Hivi hujiulizi kwa nini hapa EA?
Wawekezaji wanapendelea 🇰🇪?
Viongozi wengi wa nje huitembelea 🇰🇪?
Mr Beast, Ishowspeed Walienda 🇰🇪?
Watalii wengi kwa mwaka huenda 🇰🇪?
Tech Startups zinaanzishwa nyingi 🇰🇪?
Jibu ni kwamba tuna Viongozi wajinga mno ambao hufurahia vilio vya raia.
Vijana wenzangu, ukipata mpunga flani mzuri. Anza kuomba VISA bila kuchoka. Ukipata europe poa zaidi, exposure ndo kitu unafwata huku si kingine.
Tutembelee nchi zilizopiga hatua, vipo vingi vya kujifunza. Kutana na watu kutoka ncho tofauti expand network yako.
Tutembee!!
Una umri wa miaka kati ya 25-30;
-Gari huna,
-Mke huna,
-Mtoto huna,
-Bitcoin huna,
-Trading hujui,
-Kiwanja huna,
-Nyumba huna,
-Passport huna,
-Biashara huna,
-5M bank huna,
-Iphone 17 huna,
-1k followers huna,
-Cryptocurrency hujui,
-Samsung utra 24 huna,
Una nini hasa Mkuu?
Viwanda vya nguo vilikuwa Moja ya sehemu tegemezi ya ajira Tz vialiajiri watu Zaidi ya 37,000! kwa sasa havipo tunahitaji vijengwe upya kwa sababu vinaajiri makundi yote wasomi na wasio na elimu hii ndiyo njia ya kuinua uchumi na kupunguza utegemezi wa ajira za serikalini tu
Alafu kuna wapumbavu huko badala ya kupiga kelele na kulaani utekaji na uuaji unao endelea #Tanzania wanajifanya wana uchungu na kifo Cha Mbwa. Wanaona mbwa ana thamani zaidi kuliko binadamu. Matako yenu wote mnaofanya hivyo!. Na Mungu awalaani
kuna njia nyingine majaji wanaweza kupatikana tanzania nje ya utaratibu wa sasa ambapo rais ndiyo huwateua, hali inayodumaza imani ya wananchi kwa mhimili wa mahakama na mfumo wa utoaji wa haki kiujumla nchini? dk rugemeleza nshala, wakili, anafafanua:
🎥: @kiratyofficial
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imeweka mkakati kuhakikisha mafuta hayaadimiki nchini pamoja na kubuni namna za kutekeleza ruzuku kwenye bidhaa hiyo ili kupunguza gharama.
Kuna majengo mengi tu yameachwa na serikali walipohamia Dodoma. Moja itafutwe ikarabatiwe kwa ajili ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa kama kuna ulazima wa kuhamisha ofisi iliyopo. Hakuna haja ya kutumia bilioni 10 kujenga mpya.
Kupost AJIRA zilizo 📍DUBAI kwa "WABONGO" imekuwa chuki,husda bin hasada ukipitia comment naitwa TAPELI ujuaji mwingi SIJAWAHI kumwambia mtu alipie kupata AJIRA zaidi nawaelekeza watu kupata FURSA BURE
Oyaa nna mitkasi yangu hapa Dubai kutangaza AJIRA watu wapate ni "LOVE"tu
@barakawamb Ww kw nn ujilinganishe na nchi ambazo ni landlocked kw bei hyoo serekali yenu inashindwa kuwahurumia wananchi wake kuwapa unafuu wa maisha badala yake nd kwnza inazidi kuwa didimiza bogus kabsaa
Bei ya mafuta kwa Tanzania ipo chini kulinganisha na Nchi nyingine.Serikali chini ya uongozi wa Rais Samia imeendelea kuhakikisha wananchi wake wanaendelea kupata mafuta kwa bei nafuu pongezi kwake Rais kwa kuweka Ruzuku kwenye Diesel na kuhakikisha Mafuta yapo ya kutosha Nchini.!
Tiareheii Hapa ndipo Ninapowanyooshea Mikono, Ushuru utafikiri gari imetoka Iran.
.
Boss anataka gari ya tofauti ila ambayo akipita Lazima gari iangaliwe isiwe From Japan tu.
.
Katika kutafuta Tukampa hii 2016 MERCEDES BENZ ML350 $ 10,800 [28M] till Bandarini.
.
Ushuru sasa 👇