Kurasini, mzaliwa wa Mwakaleli, Mbeya. Amewahi kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Kurasini 2017 hadi 2022, na pia aliwahi kugombea Uenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mivinjeni, Kata ya Kurasini jimbo la Temeke mwaka 2014 akashindwa na Claudius Togocho wa Chadema. Naomi ni Muumini wa Kanisa la Moravian, ushirika wa Keko. Amewahi kuwa muimbaji wa kwaya ya Sinai Moravian Keko, lakini akafurushwa kwa utovu wa nidhamu. Naomi amekana imani yake ya Moravian na kujivika Ukatoliki wa kuchaji kwa tamaa ya vipande vichache vya fedha. Namba yake ya simu ni 0712 535467, msalimieni kidogo.!
Hilda Newton tweet media
Indonesia
64
171
1K
54.1K
Geophrey
Geophrey@Geophreyfg·
@MariaSTsehai Lugha berries iandikwe kiswahili ili tuelewane sii ni wa bongo lugha yetu ya bb ni kiswahili kwann itumike hii ya meli au wanaambiwa wale wa kuitwa malaya
Filipino
0
0
0
136
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨GEN Z NOTICE TO POLICE‼️ Official notice to the police with copy to all Regional Police Commissioners and Regional commissioners #D9 loading.. 💪🏽 Hii ni taarifa rasmi imefikishwa kwa polisi kutoka Gen Z Tz - nakala kwa RPC wote na wakuu wa mkoa - wasiseme hawajapokea @tanpol Vijana wamesema safari hii hawataki kuitwa wahalifu au wahaini! Haya maandamano ya amani ya kudai haki yatafanyika Desemba 9 na wameshatoa taarifa! 💪🏽 🇹🇿
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Čeština
38
229
793
44.5K
Geophrey
Geophrey@Geophreyfg·
@MariaSTsehai Lugha berries iandikwe kiswahili ili tuelewane sii ni wa bongo lugha yetu ya bb ni kiswahili kwann itumike hii ya meli au wanaambiwa wale wa kuitwa malaya
Filipino
0
0
0
351
Geophrey
Geophrey@Geophreyfg·
@godbless_lema Labda mm sielew naomba kusaidiwa haya yaliyofanyika tz ni maandamano au funjo? Maana nmeona maandamano ya madagaska,kenya na china miaka kadhaa nyuma lakin sikushuhudia uhalibifu huu ulofanya na waandamanaji wa tz.
Indonesia
0
0
2
284
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Ukiwa ni Daktari, Askofu, Sheikh, au kwa jina lako lolote, cheo, heshima, umeshuhudia mauaji na ukatili uliosababishwa wakati wa uchaguzi. Halafu ukachagua kukaa kimya, wewe pia ni muuaji. Na utalipwa na Mwenyezi Mungu kama muuaji. Watoto wetu na wajukuu zenu wameuawa wengi sana. Mateso haya yamezidi kipimo cha ubinadamu, na damu isiyo na hatia inamwagika kila siku mbele ya macho ya wale waliopaswa kulinda uhai. Muuaji mbaya zaidi si yule anayeshika silaha na kuua, bali ni yule anayekaa kimya baada ya kuona mauaji haya. Ukimya ni ushiriki , ukimya ni ridhaa. Kila anayenyamaza wakati wa maovu kama haya, anakuwa sehemu ya maovu hayo. Tusiwe watu wa kukaa kimya tunapoona uovu. Tusiogope kusema ukweli. Ni jukumu letu, kama wanadamu na watoto wa Mungu, kupaza sauti kwa ajili ya haki na maisha ya wasio na hatia.
Indonesia
74
558
2.5K
65.6K
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Ni App gani haipo kwenye simu yako? 1. Instagram 2. X 3. Whatsapp 4. Tiktok 5. Snapchat
Filipino
215
30
429
36.6K
MAGATI Jr
MAGATI Jr@Oziko_Jo·
@ayubu_madenge Yanga wako Serious na Simba Pekee Nachoshangaa STILL tunaEnda kuwatoa nishai Kimataifa Ikifika hapo sijui Uto wanakuaje🙃
Indonesia
2
0
0
644
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Mtani anatufunga mechi 6 mfululizo kama anavyotaka yeye. Mtani hatuogopi, anacheza na sisi kama anacheza na waimba Bolingo wa Congo. Mtani anajua kila akicheza na SIMBA lazima ashinde. Derby inapoteza ladha, derby inakosa ushindani. Watani wanatawala kila siku. Inasikitisha sana.
Ayubu Madenge tweet media
Filipino
108
85
1.4K
28.2K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
CCM wana changisha Tsh Bilioni 100 kuwakabili na kuwafadhili hawa.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
51
70
781
31.6K
Geophrey
Geophrey@Geophreyfg·
@DannyAggy Unaweza kuwa unahoja kwa weledi wako lakin ukifuata kanuni utagundundua wewe pia ni shabiki na mawazo yako yapo kishabiki
Indonesia
0
0
0
0
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
178
355
3K
139.5K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Wakati SIMBA tunapinga ukandamizaji wa HAKI na Kukataa UHUNI huku tukitetea ubora wa endeshaji wa ligi yetu katika misingi ya Sheria na Kanuni, wenzetu wanashangilia tukio la jana tena Wanasisitiza Mchezo upo pale pale. Hili ni anguko kubwa la Soka letu. Tunajimaliza sisi wenyewe
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
231
109
1.7K
55.6K