Granville
6.1K posts

Granville
@Gibrah_tower
Growth come with taking responsibilty/ A man of wisdom /Founder & owner of @Granville 💸 point/Always Learning /Kyela Kasumulu son/blood donor O+.
Kigamboni,Dar es Salaam & 🇲🇼 Katılım Nisan 2022
1.3K Takip Edilen1.7K Takipçiler
Granville retweetledi

MAHAKAMA KUU - KIFUNGU KINACHO RUHUSU MAOMBI YA KUFICHA MASHAHIDI NI KINYUME NA KATIBA:
Ni kupitia Petition NO. 22482 /2025, kati ya GODFREY MJUNI MARTIN BASASINGOHE dhidi ya ATTORNEY GENERAL & DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS.
Leo Jopo la Majaji watatu Mheshimiwa Jaji, Fahamu, J., Mheshimiwa Jaji Chuma, na Mheshimiwa Jaji Kamana, limeamua kuwa kifungu cha 194 cha sheria ya mwenendo wa Makosa ya Jinai (Criminal Procedure Act (CPA) ni kinyume cha Katiba kwa kuwa kinampa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai haki ya kipekee kuomba ulinzi wa shahidi bila kumpa mshtakiwa haki sawa, na pia kinaruhusu maombi ya kusikilizwa upande mmoja bila kuhakikisha haki ya kusikilizwa kwa upande mwingine.
Mahakama imetangaza kifungu hicho kuwa batili na imeipa Serikali muda wa miezi 12 kufanya marekebisho ya sheria.
Itakumbukwa kwamba, Jamhuri walitumia kifungu hicho na kupeleka Maombi mahakama kuu mbele ya Jaji Mtembwa ambaye alikubali Maombi ya Jamhuri kuficha mashahidi wao wakiita ulinzi wa mashaidi.
Maombi hayo yanasajiliwa na Jamhuri peke yao, wanasikilizwa peke yao na Mahakama inatoa uamuzi.
Angalau leo, Mahakama kuu imetamka kwamba Kifungu hicho ni kinyume na Katiba!
Indonesia
Granville retweetledi

Salamu za rambirambi kutoka kwa Mhe. @TunduALissu
📍Gereza la Ukonga.
Pt 1.
REPOST 200




Granville retweetledi

Joint Statement on recent events in Tanzania

German Embassy Dar es Salaam@GermanyTanzania
Tamko la Pamoja juu ya matukio ya hivi karibuni nchini Tanzania
English
Granville retweetledi
Granville retweetledi

Read this for geolocated videos, audio forensic analysis of shots fired & first-hand accounts of Tanzania's unrest. President Samia Hassan claims to have won with 98% of the vote.
Reported with @FlorenceDAttlee @GianlucaMezzo + help from @BenDoBrown
edition.cnn.com/2025/11/21/afr…
English
Granville retweetledi
Granville retweetledi
Granville retweetledi


Granville retweetledi

#EUROPE: EUROPEAN LAWMAKERS CONDEMN LISSU’S TREASON TRIAL, DEMAND IMMEDIATE RELEASE
Six Members of the European Parliament have strongly condemned the politically motivated trial of Tanzanian opposition leader and CHADEMA Chairman Tundu Lissu, calling it part of a broader campaign to silence dissent.
In a formal letter, signed by Barry Andrews, Robert Biedroń, Udo Bullmann, Michael Gahler, Erik Marquardt, and David McAlliste, the lawmakers expressed alarm over the deteriorating state of democratic freedoms in Tanzania, particularly the erosion of free expression and fair electoral conduct.
The letter urges the Tanzanian government to immediately release Lissu, cease persecution of opposition figures and activists, and uphold constitutional principles of rule of law, democracy, political pluralism, and human rights.
It also calls on the European External Action Service (EEAS), the European Commission, and EU Member States to publicly position themselves against the repression, warning that continued violations could affect bilateral cooperation with Tanzania.

English
Granville retweetledi

#EUROPE: EUROPEAN LAWMAKERS DEMAND ANSWERS OVER POLEPOLE’S DISAPPEARANCE
Six Members of the European Parliament have issued a formal letter expressing deep concern over the disappearance of Tanzanian Ambassador and political commentator Humphrey Polepole, missing since October 6.
The letter, signed by Barry Andrews, Robert Biedroń, Udo Bullmann, Michael Gahler, Erik Marquardt, and David McAllister, condemns what they describe as a pattern of abductions, torture, and intimidation targeting opposition figures, journalists, and human rights defenders in Tanzania.
The lawmakers urged the Tanzanian government to immediately release all abducted individuals, ensure their safety, investigate the incidents, and hold perpetrators accountable. They also called for an end to impunity and demanded guarantees for freedom of expression and assembly.
The letter further appeals to the European Union to closely monitor the situation, apply diplomatic pressure, and support civil society actors working to uphold human rights in Tanzania.
Polepole’s disappearance has sparked international alarm, with rights groups and foreign governments demanding transparency and accountability ahead of Tanzania’s October 29 elections.

English
Granville retweetledi

Granville retweetledi

‼️🚨MDAU AMETUMA AZIMIO 👇🏾‼️
Tunaafiki wapenda haki?
Inasomeka:
“UMMA WA WATANZANIA WAPENDA HAKI UMETOA HUKUMU YA TUNDU LISSU KAMA IFUATAVYO
1. Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa njia yoyote ile, iliandaa mazingira ya kuhakikisha Chama cha Upinzani wa kweli kinanyamazishwa, kwa kuwatumia TISS walioko kwenye vyombo vya sheria na dola. Rejea kesi ya mgawanyo wa mali.
2. Baada ya Tundu Lissu kugusia masuala ya maslahi ya mmoja wa wanamtandao kuhusu makaa ya mawe, amri ilitolewa kutoka juu kwamba badala ya kutekwa na kupotezwa, apotezwe kupitia kesi ya uhaini.
3. Bila aibu wala weledi wa kisheria, ameendelea kuteswa, kuumizwa, na kunyimwa uhuru wake wa kikatiba.
4. Kwa kuwa ni jasiri na anayedai utawala wa sheria urejeshwe, ameonekana kuwa tishio kwa utawala dhalimu.
5. Umma wa Watanzania umejiridhisha pasipo mashaka kwamba mtoto wa Rais Samia, Dully (Abdul), pamoja na kitchen cabinet ya Mama Samia wamehusika na utekaji, na wanaendelea bila hofu, mashaka, wala woga, bali kwa kiburi kikubwa.
6. Baada ya maombi mengi ya wapenda haki na Mungu kuendelea kuinua kelele kila kona na kila uchao, Mahakama ya Umma imetoa HUKUMU ifuatayo:
I. Hatutashiriki maigizo ya mikutano ya hadhara ya CCM, wala kupiga kura, kwani kufanya hivyo ni kuthibitisha kuwa sisi ni wajinga na wadanganyika.
II. Kwa sasa CCM inafuata mfumo wa siasa ya unyama na kujitegea. Bila aibu, wanauita unyama huo kuwa ni utu. Badala ya Kazi na Utu, umma unajua wanamaanisha Wizi na Ubutu. Adhabu ya siasa hii ni kususia mikutano na kususia kura, ili kuondoa visingizio vya kuhalalisha au kutakatisha wizi wa kura uliokwisha kufanywa.
III. Kupitia kesi ya Lissu, watazamaji wa mtandaoni wanazidi idadi ya mikutano ya CCM kila siku. Tunatoa wito kwa walioko vijijini waendelee kushirikisha habari za mabadiliko yanayotokea ulimwenguni, ikiwemo Nepal, pamoja na ukweli kuhusu kutekwa kwa watu, kutekwa kwa Bunge, na kutekwa kwa Mahakama. Ukombozi unahitajika, na Watanzania wajiandae kwa ukombozi huu unaoletwa na Mungu.
IV. Umma wa Watanzania unaamua kuwasamehe Humphrey Pole Pole na Askofu Gwajima kwa ushiriki wao kwenye chama kiovu, na kuwatia moyo waendelee kufanya mikutano na wananchi kwa njia walizozoea. Tutawasikiliza na tutafikisha ujumbe wao hadi vijijini.
V. Tumeweka huru Tundu Lissu. Iwapo wadhalimu wataendelea kumshikilia kinyume cha sheria, basi umma unamwagiza aendelee na kazi maalum ya kuwaacha uchi madhalimu kupitia kesi hii. Hao hao wezi walihusika kumuumiza Lissu ( Rejea uhusika wa Tigo au Yass , hao hao walizuia huduma ya Starlink kwa faida zao binafsi.
VI. Mwisho – Onyo:
Onyo kwa wanaoendelea kudhani kuwa udhalimu utashinda na wanyonge watanyamazishwa: Tunasubiri maelekezo ya maandamano ya nchi nzima, na umma unaahidi kushiriki kwa amani.”

Indonesia
Granville retweetledi

“MIMI NI MPIGANIA HAKI, DEMOKRASIA, NI MTETEZI WA HAKI.
Mimi sio MHAINI,
Mimi sio MHALIFU,
My contribution is recognized nationally na internationally. ” #FreeTunduLissu


Indonesia
Granville retweetledi

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 14
Anaendelea Mhe. Lissu
Lissu ameulizwa je utakuwa na mashahidi wangapi?
Mashahidi wangu watakuwa kama ifuatavyo
1. Samia Suluhu Hassan atakuwa ni shahidi wangu wa kwanza
Hakimu anasema anasema kuna taarifa inasambazwa muda huu, anasema kuna watu wanasambaza taarifa za hii kesi.😂
Lissu anednelea na kutaja mashahidi wake.
1. Samia suluhu Hasaan apelekwe summons.
2. Philip Isdory Mpango ni msaidizi wa serikali aje atoe ushaidi nilivyowatisha.
3. Kassim Majaliwa Majaliwa Waziri Mkuu nimesmtishia serikali aje atoe ushahidi
Hakimu anasema kwa vile sheria hailazimishi kukulazimisha utaje mashahidi wako utaomba Kibali cha mahakama kuu mimi siwezi kuwaandika hao mashahidi wako.
Hao mashahidi unaowataja utawaomba mahakama kuu mimi siwezi kuwaandika hapa.
Hakimu amekataa mashahidi wa Lissu anasema akawaombe mahakama kuu yeye ni mjanja pia hawezi kuingia huo mkenge.
Hakimu anasema hii safari haikuwa ndogo ilikuwa ndefu kwelikweli. Haisikilizi shauri wala kutoa maamuzi.
Hivyo basi mahakama haikuwa inasikiliza shauri kabisa.
Kwa mujibu wa kifungu cha 263 ninakupeleka mahakama kuu kwa tarehe ambayo itakuwa imepangwa kwa tarehe ambayo itasemwa na msajili wa mahakama kuu.
Kwa leo tumehitimisha hapa so tukutane Mahakama Kuu.
Naomba Repost yako.
Indonesia





