

MTANI OG
44K posts

@Goalgeta7
Wema unaoendelea....📚 #SimbaSc #Nguvumoja #ManchesterUtd #Masandawana #Matani kwa MTANI #Point kwa Point, Don’t get twisted let’s #Socialize..* Mligi kuu OG




Jana na leo tumepata mfanano wa picha jinsi itakavyokuwa pale wakitwaa ubingwa EPL au UCL au yote.Tutatolewa maneno mabaya humu .Mwenzenu nilishajiandaa tangu msimu juzi😀 Kuhusu EPL nawashauri wapinzani wenzangu make peace with it ( kapuni tayari ) kule UCL wekeni sana sala .!

TABIRI NANI ATAFUNGA BAO LETU LA KWANZA vs AL AHLY 🇦🇴 Depu 🇺🇬 Okello 🇹🇿 Mudathir 🇨🇩 Nzengeli 🇿🇼 Dube Mwingine?? Unaweza kupata kadi yako ya Yanga kwenye matawi yote ya @CRDBBankPlc . Kadi hiyo unaweza kuitumia kwenye masuala yoyote ya kibenk (TemboCard Visa))

Thank you Aziz for your contributions and good luck with your new club.






Bora nisioe kuliko kupiga magoti hivi


